BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,784
Nakupa 100 ya 100
Ucku mwema double B
:thumbup:" usiku mwema
Nakupa 100 ya 100
Ucku mwema double B
Team ziko duniani kote hata juzi Chris Brown aliposhinda BET tuzo mbili alishukuru #TeamBreezy kwa kua nae bega kwa bega tangia aingie jela atoke mpaka anaendelea kung'aa. Cha muhimu ni zitumike vzr sio zitumike moja kumshusha mwengine au kuleta chuki kati ya wasanii.
data Leo una mapoint hadi raha... Umekula cha Ngaramtoni nn!!!Hapo dada unapotoka, unaposema kila msanii aanzishe team yake. Its very wrong.
Kumbuka hizi team zilianza kimizahamizaha, lakini ghafla mtu unajikuta unajenga chuki kali kabisa for no reason. Hili lilianza ntokea mimi, nashkuru nimeshtuka mapema. For sure nilianza chuki kali kabisa dhdi ya kiba, as kitu kinapoendekezwa na kupambwa sana kinageuka kinajenga mizizi na kinakuwa kweli. Kuja shtuka inakuwa too late. Mziki ushakufa.
Hapa tuwaite Matola na Chinga One wafanye consultations na Invisible na Moderator uzi hzi mbili zifutiliwe mbali., ambazo nimesha apa sintang'aa tena ktk uzi hzo mbili.
Kama tunataka tuwe chachu ya mabadiliko tuanze sisi. IT BEGINS WITH US.
"UA TIMU, BRING BACK BONGO FLAVOR TO ALL ARTISTS"
Unakosea sana kulinganisha STATES na TZ.
Wewe ni shuhuda wa ujinga mwingi unaoendelea ktk team hzi za masikini. Uchawi, Ufukunyuku, Deep hatred for no reason., matusi na upimbi mwingne mwingi.
Hapo dada unapotoka, unaposema kila msanii aanzishe team yake. Its very wrong.
Kumbuka hizi team zilianza kimizahamizaha, lakini ghafla mtu unajikuta unajenga chuki kali kabisa for no reason. Hili lilianza ntokea mimi, nashkuru nimeshtuka mapema. For sure nilianza chuki kali kabisa dhdi ya kiba, as kitu kinapoendekezwa na kupambwa sana kinageuka kinajenga mizizi na kinakuwa kweli. Kuja shtuka inakuwa too late. Mziki ushakufa.
Hapa tuwaite Matola na Chinga One wafanye consultations na Invisible na Moderator uzi hzi mbili zifutiliwe mbali., ambazo nimesha apa sintang'aa tena ktk uzi hzo mbili.
Kama tunataka tuwe chachu ya mabadiliko tuanze sisi. IT BEGINS WITH US.
"UA TIMU, BRING BACK BONGO FLAVOR TO ALL ARTISTS"
Hapo dada unapotoka, unaposema kila msanii aanzishe team yake. Its very wrong.
Kumbuka hizi team zilianza kimizahamizaha, lakini ghafla mtu unajikuta unajenga chuki kali kabisa for no reason. Hili lilianza ntokea mimi, nashkuru nimeshtuka mapema. For sure nilianza chuki kali kabisa dhdi ya kiba, as kitu kinapoendekezwa na kupambwa sana kinageuka kinajenga mizizi na kinakuwa kweli. Kuja shtuka inakuwa too late. Mziki ushakufa.
Hapa tuwaite Matola na Chinga One wafanye consultations na Invisible na Moderator uzi hzi mbili zifutiliwe mbali., ambazo nimesha apa sintang'aa tena ktk uzi hzo mbili.
Kama tunataka tuwe chachu ya mabadiliko tuanze sisi. IT BEGINS WITH US.
"UA TIMU, BRING BACK BONGO FLAVOR TO ALL ARTISTS"
Ndio mana nikasema pia hiz team kazi yke kubwa ni kipindi cha kuvote kama msanii yuko nominated kwenye tuzo lkn hizi za team za bongo zinaendelea tuuu anytime yn zimekua kama part ya life tht not good for ourMusic.
Tena nakwambia mie sasa hivi ni member wa WCB kuanzia Whatsapp mpaka Instagram kwenye magroup!halafu data anataka mi niache ushabiki maandazi naanzaje labda??
Halafu team zingine zitukalie kichwani?mi siachi
data Leo una mapoint hadi raha... Umekula cha Ngaramtoni nn!!!
Haha asikupangie mtu do wat you wanna do" m kwakwel namkubal sana mondi na nitabaki hvo.. ananiburudisha sana yani siongei kiteam bt kiukweli kabisa. Kiba nae yuko poa tu" m hua naenjoy the way tunavyozinguana jokes za hapa na pale kama mtu anatake serious cjui. Humu ni kutoa stress tu.
Hapo dada unapotoka, unaposema kila msanii aanzishe team yake. Its very wrong.
Kumbuka hizi team zilianza kimizahamizaha, lakini ghafla mtu unajikuta unajenga chuki kali kabisa for no reason. Hili lilianza ntokea mimi, nashkuru nimeshtuka mapema. For sure nilianza chuki kali kabisa dhdi ya kiba, as kitu kinapoendekezwa na kupambwa sana kinageuka kinajenga mizizi na kinakuwa kweli. Kuja shtuka inakuwa too late. Mziki ushakufa.
