Misemo hii kiboko...weka ya kwako...!

****** uliya mbwata masikini hakipata.
Shibuda-usiige kunya kwa tembo utapasuka mku
 
1. Ukiona manyoya ujue kaliwa
2. Upatapo fahamu jua umepotea
3. Undugu wa nazi chunguni
 
watu wanasema wazaramo ndio wanamisemo lkn leo naona humu jf ni kiboko.....
 
1. Unajua kuchumu ila mdomo unanuka.

2. Jino moja mswaki wa nini? Meno mengi lakini yote mabovu.

3. Heri ya mjinga kuliko mpumbavu.

4. Usiku hata konokono wanakata.

@@@n.k@@@@
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom