Kwa waajiriwa wote

pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
10,098
12,472
Habari za jioni wakuu,

Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka leo nataka niongee na watu waliojiriwa na wamejisahau kwasababu ya vyeo au hela wanazo pata kwenye ajira zao msisahau kuzingatia haya.

1. JENGA NYUMBA
Msisahau kujenga nyumba za kuishi iwe kijijini au mjini. Kujenga nyumba ukiwa na miaka 50 sio mafanikio usijisahau na nyumba za serikali au mashirika binafsi usijisahau ili familia yako ifurahie maisha.

2. WAHI KWENDA NYUMBANI NA USIJISAHAU KWENDA LIKIZO
Nenda likizo na jipe mda wa kupumzika na kukaa na familia yako usijipe umuhimu kwenye kazi kwamba bila wewe kazi haziendi hata ukifa leo nafasi yako itachukuliwa na mtu mwingine ndani ya mda mfupi. Familia yako ipe kipaumbele.

3. USITAFUTE SIFA KAZINI NA MAMLAKA
Jifunze kazi yako vizuri na timiza majukumu yako kwa wakati kama ni madaraka na sifa utazipata tu ukiwa unafanya kazi vizuri jaribu kujifunza kitu nje ya kazi yako unaweza kujifunza kupitia YouTube na Google kama mimi nilivyojifunza kutengeneza sabuni za maji mpaka nimekuwa master kwenye kipengele hicho.

4. EPUKA MAJUNGU NA UMBEA KAZINI
Epuka vitu ambavyo vinaharibu taswira yako au ya mwenzako kazini usijihusishe na ugomvi kati yako na wafanyakazi wenzako na boss wako jaribu kuepuka maneno ya umbea kazini.

5. USISHINDANE NA BOSS WAKO
Usishindane na boss wako kazini muheshimu hakuna aliyekamilika waheshimu wafanyakazi wenzako hata kama wanakusema vibaya kuwa nao makini mungu atakulipia kwa ubaya waliokufanyia.

6.HAKIKISHA UNA KIPATO CHA ZIADA
Hakuna aliyetajirika na mshahara wala kutosheka na mshahara fanya biashara nje ya ajira yako mda wowote unaweza poteza kazi ikakusaidia.

7.WEKA AKIBA
Weka akiba hata kama ni kiasi kidogo cha pesa itakusaidia baadae ukiwa na shida au ukipata matatizo ya ghafla usidharau kiasi kidogo hata m–buyu ulianza kama mchicha.

8.EPUKA MIKOPO
Epuka mikopo na hata ukikopa wekeza au endeleza kwenye biashara usinunue vitu vya anasa nunua vitu kutoka kwenye faida ya biashara sio mkopo

9.FANYA SIRI FAMILIA YAKO,MAISHA YAKO,NA MKE WAKO
Weka mbali familia yako na mitandao ya kijamii yasije yakakukuta yaliyomkuta manara waweke mbali na sehemu unayofanyia kazi maana sio sehemu ya waajiriwa.ZINGATIA SANA HILI.

10.JIAMINI NA EPUKA KUWA MTEGEMEZI KWA MTU
Kuna watu makazini ni wambea na machawa wa boss yaani wao wako baga kwa bega na boss jiamini acha kupelekesha na kuendeshwa na mtu uchawa mwisho wake sio mzuri.

11.JIANDAE MAPEMA KUSTAAFU
Muda mzuri wa kustaafu ni kuanzia miaka 50 kama ukifika bado unahitaji kuendelea na kazi basi jiandae mapema kuweka mazingira sawa ila usiteseke baadae.

12.USIJITENGE NA JAMII
Kuna watu wao hawana weekend yaani wao kila siku wako bize hawashiriki misiba ya watu hawashiriki harusi za watu kazi yao kutoa michango basi ila hawaendi kwenye shughuli yoyote huo sio utaratibu mzuri jichanganye na watu hakuna anayeweza kila kitu.

13.NENDA LIKIZO KWA WAKATI NA JIANDAE NA KITU CHA KUFANYA BAADA YA KAZI
Mara nyingi unachokifanya ukiwa likizo ndio utakachokifanya ukistaafu kama unakaa maskani likizo ukistaafu utakaa maskani kama unacheza bao ukistaafu utacheza bao kwa hyo jiandae.

14.ANZISHA BIASHARA KABLA YA KUSTAAFU
Usianzishe biashara baada ya kustaafu bali endeleza biashara ua miradi uliyo ianzisha ukiwa kazini pesa ya pension ni kwa ajili ya kukutunza wewe na afya yako sio ya kuanzishia biashara.

15.USIANZISHE BIASHARA NA HELA YA KUSTAAFU
Watu wengi wanaanzisha biashara baada ya kustaafu badala ya kuendeleza biashara ndio pesa zinawahi kwisha hayo sio matumizi ya hizo pesa.

16.KUWA MFANO WA KUIGWA
Watu wengi wakistaafu wanaishi maisha ya shida sana hvyo jiandae vizuri usije ukawa kituko badala ya kuwa mfano wa kuigwa na watu wengine.

