sio kila mchina ni mkandarasi
nimemuonesha mdogo wangu amecheka sana,
kuna daladala imeandikwa LIGI NGUMU
sio kila mchina ni mkandarasi
mhhhhh!...ndimu changa haina maji...ina maanisha under 18?
Tehe tehe kula tano Mzee 2011
Mungu wangu!!wazinzi
kwa tafsri!sikuwezi!
uuh, unanikumbusha mnyama livyoliwa juzi....watu wamekuta manyoya tu!!! iliniuma sana...Ukiona manyoya,ujue keshaliwa
-hawala hana TALAKA
uuh, unanikumbusha mnyama livyoliwa juzi....watu wamekuta manyoya tu!!! iliniuma sana...
ukisikia puuuu.....ujue imekukosa.....