Miradi iliyoachwa na Hayati Dkt. Magufuli yawatesa mafisadi

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
4,294
2,000
Lisu ni habari nyingine sana mkuu

Kitu ambacho hakutabiri ni kifo cha Magufuli tu

Aliamini Magufuli ataishi sana kama angeishi sana huo utabiri ungevuka lengo kabisa

Hivi huoni nchi imetulia kwasasa?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nchi imetulia kwa sasa kwa sababu gani?

Jibu ni hakuna mtendaji imara. Kila kitu kunajiendea tu huku tukila matunda ya utendaji wa JPM.
Nchi imetulia kwa sababu mtu mmoja mshamba mwenye akili ndogo tu ameondoka
Uwezo huwa unajieleza huwa hailazimishwi kuonyesha watu kwamba una uwezo
Wenye akili huwa wanafanya mambo extra na kuacha mambo waliofanya yajisemee yenyewe hii ni moja ya Tambo za wenye uwezo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
[/QUOTE

Embu soma tena ulichoandika. Ama mi peke tu ndo sioni kitu.

The Guy was extremely good. Hadi sasa mi nikiwa nakatisha tu mitaa ya Dar kwa mfano,barikiwa kichwa tu baseman .ingewezekana apewe second chance arudi tena.
 
mtumishiwaleo

JF-Expert Member
May 4, 2020
528
1,000
Kumbuka upembuzi yakinifu na mpango wa mradi ulianza kipindi Cha JK.

Kwa hiyo kila mtu anastahili pongezi
Jk anastahili pongezi hipi,kama sio ujasiri wa Magufuri,kisingelifanyika chochote,Jk alikuwa ameisha kimbilia bandali ya Bagamoyo, kuwapa Wachina na Warabu,ili kuuwaa bandari ya Dar.Jk alikuwa janga kwa Taifa hili
 
Bwana PGO

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
43,654
2,000
Magufuli mbona mnamuona Kama mtu alokuwa mkamilifu?

kwanza nadhan hamumtendei haki kukaa mnamjadili mtasababisha tufukue yatakayosababisha tumjadili marehemu kwa jambo ambalo kiutamaduni na imani si busara!!

Nitagusia pesa za Shelisheli onhooo

Nitagusia Dhahabu Rwanda na chuki iloibuka kwa Kagame na mifugo wa ankole onhooo

Nitagusia Bilion 256 za kutoroshewa account ya JS MBC onhoo
Hahahahaa basi Kaka, basi ndugu yangu shusha pumzi. Wasamehe usijekuta ukaongela na mambo y abarabara kupunguzwa upana.....
 
jonas amos

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
2,550
2,000
Magufuli mbona mnamuona Kama mtu alokuwa mkamilifu?

kwanza nadhan hamumtendei haki kukaa mnamjadili mtasababisha tufukue yatakayosababisha tumjadili marehemu kwa jambo ambalo kiutamaduni na imani si busara!!

Nitagusia pesa za Shelisheli onhooo

Nitagusia Dhahabu Rwanda na chuki iloibuka kwa Kagame na mifugo wa ankole onhooo

Nitagusia Bilion 256 za kutoroshewa account ya JS MBC onhoo
Pole sana hapa
Watanzania wa Leo sio wale wa zama za mawe
 
Sumve 2015

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
3,813
2,000
Tumetulia hatutaki kumsema Marehemu vibaya
Taa.hira kweli wew, umseme JPM kwa lipi? watanzania tunamfahamu na tuliridhika nae, yeyote atayeenda kinyume na hayo JPM aloyaanzisha atajuta, msijidanganye pale mnapomtukana mitandaoni tumekaa kimya basi mkaona nyie ndo watanzania sana, the majority tupo tunawacheki tu.
 
jonas amos

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
2,550
2,000
Uzalendo ni Pamoja nakuwa na uchungu wa pesa ya wananchi ambayo selikal imeahawekeza

Isijetokea hataaaa kuhairisha mradi wa bwawa
 
Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,326
2,000
Wewe umeanza vizuri kuwaeleza mafisadi wanaotaka kuitupilia mbali maproject ya Mgufuli..bila Shaka mafisadi hao wako serikalini wakiongozwa na mkuu wa machief..
Nilikuwa nimeanza kukuelewa lakini umeacha ghafla maelezo hayo ukarukia kwa Tundu Lissu..tangu lini Lissu akasimimamia project za Magufuli?
 
kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
8,012
2,000
Magufuli mbona mnamuona Kama mtu alokuwa mkamilifu?

kwanza nadhan hamumtendei haki kukaa mnamjadili mtasababisha tufukue yatakayosababisha tumjadili marehemu kwa jambo ambalo kiutamaduni na imani si busara!!