17.JIANDAE KUSTAAFU MAPEMA
Watu wengi wakistaafu wanakuwa umri umeenda na hawawezi lolote wengine wanakuwa wagonjwa wa maradhi mbalimbali jiandae kustaafu ukiwa kijana na nguvu hakuna second chance kwenye maisha upate mda wa kukaa na familia yako watu wengi wanaostaafu wanaenda kuomba kazi sehemu nyingine na wasipofanikiwa wanaandamwa na magonjwa na hufa baada ya mda mfupi.

18.STAAFU UKIWA KWAKO
Kuna baadhi ya watu wanakaa nyumba za serikali au mashirika binafsi na mpaka wanastaafu hawajajenga ukiona unakaribia kustaafu jiandae kuhama kabla ya mda kufika ili upate mda wa kujianda na mazingira mapya na kuzoeana na watu katika jamii.

19.USIJISAHAU
Kuna watu mpaka wanastaafu hawana nyumba wala biashara hvyo mda wa kustaafu unapofika ni kama wanaanza upya kutafuta maisha wanapoingia mtaani panga mipango yako mapema safari ya maisha ni fupi sana tusijisahau jenga familia yako jenga nyumba yako ishi na watu vizuri vitu vyote tulivyonavyo ni vya kupita tu visikupe jeuri na kibri ukajiona maisha umemaliza safari bado ndefu.

20.USIOGOPE
Usiogope wala usichukie kustaafu kwasababu siku moja utastaafu iwe kwa hiari ama kwa lazima lakini ni jambo la kila mfanyakazi ambaye ameajiariwa ni vyema kujipanga mapema maana ilikuwa miaka thelathini ikabaki ishirini ikabaki kumi sasa wamebakisha mwezi wastaafu sio mimi hata wewe iwe kesho au keshokutwa hilo litatokea umejiaandaaje?

Alamsik hata kuti kavu lilikuwa bichi.
 
12 hio ni bomu kwa wasomi wengi.
Niongezee tu kusema staafu mapema kama una nafasi. Wale wa kampuni binafsi au renewable contract hata 45 itapendeza.

Wale wa serikalini 55 itapendeza.

Nilichojifunza watumishi wa zamani ambao ni 48 + wanaogopa kustaafu mapema.

Kuna watu wangechukua maamuzi mapema kikokotoo kisingewakuta, waliogopa kustaafu sasa kikokotoo kinawahusu.

Katika zama hizi za kikokotoo ni vyema kustaafu mapema il mtumishi aile ile hela yake yote miaka 12 ya maokoto.
 
Maokoto ndio yanakuwaje mgawanyo wake
 
Wew
Habari za jioni wakuu,

Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka leo nataka niongee na watu waliojiriwa na wamejisahau kwasababu ya vyeo au hela wanazo pata kwenye ajira zao msisahau kuzingatia haya.

1. JENGA NYUMBA
Msisahau kujenga nyumba za kuishi iwe kijijini au mjini. Kujenga nyumba ukiwa na miaka 50 sio mafanikio usijisahau na nyumba za serikali au mashirika binafsi usijisahau ili familia yako ifurahie maisha.

2. WAHI KWENDA NYUMBANI NA USIJISAHAU KWENDA LIKIZO
Nenda likizo na jipe mda wa kupumzika na kukaa na familia yako usijipe umuhimu kwenye kazi kwamba bila wewe kazi haziendi hata ukifa leo nafasi yako itachukuliwa na mtu mwingine ndani ya mda mfupi. Familia yako ipe kipaumbele.

3. USITAFUTE SIFA KAZINI NA MAMLAKA
Jifunze kazi yako vizuri na timiza majukumu yako kwa wakati kama ni madaraka na sifa utazipata tu ukiwa unafanya kazi vizuri jaribu kujifunza kitu nje ya kazi yako unaweza kujifunza kupitia YouTube na Google kama mimi nilivyojifunza kutengeneza sabuni za maji mpaka nimekuwa master kwenye kipengele hicho.

4. EPUKA MAJUNGU NA UMBEA KAZINI
Epuka vitu ambavyo vinaharibu taswira yako au ya mwenzako kazini usijihusishe na ugomvi kati yako na wafanyakazi wenzako na boss wako jaribu kuepuka maneno ya umbea kazini.

5. USISHINDANE NA BOSS WAKO
Usishindane na boss wako kazini muheshimu hakuna aliyekamilika waheshimu wafanyakazi wenzako hata kama wanakusema vibaya kuwa nao makini mungu atakulipia kwa ubaya waliokufanyia.

6.HAKIKISHA UNA KIPATO CHA ZIADA
Hakuna aliyetajirika na mshahara wala kutosheka na mshahara fanya biashara nje ya ajira yako mda wowote unaweza poteza kazi ikakusaidia.

7.WEKA AKIBA
Weka akiba hata kama ni kiasi kidogo cha pesa itakusaidia baadae ukiwa na shida au ukipata matatizo ya ghafla usidharau kiasi kidogo hata m–buyu ulianza kama mchicha.

