Misemo hii kiboko...weka ya kwako...!

Misemo hii kiboko...weka ya kwako...!

Utamu wa chips mimba..

mdharau nanilihii nanilihino.. (tafsida imehusika)
 
Waninunia mie.....umekosa mwenyewe magoli ya penati utayaweza ya kona.......

Japo chungu we meza tu....

Kufika utafika hata kama ukitembea....

Mola nipe jicho la tatu linijaze ufahamu....

Aliyekuonjesha kaweke kambi kwake.....

Eti kuku wa kuchora....hawiki, hatagi yai wala hadonoi.....

Unaacha nyama nyumbani unaenda kula mishikaki baa....

Umezoea cheko la nyundo tupe la msumari sie nginjha nginjha....

Uko busy airport unasubiri meli na hata passport hujabeba.......

Umeumbwa u-kanga unataka u-kuku.....

Uko busy kama unapiga deki bahari.....

Japo chungu we meza tu......

Donda la maskini hupona kwa umande.....

Kobe hufika aendako hata akienda taratibu......

Usijifanye unachagua wakati bado unachaguliwa......

Hata tausi mrembo lakini haliwi nyama....

Mbwa mzee hafundishwi sheria mpya.....

Ingekuwa rahisi hata samaki angetafuta perfume......

Aaahhh papai kubwa ka-apple kadogoo...bei ya apple sasa, papai halina maana....

Uniniletea perege mie, hicho kidagaa....niletee yule papa ndio saizi yangu

Hukushiba kwa tonge, utashiba kwa kulamba....

Ukimuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa......

Madogo madogo yakupite na makubwa yakusakame....

Huwezi kuwa mkwezi ukashindwa kusuka pakacha......

Mchele kisoda, nazi sita.....

Usipaki fuso kwenye gereji ya bajaji...

Usipite kimyakimya uliza njia usije ukajigonga buree...

Muwasho wa ulimi, haukunwi na kidole....

Kama bahari.....ukiweka lindo kaskazini wenzio kusini wanavua....

Mzoea punda, hapandi farasi.....

Bora kandambili kuliko mdundo mbovu....

Unavua samaki kwa mikono, utamaliza kesho.....

Ukibipu tu, mi nakupigia.....

Una maswali mengi, kwani we ni polisi.....

Unaniongelesha kizungu, umenisomesha wewe......

Mchuma janga, hula na wa kwao.....

Zege halilali.....

Ukimjua adui yako unamshinda kirahisi.....

Unapanda basi la bagamoyo wakati unaenda ikwiriri.......

Uko kama majani ya chai, hujulikani kama dawa ya ngiri au ya kichwa.......

Ameshakuwa kuku wa kwenye jokofu, kapoteza radha......
 
mavi hayana miba, ukiyakanyaga lazima uchechemee
 
Back
Top Bottom