Hapa tuwaite Matola na Chinga One wafanye consultations na Invisible na Moderator uzi hzi mbili zifutiliwe mbali., ambazo nimesha apa sintang'aa tena ktk uzi hzo mbili.
Kama tunataka tuwe chachu ya mabadiliko tuanze sisi. IT BEGINS WITH US.
"UA TIMU, BRING BACK BONGO FLAVOR TO ALL ARTISTS"
Its OK!!kama unaamua kujitoa we jitoe tu ila mi bado kabisa mpaka diamond mwenyewe atangaze kwamba hataki team,hizi team zipo hata huko nje na watu wanafikia hatua ya kuchapana makonde kisa tu team!!!
Waanze wenyewe kwanza wasanii kukataa hizi team ndipo sisi tutafata!
Diamond kasema jana hzi team hazitaki na hana time nazo.
Uzi hizi mbili kuendelea wepo hapa ni kuendelea jazana chuki na uhasama.
"UA TIMU,.."
Wazo lako unaweza ukawa sahihi ila unapotoka endapo ukianza kuchukia vtu serious hizi tatizo kuliko kubwa among hizi timu sio kwamba kuua mziki. Tatizo ni watu hawapendi kuheshimu wengine wakipendacho na Ku control mihemko.
Haya mambo yapo tangu zamani sema hakukua na mitandao ndo watu wanapakusemea.
Kuwa na chuki hakuhalalishi wengine kuto ku express feelings.
Napinga wazo lako LA kufutwa kwa hizi nyuzi kwa kisingizio cha chuki na kuuua mziki . Hayo ni mawazo ago ya kidikiteta kabisa invisible please ziachie hizi nyuzi. Mtu ka unaona hazifai usikoment chochote wenye kujisikia wa comment. Kila jambo na zama zake kufuta sio solution.
Si unajua mapumziko leo' sasa niliamua sikiliza radio kwa umakini, nimegundua ujinga mwingi wa matimu haya.. Yani haya matimu yanaenda kwa media sasa. Ni hatari sana.
Nashukuru kijana huyu aliyeanzisha uzi huu. Ngoma kali nying hazipewi nafasi na promo kama hawa wawili. Na nina uhakika ukifuatilia kwa makini kuna presenters na djs tayari wana team. SAD.
Hongera kwa kuufanyia kazi ushauri wangu.
Be part of the changes you want to see.
BTW Slogan yako ya mwisho ni nzuri, kuna watu bado wanapinga sana hili wazo labda tungependa kupata maoni zaidi hii hali wanaionaje? Is it healthy anyway kwa muzik wetu wa Bongoflava?
Kuna mdau amesema watu wanammind kabisa DJ kwa nini hapigi mziki wa Kiba, ukifuatilia hapo utaona ni kwa sababu wamesikia track ya Chibu imechezwa so wanataka iwe balanced acheze na ya Kiba pia on the same session. Sio sawa, kama tunataka muziki upate mzani sawa basi na ya wasanii wengine ipate support sawa sawa na hii inayofanyika kwa hawa vijana wawili wa Kigoma. Tusiendekeze unazi hadi ukatupofusha.
Naunga mkono slogan yako #UA TIMU SUPPORT BONGO FLAVA HOLISTICALLY.
Hapo dada unapotoka, unaposema kila msanii aanzishe team yake. Its very wrong.
Kumbuka hizi team zilianza kimizahamizaha, lakini ghafla mtu unajikuta unajenga chuki kali kabisa for no reason. Hili lilianza ntokea mimi, nashkuru nimeshtuka mapema. For sure nilianza chuki kali kabisa dhdi ya kiba, as kitu kinapoendekezwa na kupambwa sana kinageuka kinajenga mizizi na kinakuwa kweli. Kuja shtuka inakuwa too late. Mziki ushakufa.
Hapa tuwaite Matola na Chinga One wafanye consultations na Invisible na Moderator uzi hzi mbili zifutiliwe mbali., ambazo nimesha apa sintang'aa tena ktk uzi hzo mbili.
Kama tunataka tuwe chachu ya mabadiliko tuanze sisi. IT BEGINS WITH US.
"UA TIMU, BRING BACK BONGO FLAVOR TO ALL ARTISTS"
Ni swala la muda tu mkuu! Barakah da prince naye toka zamani aliwah kutoa nyimbo kali na nzuri lakin hakuweza kung'aa kivile.
Tumpe muda #mirror naamin atafika mbali japo kuna umuhimu wa kuitazama upya management yake hasa katika upande wa promo na kulibrand jina lake.
Mirror ni wa mda aisee, mara ya kwanza nilimuona kwenye fiesta ya 2012 ya Rickross, aliperform akapata shangwe za kutosha hasa za kina dada nikajua huyu mtoto ana damu nzuri atakuja kusumbua sana. But leo 2015 sioni hatua yoyote aliyopiga japo ana ngoma kali