8.EPUKA MIKOPO
Epuka mikopo na hata ukikopa wekeza au endeleza kwenye biashara usinunue vitu vya anasa nunua vitu kutoka kwenye faida ya biashara sio mkopo

9.FANYA SIRI FAMILIA YAKO,MAISHA YAKO,NA MKE WAKO
Weka mbali familia yako na mitandao ya kijamii yasije yakakukuta yaliyomkuta manara waweke mbali na sehemu unayofanyia kazi maana sio sehemu ya waajiriwa.ZINGATIA SANA HILI.

10.JIAMINI NA EPUKA KUWA MTEGEMEZI KWA MTU
Kuna watu makazini ni wambea na machawa wa boss yaani wao wako baga kwa bega na boss jiamini acha kupelekesha na kuendeshwa na mtu uchawa mwisho wake sio mzuri.

11.JIANDAE MAPEMA KUSTAAFU
Muda mzuri wa kustaafu ni kuanzia miaka 50 kama ukifika bado unahitaji kuendelea na kazi basi jiandae mapema kuweka mazingira sawa ila usiteseke baadae.

12.USIJITENGE NA JAMII
Kuna watu wao hawana weekend yaani wao kila siku wako bize hawashiriki misiba ya watu hawashiriki harusi za watu kazi yao kutoa michango basi ila hawaendi kwenye shughuli yoyote huo sio utaratibu mzuri jichanganye na watu hakuna anayeweza kila kitu.

13.NENDA LIKIZO KWA WAKATI NA JIANDAE NA KITU CHA KUFANYA BAADA YA KAZI
Mara nyingi unachokifanya ukiwa likizo ndio utakachokifanya ukistaafu kama unakaa maskani likizo ukistaafu utakaa maskani kama unacheza bao ukistaafu utacheza bao kwa hyo jiandae.

14.ANZISHA BIASHARA KABLA YA KUSTAAFU
Usianzishe biashara baada ya kustaafu bali endeleza biashara ua miradi uliyo ianzisha ukiwa kazini pesa ya pension ni kwa ajili ya kukutunza wewe na afya yako sio ya kuanzishia biashara.

15.USIANZISHE BIASHARA NA HELA YA KUSTAAFU
Watu wengi wanaanzisha biashara baada ya kustaafu badala ya kuendeleza biashara ndio pesa zinawahi kwisha hayo sio matumizi ya hizo pesa.

16.KUWA MFANO WA KUIGWA
Watu wengi wakistaafu wanaishi maisha ya shida sana hvyo jiandae vizuri usije ukawa kituko badala ya kuwa mfano wa kuigwa na watu wengine.

17.JIANDAE KUSTAAFU MAPEMA
Watu wengi wakistaafu wanakuwa umri umeenda na hawawezi lolote wengine wanakuwa wagonjwa wa maradhi mbalimbali jiandae kustaafu ukiwa kijana na nguvu hakuna second chance kwenye maisha upate mda wa kukaa na familia yako watu wengi wanaostaafu wanaenda kuomba kazi sehemu nyingine na wasipofanikiwa wanaandamwa na magonjwa na hufa baada ya mda mfupi.

18.STAAFU UKIWA KWAKO
Kuna baadhi ya watu wanakaa nyumba za serikali au mashirika binafsi na mpaka wanastaafu hawajajenga ukiona unakaribia kustaafu jiandae kuhama kabla ya mda kufika ili upate mda wa kujianda na mazingira mapya na kuzoeana na watu katika jamii.

19.USIJISAHAU
Kuna watu mpaka wanastaafu hawana nyumba wala biashara hvyo mda wa kustaafu unapofika ni kama wanaanza upya kutafuta maisha wanapoingia mtaani panga mipango yako mapema safari ya maisha ni fupi sana tusijisahau jenga familia yako jenga nyumba yako ishi na watu vizuri vitu vyote tulivyonavyo ni vya kupita tu visikupe jeuri na kibri ukajiona maisha umemaliza safari bado ndefu.

20.USIOGOPE
Usiogope wala usichukie kustaafu kwasababu siku moja utastaafu iwe kwa hiari ama kwa lazima lakini ni jambo la kila mfanyakazi ambaye ameajiariwa ni vyema kujipanga mapema maana ilikuwa miaka thelathini ikabaki ishirini ikabaki kumi sasa wamebakisha mwezi wastaafu sio mimi hata wewe iwe kesho au keshokutwa hilo litatokea umejiaandaaje?

Alamsik hata kuti kavu lilikuwa bichi.
Wewe mwamba umenena nitajitaidi kuwa kama ulivyochambua, Ila Kuna wajinga waliniambia ili nipate connection lazima nianze kunywa pombe.
 
THIS IS NOTED
 
Ni kweli.bwana mmoja alistafu 55 akawah kikokootoo kile cha zaman.akalamba 80m na alikua miaka ming analima lima so akaingia kuendeleza. Hapa jiran mzee mmoja kastasfu ndio kajenga ila naona ni tahadhar sana sio nzuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom