mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,387
- 1,556
Jk anastahili pongezi hipi,kama sio ujasiri wa Magufuri,kisingelifanyika chochote,Jk alikuwa ameisha kimbilia bandali ya Bagamoyo, kuwapa Wachina na Warabu,ili kuuwaa bandari ya Dar.Jk alikuwa janga kwa Taifa hiliKumbuka upembuzi yakinifu na mpango wa mradi ulianza kipindi Cha JK.
Kwa hiyo kila mtu anastahili pongezi