akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,015
- 1,498
Kuna mahali popote kwenye komenti yangu nimeandika Afrika nzima?Afrika nzima wana utamaduni huo???
“Na huo pia ni utamaduni wetu wa Afrika”.Kuna mahali popote kwenye komenti yangu nimeandika Afrika nzima?
Na wao Wamarekani wanawaona Waafrika wana vitu vya ajabu ajabu sana!ya wamarekani tuwaachie wenyewe, wana vitu va ajabu sana hawa watu
Mzee kubali kataa, kama ulikuwa unapata pesa zote unasomesha means kuna makosa ulifanya, wazazi kulilia mali za mtoto ni aibuHuna mtoto wewe eti mpenzi mtazamaji .
....hta wewe utazeeka na unakuta umefanya effort ila pesa ulilipia ada watoto na wakipata baadae wasikuangalie wewe Uwe mpenzi mtazamaji ni wao na wake zao tu how will you feel?fucking ushauri....
Hiyo statement mbona iko wazi kabisa mkuu, na ndio ukweli kuwa ni utamaduni wa watu asili wa Afrika, yawezekana jamii zinabadilika, lakini ukweli hautobadilika. Kama ambavyo kwa utamaduni wetu ni wajibu wa mwanaume kuitunza familia yake.“Na huo pia ni utamaduni wetu wa Afrika”.
Umeandika hivyo. Ulimaanisha nini?
Wakati wa uhai wake waandishi wa habari walienda kwa wazazi wa Kobe na kufanya mahojiano kuhusu maisha ya star huyo na picha za zamani wakawaonesha.
Kobe alikasirika sana na hakuwasamehe wazazi wake mpaka anakufa.
Kama ni hivyo wazazi wakubali tu matokeoWazazi wake hawakupenda alivyooa mwanamke asie mweusi, itakuwa walikata mawasiliano
Biblia inasema uwaachie urithi wajukuu zako , sio kinyume chakeHata kwenye Ukristo Biblia imesema "Waheshimu Wazazi wako hili.............."hilo neno Waheshimu limebeba Siri kubwa wasioelewa ufikiri ni heshima ya kawaida tu.
Na wao wengine wanawaona nyie mna vitu vya ajabu sana kumpa mtoto wajibu wa kumtunza mzazi.ya wamarekani tuwaachie wenyewe, wana vitu va ajabu sana hawa watu
Kama ulimaanisha hivyo basi ulikosea namna ya kuandika.Hiyo statement mbona iko wazi kabisa mkuu, na ndio ukweli kuwa ni utamaduni wa watu asili wa Afrika, yawezekana jamii zinabadilika, lakini ukweli hautobadilika. Kama ambavyo kwa utamaduni wetu ni wajibu wa mwanaume kuitunza familia yake.
Haihitaji dini au kufunzwa shule umuhimu wa kuwatunza na kuwakirimu wazazi waliokuleta duniani,mtu yeyote anayejitambua hasubiri kuambiwa hilo.Kwa mafundisho ya kiislamu huyo kobe kafanya makosa makubwa mno
PESA mkuu ,wazazi walizitoa Bure kiroho safi kumbe zina thamani ya mabilioni zingefanyiwa biashara kubwa.Kulikuwa na shida gani wazazi kuonesha picha kwa waandishi? Au zilionesha "uhalisia" wa familia enzi hizo? Ha ha ha! Ila kama ndio ukweli why akasirike?
Kwanza ndio leo nasikia habari za mirathi kutoka kwa mtoto kwenda kwa wazazi...Kobe yeye kwa nini hakuwapa ama kuwasaidia wazazi wake akiwa hai?
Mwanaume cha kwanza unachotakiwa kufanya ukifanikiwa ni ku uplift kwanza background yako kabla hujaamua kusimama mwenyewe.
How comes jamaa aliwaacha na kuwatelekez wazazi wake bila kuwainua?
Watu weusi wa ulaya wana malezi mabaya sana. Angalia Ronaldo, amepata pes acha kwanza ni nyumbani, kuinua watu wako, kuinua ndugu zako kisha unaamua kujiinua mwenyewe
Shida ilikua kwa kobe, alikua mtu wa hovyo.
Mi bado mdogo.Shikamoo mkuu
Wazazi wake sio masikiniWamarekani wanamlaumu Kobe Kobe ana makosa ya kutowapa wazazi wake maisha hakuandika wosia kabla hajafa hivyo ni kama alichagua kutojumuisha wazazi wake katika wosia wake hivyo mali zote zimeenda kwa mke wake.
Ukweli wamarekani wana utamaduni wa ajabu sana, how can a person be worth Trillions of Money and his parents are broke? This life is not fair.
Kobe Bryants parents are broke. His dad was forced to auction off the ring Kobe gave him in the year 2000 ili apate hela ya ku survive huku mkewe na Kobe kapewa mirathi ya dola milioni 600 ambazo kobe kaacha bank.
Mama siyo mafundisho ya kiislamu ?Kwa mafundisho ya kiislamu huyo kobe kafanya makosa makubwa mno