Nitagusia pesa za Shelisheli onhooo

Nitagusia Dhahabu Rwanda na chuki iloibuka kwa Kagame na mifugo wa ankole onhooo

Nitagusia Bilion 256 za kutoroshewa account ya JS MBC onhoo
Acha uongo. Yote hayo ndio nini maana tunawajua kwa uzushi. Mngekua na shutuma ya ufisadi wa kweli kwa magufuli mungebandika matangazo na ushahidi duniani hadi mbinguni. Mlaaniwe wote mliyomsema vibaya magufuli.
 
kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
8,012
2,000
Wewe umeanza vizuri kuwaeleza mafisadi wanaotaka kuitupilia mbali maproject ya Mgufuli..bila Shaka mafisadi hao wako serikalini wakiongozwa na mkuu wa machief..
Nilikuwa nimeanza kukuelewa lakini umeacha ghafla maelezo hayo ukarukia kwa Tundu Lissu..tangu lini Lissu akasimimamia project za Magufuli?
Mama ndio ataumiza project za magufuli. Anajipitishapitisha kuwaringishia wenzake urais badala ya kusimamia vita dhidi ya ufisadi na uzembe. Utafikiri kama vile rais mwanamke inaongeza uchumi wa watu.
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
42,910
2,000
Nchi imetulia kwa sababu mtu mmoja mshamba mwenye akili ndogo tu ameondoka
Uwezo huwa unajieleza huwa hailazimishwi kuonyesha watu kwamba una uwezo
Wenye akili huwa wanafanya mambo extra na kuacha mambo waliofanya yajisemee yenyewe hii ni moja ya Tambo za wenye uwezo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nchi imetulia kwa sababu mfuatiliaji hamna sasa hivi! We iba, kula rushwa fanya lolote ila usibambwe tu na mwajiri mkuu! Hamna kufuatiliana awamu hii!

So watu ni kama wanataka ku recover kwenye ukata wanajiandikia ma per diem na mavikao! Wanajichotea hela sababu hamna wa kuhoji! Nchi ipo kwenye Auto-Pilot mode!
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,445
2,000
Magufuli mbona mnamuona Kama mtu alokuwa mkamilifu?

kwanza nadhan hamumtendei haki kukaa mnamjadili mtasababisha tufukue yatakayosababisha tumjadili marehemu kwa jambo ambalo kiutamaduni na imani si busara!!

Nitagusia pesa za Shelisheli onhooo

Nitagusia Dhahabu Rwanda na chuki iloibuka kwa Kagame na mifugo wa ankole onhooo

Nitagusia Bilion 256 za kutoroshewa account ya JS MBC onhoo
Mkuu mbona unateseka sana???
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,445
2,000
Wewe umeanza vizuri kuwaeleza mafisadi wanaotaka kuitupilia mbali maproject ya Mgufuli..bila Shaka mafisadi hao wako serikalini wakiongozwa na mkuu wa machief..
Nilikuwa nimeanza kukuelewa lakini umeacha ghafla maelezo hayo ukarukia kwa Tundu Lissu..tangu lini Lissu akasimimamia project za Magufuli?
Mkuu magamba wanaweweseka na hawajui wakitakacho. miradi yote mikubwa ilikuwa imeshasimama wakati wa mwendazake wakandarasi wakidai malipo yao hili hawalisemi TULILIONA! Na huenda ni miongoni mwa visababishi vya msongo vilivyopelekea umeme kukata. Anyway wamelipwa na kwa tozo tunalipia mambo yanaenda na watu hawaporwi kwa mabavu kwenye akaunti zao...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom