Wanaume, hii ndio namna ya kusonga mbele kiume

Zemanda

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
5,707
11,957
Habari.

Najua wengi mtakuwa familiar na hili neno kumove on sababu hutumika kumaanisha maisha baada ya kuvunjika mahusiano ya kimapenzi.

Matumizi ya hili neno huwa hayafanani kimantiki au kiuhalisia kwa wanaume na wanawake.

Namna ya mwanaume kumove on ni completely different and opposite ya mwanamke kumove on.

Kwa mwanamke kumove on humaanisha kuanzisha mahusiano mapya, na kunyooshea kidole mpenzi wa zamani kama chanzo cha matatizo au msababishaji na kukwepa kuwajibika kwa makosa au mchango wa matatizo uliopekea uhusiano kuvunjika.

Kwa mwanaume ni jambo la tofauti kabisa na ni kinyume cha namna mwanamke ana move one.

Mara nyingi hutokea wanaume kusema wamemove on ila bado wakabakia na maumivu ya moyo kwa muda mrefu na huwachukua muda sana kufuta kumbukumbu tamu za wale waliotengana na kuachana nao wakati wakihitaji uwepo wao.

Sababu inayopelekea wanaume wengi kufeli eneo la kumove on ni kutokana na namna mwanaume ameumbiwa kuprocess fikra zake kwa mfumo wa mantinki (logic) zaidi badala ya hisia (Emotions).

Mwanamke anapoanza kujitoa kwenye mahusiano huwa ni swala la kihisia zaidi kwake maana ataanza kutengeneza picha ya Maisha bila mwanaume wake huyu na kutafuta replacement.

Mfano mwanaume alimzoesha zawadi, outings, na kufanya nae mapenzi mara nyingi kwa na vizuri, ila hivi vitu vikipungua akili ya mwanamke huwa haitafuti why bali inaanza tafuta wapi avipate tena nje ya uhusiano huu na ndipo uhama.

Kwa mwanaume ni kinyume kama yupo kwenye mahusiano ambayo amependa serious then ikitokea mwanamke kabadilika akili yake itataka kujua why why why ili aweze kuiambia akili yake kuwa mahusiano yalishindikana sababu ya moja mbili tatu ndipo amani ya moyo itakuja na ataweza kumove on na maisha yake.

Kwa bahati mbaya tunaishi na kizazi cha wanawake wa kisasa ambao hawapo vema eneo la communication. Anaweza kuwa hajafirahishwa na hali yako ya kiuchumi sababu alipoanza mahusiano na wewe alitaraji kupata pesa then akakuta ni tofauti then ataanza kutafuta sababu ya kuondoka kwa kukutafutia kosa la kukubambikia ili apate sababu ya kuondoka akatafute mwenye pesa.

Atakwambia ufanye mambo makubwa nje ya uwezo wako ili ushindwe aseme haumpendi muachane etc. Jambo hili linakuumiza sana kama mwanaume sababu utafeli kupata connection kati ya sababu na ukweli na ndipo hapo ku move on inakuwa shida unakuja kuandika nyuzi za maumivu humu kwenye social networks.

So leo nataka nikuelekeze namna ya kumove on kama mwanaume bila kutumia energy nyingi.

Mwanamke anayekuheshimu na kukujali kwanza hawezi kukuacha kwa sababu yoyote bali atakujulisha kila unalokosea na kuhitaji mabadiliko ili aendelee kuwa na wewe.

But mwanamke ambaye yupo kimchongo na wewe hatotaka ujue ukweli sababu anajua kuwa hayupo na wewe ile ya dhati na mbaya zaidi atataka kuondoka kwake kukuache wewe na maumivu ili uendelee kumfuata na kumtaka ili aweze kukupa masharti ya kumpa vile vitu anataka.

So kama mwanaume unatakiwa kujifunza namna halisi ya kiume ya kumove on na sio namna za kike za kumove on. Mwanamke akitoka kwako atakwenda uhusiano mpya ndani ya siku mbili tu tayari ana mtu mwingine hadi unajiuliza walijuana na kuchunguzana lini hadi leo hii wameanza mahusiano. Ukifanya hivi kama mwanaume itakugharimu binafsi sababu hautakuwa genuine na mpenzi mpya na kumpotezea muda lakini pia utakuwa haujatibu maumivu ya kutokuelewa shida ni nini na yataendelea kukuandama.

Hii ndio namna ya kiume ya kumove on:

1. Hakikisha unajiridhisha kuwa mwanamke aliyekuacha ameshaanza mahusiano na mtu mpya hii itakusaidia kuipa akili yako ukweli kuwa haupo nae. Ndio maana unaona wanawake huwa wanakimbilia kukublock usione chochote ili uendelee kuwaza kuwa amekwenda wapi na akili yako itabakia ikimtafuta milele. So pambana ujue yupo wapi na nani itakusaidia kuiruhusu akili kutulia na kukubaliana na hali ingawa utaumia sana ila maumivu hayatadumu zaidi ya mwezi.

2. Ukishajua hakikisha unaanza kubadili utaratibu wa maisha yako kama ulikuwa na utaratibu wa kumuweka mwanamke wako kwenye ratiba yako then hakikisha unafanya mabadiliko ya ratiba zako kujazia vitu vingine ambavyo ni productive na vipya kwako au vinakupa new excitement.

3. Jiambie ndani ya moyo kuwa wewe ndie tatizo sio yeye, hii itakusaidia kukubali kuwa wewe ndie ulitaka aende na sio yeye kuondoka kwa sababu zake. Tumia zile sababu amekupa kama ukweli ongezea na vitu kama hauna hela au haupo romantic etc kujipa lawama ili moyo uridhie kuwa uliharibu na unataka kuanza upya.

4. Jitazame sasa namna ya kujiboresha especially eneo la mavazi, muonekano kulingana na namna MUNGU amekuumba, kipato chako, na ratiba yako ishabihi ajenda yako mpya ya kujiboresha.

5. Anza kutoka out na wanawake wengine ila isiwe kwa lengo la mahusiano ya kudumu, fanya one night stands au weekend sleepovers ili kuifanya akili yako ifocus zaidi na bodly and physical needs na sio emotional needs. Kwakifupi ruka na mademu ila bakia single.

6. Weka malengo muhimu mbele yako. Yapange kwa utaratibu wa ya kufanyiwa utekelezaji ndani ya muda mfupi na yakufanyiwa utekelezaji ndani ya muda mrefu. Kimsingi weka akili yako kwenye ujenzi wa maisha yako unayochagua.

7. Usifute mawasiliano ya mwanamke wako ili ukiwa unatazama namna alikutreat vibaya iwe reminder kwenye kichwa chako kuwa ulikuwa na mtu ambaye hakuelewi. Hii itajaza kichwa chako na kumbukumbu mbaya kuhusu yeye na eventually utamuona kuwa ni kumbukumbu mbaya kama msiba na akili itakataa kumuwaza.

8. Usikae muda mrefu bila mwanamke kwasababu maisha yako utapanga na mwanamke but this time chagua ambaye atakuwa rafiki na atakuelewa na kujazia pale ulipopungua.
 
Mnawadharu sana wanawake kwenye kutumia Akili.

WANAWAKE WANA AKILI NA HAWATUMII HISIA KAMA MNAVYOJIDANGANYA.

MNAMJENGEA TASWIRA KUWA MWANAMKE NI KIUMBE DHAIFU LAKINI SIO KWELI,MWANAMKE NI KIUMBE CHENYE AKILI NA HAKIENDESHWI KWA HISIA KAMA MNAVYOSEMA.

Yangu ni hayo tu!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Anza kutoka out na wanawake wengine ila isiwe kwa lengo la mahusiano ya kudumu, fanya one night stands au weekend sleepovers ili kuifanya akili yako ifocus zaidi na bodly and physical needs na sio emotional needs. Kwakifupi ruka na mademu ila bakia single.
Acha kuwafundisha wenzako Uzinzi.

DHAMBI ZAO UTAWASAIDIA KUZIPUNGUZA?

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mnawadharu sana wanawake kwenye kutumia Akili.

WANAWAKE WANA AKILI NA HAWATUMII HISIA KAMA MNAVYOJIDANGANYA...
Kusema ukweli ndio imekuwa dharau tena? Kwani ni uongo?

Tazama namna umejibu hapa umetumia hasira na sio mantiki. Halafu ukimlinganisha mwanamke na mwanaume lazima atakuwa dhaifu tu katika criteria nyingi sio moja tu.

Sasa kuukataa ukweli ni kujipa maumivu na jazba ambazo sio mahala pale kuzipata.
 
Sijasoma mada ila nawashauri wanaume wafuate ushauri wako mana una funza
Au sio? We ni Ke au Me?

Anyways kama ni Ke najua lazima ukasirike sababu hauwezi furaia kuona wanawake wanaanza kujitoa katika ufala. Na kama ni Me then unanistaajabisha sana uwezo wako wa kuchambua mambo.
 
Mm n yule jamaa ninayemsugua dada ako
 
Kusema ukweli ndio imekuwa dharau tena? Kwani ni uongo?

Tazama namna umejibu hapa umetumia hasira na sio mantiki. Halafu ukimlinganisha mwanamke na mwanaume lazima atakuwa dhaifu tu katika criteria nyingi sio moja tu.

Sasa kuukataa ukweli ni kujipa maumivu na jazba ambazo sio mahala pale kuzipata.
Mwanamke sio kiumbe dhaifu Mkuu.

WANAWAKE WANA AKILI SANA NA HAWAENDESHWI NA HISIA KAMA MNAVYOSEMA. DUNIA YA SASA WATU WANATUMIA AKILI KAMA SILAHA NA SIO MIGUVU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Habari.

Najua wengi mtakuwa familiar na hili neno kumove on sababu hutumika kumaanisha maisha baada ya kuvunjika mahusiano ya kimapenzi.

Matumizi ya hili neno huwa hayafanani kimantiki au kiuhalisia kwa wanaume na wanawake.

Namna ya mwanaume kumove on ni completely different and opposite ya mwanamke kumove on.

Kwa mwanamke kumove on humaanisha kuanzisha mahusiano mapya, na kunyooshea kidole mpenzi wa zamani kama chanzo cha matatizo au msababishaji na kukwepa kuwajibika kwa makosa au mchango wa matatizo uliopekea uhusiano kuvunjika.

Kwa mwanaume ni jambo la tofauti kabisa na ni kinyume cha namna mwanamke ana move one.

Mara nyingi hutokea wanaume kusema wamemove on ila bado wakabakia na maumivu ya moyo kwa muda mrefu na huwachukua muda sana kufuta kumbukumbu tamu za wale waliotengana na kuachana nao wakati wakihitaji uwepo wao.

Sababu inayopelekea wanaume wengi kufeli eneo la kumove on ni kutokana na namna mwanaume ameumbiwa kuprocess fikra zake kwa mfumo wa mantinki (logic) zaidi badala ya hisia (Emotions).

Mwanamke anapoanza kujitoa kwenye mahusiano huwa ni swala la kihisia zaidi kwake maana ataanza kutengeneza picha ya Maisha bila mwanaume wake huyu na kutafuta replacement.

Mfano mwanaume alimzoesha zawadi, outings, na kufanya nae mapenzi mara nyingi kwa na vizuri, ila hivi vitu vikipungua akili ya mwanamke huwa haitafuti why bali inaanza tafuta wapi avipate tena nje ya uhusiano huu na ndipo uhama.

Kwa mwanaume ni kinyume kama yupo kwenye mahusiano ambayo amependa serious then ikitokea mwanamke kabadilika akili yake itataka kujua why why why ili aweze kuiambia akili yake kuwa mahusiano yalishindikana sababu ya moja mbili tatu ndipo amani ya moyo itakuja na ataweza kumove on na maisha yake.

Kwa bahati mbaya tunaishi na kizazi cha wanawake wa kisasa ambao hawapo vema eneo la communication. Anaweza kuwa hajafirahishwa na hali yako ya kiuchumi sababu alipoanza mahusiano na wewe alitaraji kupata pesa then akakuta ni tofauti then ataanza kutafuta sababu ya kuondoka kwa kukutafutia kosa la kukubambikia ili apate sababu ya kuondoka akatafute mwenye pesa.

Atakwambia ufanye mambo makubwa nje ya uwezo wako ili ushindwe aseme haumpendi muachane etc. Jambo hili linakuumiza sana kama mwanaume sababu utafeli kupata connection kati ya sababu na ukweli na ndipo hapo ku move on inakuwa shida unakuja kuandika nyuzi za maumivu humu kwenye social networks.

So leo nataka nikuelekeze namna ya kumove on kama mwanaume bila kutumia energy nyingi.

Mwanamke anayekuheshimu na kukujali kwanza hawezi kukuacha kwa sababu yoyote bali atakujulisha kila unalokosea na kuhitaji mabadiliko ili aendelee kuwa na wewe.

But mwanamke ambaye yupo kimchongo na wewe hatotaka ujue ukweli sababu anajua kuwa hayupo na wewe ile ya dhati na mbaya zaidi atataka kuondoka kwake kukuache wewe na maumivu ili uendelee kumfuata na kumtaka ili aweze kukupa masharti ya kumpa vile vitu anataka.

So kama mwanaume unatakiwa kujifunza namna halisi ya kiume ya kumove on na sio namna za kike za kumove on. Mwanamke akitoka kwako atakwenda uhusiano mpya ndani ya siku mbili tu tayari ana mtu mwingine hadi unajiuliza walijuana na kuchunguzana lini hadi leo hii wameanza mahusiano. Ukifanya hivi kama mwanaume itakugharimu binafsi sababu hautakuwa genuine na mpenzi mpya na kumpotezea muda lakini pia utakuwa haujatibu maumivu ya kutokuelewa shida ni nini na yataendelea kukuandama.

Hii ndio namna ya kiume ya kumove on:

1. Hakikisha unajiridhisha kuwa mwanamke aliyekuacha ameshaanza mahusiano na mtu mpya hii itakusaidia kuipa akili yako ukweli kuwa haupo nae. Ndio maana unaona wanawake huwa wanakimbilia kukublock usione chochote ili uendelee kuwaza kuwa amekwenda wapi na akili yako itabakia ikimtafuta milele. So pambana ujue yupo wapi na nani itakusaidia kuiruhusu akili kutulia na kukubaliana na hali ingawa utaumia sana ila maumivu hayatadumu zaidi ya mwezi.

2. Ukishajua hakikisha unaanza kubadili utaratibu wa maisha yako kama ulikuwa na utaratibu wa kumuweka mwanamke wako kwenye ratiba yako then hakikisha unafanya mabadiliko ya ratiba zako kujazia vitu vingine ambavyo ni productive na vipya kwako au vinakupa new excitement.

3. Jiambie ndani ya moyo kuwa wewe ndie tatizo sio yeye, hii itakusaidia kukubali kuwa wewe ndie ulitaka aende na sio yeye kuondoka kwa sababu zake. Tumia zile sababu amekupa kama ukweli ongezea na vitu kama hauna hela au haupo romantic etc kujipa lawama ili moyo uridhie kuwa uliharibu na unataka kuanza upya.

4. Jitazame sasa namna ya kujiboresha especially eneo la mavazi, muonekano kulingana na namna MUNGU amekuumba, kipato chako, na ratiba yako ishabihi ajenda yako mpya ya kujiboresha.

5. Anza kutoka out na wanawake wengine ila isiwe kwa lengo la mahusiano ya kudumu, fanya one night stands au weekend sleepovers ili kuifanya akili yako ifocus zaidi na bodly and physical needs na sio emotional needs. Kwakifupi ruka na mademu ila bakia single.

6. Weka malengo muhimu mbele yako. Yapange kwa utaratibu wa ya kufanyiwa utekelezaji ndani ya muda mfupi na yakufanyiwa utekelezaji ndani ya muda mrefu. Kimsingi weka akili yako kwenye ujenzi wa maisha yako unayochagua.

7. Usifute mawasiliano ya mwanamke wako ili ukiwa unatazama namna alikutreat vibaya iwe reminder kwenye kichwa chako kuwa ulikuwa na mtu ambaye hakuelewi. Hii itajaza kichwa chako na kumbukumbu mbaya kuhusu yeye na eventually utamuona kuwa ni kumbukumbu mbaya kama msiba na akili itakataa kumuwaza.

8. Usikae muda mrefu bila mwanamke kwasababu maisha yako utapanga na mwanamke but this time chagua ambaye atakuwa rafiki na atakuelewa na kujazia pale ulipopungua.
Kweli mkuu safi
 
Mimi nikionaga bendera nyekundu nachapa lapa. Kwenye ngumi huwa sisubiri nipigwe mpaka nife. Nayeya chapu. Kama kulia, nitalilia mbele ya safari.
 
Back
Top Bottom