Miradi iliyoachwa na Hayati Dkt. Magufuli yawatesa mafisadi

Ndio inavyotakiwa. Nchi iwe mbele. Najiuliza kama hali halisi iko hivyo
Wewe unaona Hali ikoje? Mataga na wazee wa ligacy mna ujinga Sana vichwani..

Juzi Waziri kazindua ujenzi wa uwanja wa Dom,angekuwa yule jamaa wa kujimwambafy,nchi yote ingehamia pale , makelele ya kujigamba meeengi utafikiri ni uvumbuzi wa kwanza duniani.

Ushamba ni mzigo mzito
 
Acha propaganda za lumumba, dalili ya mvua ni mawingu.. yako wapi mawingu?
Nchi siyo kijiji mkuu mpaka uone mabadiliko kwenye mzunguko wa maisha ya kawaida ni shughuli
Siyo shughuli ndogo

Kwa Magufuli vyuma vilianza kutukazia 2017 ndiyo impact ya Magufuli iliingia na ikaonekana na watu wote

Sasa kwa mama dalili zipo nyingi tu
Kirahisi huwezi kuona jipe muda hadi mwakani utaniambia

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wewe unaona Hali ikoje? Mataga na wazee wa ligacy mna ujinga Sana vichwani..

Juzi Waziri kazindua ujenzi wa uwanja wa Dom,angekuwa yule jamaa wa kujimwambafy,nchi yote ingehamia pale , makelele ya kujigamba meeengi utafikiri ni uvumbuzi wa kwanza duniani.

Ushamba ni mzigo mzito
Ukishasema mataga tu, then you have lost the plot. Unajitekenya na kucheka na uwezo wako wa kuona na kufanya analysis za mambo ni mdogo. Chekelea basi kwa furaha 😀😀😀😀😀
 
Magufuli mbona mnamuona Kama mtu alokuwa mkamilifu?

kwanza nadhan hamumtendei haki kukaa mnamjadili mtasababisha tufukue yatakayosababisha tumjadili marehemu kwa jambo ambalo kiutamaduni na imani si busara!!

Nitagusia pesa za Shelisheli onhooo

Nitagusia Dhahabu Rwanda na chuki iloibuka kwa Kagame na mifugo wa ankole onhooo

Nitagusia Bilion 256 za kutoroshewa account ya JS MBC onhoo
Huna lolote! Hivi umesharudi TZ au bado unaosha vizee vya kizungu?
 
Magufuli mbona mnamuona Kama mtu alokuwa mkamilifu?

kwanza nadhan hamumtendei haki kukaa mnamjadili mtasababisha tufukue yatakayosababisha tumjadili marehemu kwa jambo ambalo kiutamaduni na imani si busara!!

Nitagusia pesa za Shelisheli onhooo

Nitagusia Dhahabu Rwanda na chuki iloibuka kwa Kagame na mifugo wa ankole onhooo

Nitagusia Bilion 256 za kutoroshewa account ya JS MBC onhoo
Taah.ira kweli hili...
 
Leta ushahidi namna zilivyokwapuliwa, kwahyo pesa kutumika bila kufuata baadhi ya taratibu ndo inakuwa imekwapuliwa? Au unajifanya hujui namna zilivyokuwa zinakwapuliwa kipindi cha nyuma.
Nenda chato uone ukwapuaji aliofanya dikteta
 
Mkuu, punguza ujuajia wa kujifanya unajua kumbe hujui, mwenzako mshana ameaibika juzi tu. Tatizo mnajifanya wajuaji kwa ku connect dot hata zisizofaa.
Mfuate Chato mkuu nasikia kajengewa hekalu 😊😊😊
 
Huu unaouita mzimu mspojua namna ya kudeal nao utawatesa mpaka mnakufa, Wapinzani kama mna nia ya kuwatoa mafisadi ya CCM ikulu, nawashauri muachane na habari za marehemu(wekeni "no comment"),Jikiteni kuwahamasisha wanachi juu ya haki zao na kukosoa serikali ya ccm.

Kuiondoa ccm kunahitaji watu tu, na watu hao alikuwa nao hayati tu. Ukiwa na watu wengi ni rahisi kupinga matokea ya uraisi hata kama tume siyo huru. Upinzani bado hauna watu kiwango hicho,wengi waliopo ni wabinafsi(mashujaa wa maneno tu)

Kumbuka,kila chenye hasara na faida ipo.Moja ya faida ya Magufuli kwa upinzani ni kurahisisa ukombozi mpya, Magufuli pamoja na kujua matatizo yake ya kiafya lakini aliamua kuwa mgumu huku akijua kufanya hvyo ni hatari kwa afya yake, what if angeamua kua soft kama msoga? Naamini mpaka leo angekuwa hai.

Mpaka sasa hakuna anayekubalika zaidi ya Magufuli(ukweli unaoumiza),Magufuli ameshatukomboa,tunahitaji upinzani jumuishi kumalizia ukombozi na hatimaye kupata uhuru kutoka kwa mkoroni mweusi(CCM).
Si kweli. Magufuli alikuwa janga la kitaifa na zao la CCM kama kawaida yake. Sijui ni ukombozi gani unaouzungumzia. Washauri mashabiki wake (MATAGA) waachane na hulka ya kumuanzishia nyuzi hapa JF kwani zitajibiwa kwa jinsi wasivyopenda.

Na, btw, wananchi, Watanzania, ndio wenye uwezo wa kuiondoa CCM madarakani - wakiamua. Hakuna cha “wapinzani”, nje ya wananchi, wanaoweza kufanya kazi hiyo.
 
Lisu ni habari nyingine sana mkuu

Kitu ambacho hakutabiri ni kifo cha Magufuli tu

Aliamini Magufuli ataishi sana kama angeishi sana huo utabiri ungevuka lengo kabisa

Hivi huoni nchi imetulia kwasasa?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nchi imetulia kwa sasa kwa sababu gani?

Jibu ni hakuna mtendaji imara. Kila kitu kunajiendea tu huku tukila matunda ya utendaji wa JPM.
 
Nchi imetulia kwa sasa kwa sababu gani?

Jibu ni hakuna mtendaji imara. Kila kitu kunajiendea tu huku tukila matunda ya utendaji wa JPM.
Nchi imetulia kwa sababu mtu mmoja mshamba mwenye akili ndogo tu ameondoka
Uwezo huwa unajieleza huwa hailazimishwi kuonyesha watu kwamba una uwezo
Wenye akili huwa wanafanya mambo extra na kuacha mambo waliofanya yajisemee yenyewe hii ni moja ya Tambo za wenye uwezo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Imagine mtu aliyejipambanua kuchukia Ufisadi bado alishindwa kutoa jibu la matumizi ya Tshs 1.5 Trillion ... serikali yake ikaishia kudanganya na kumtimua CAG.

Imagine huyo mtu alituaminisha kuwa tunawadai ACACIA US $ 198 Billion (zaidi ya bajeti yetu kwa miaka 10) akaishia kukubali 300 million tena kwa mafungu.

Tatizo la watanzania wanaamini sana maneno kuliko data.

kwa zaidi ya 80%,
Watanzania tunaamini sana maneno kuliko data.

Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania.

Watanzania bado tuna safari ndefu sana.
 
Kwanini Prof Assad alitolewa?
Hakutolewa bali alimaliza kipindi chake cha miaka mitano kwa mujibu wa katiba. katiba inamruhusu rais kumteua CAG huyo huyo kuendelea kwa miaka mitano mingine, lakini siyo automatic kama unavyoelekea kuamini. Huenda rais yeyote mwenye busara asingemwongezea kipindi kingine kwani inaonekana wakati mwingi alikuwa anatoa matamko kuhusu matumizi ya serikali bila kuwa amesoma mapendekezo ya bajeti yaliyopitishwa na bunge kuhusu matumizi hayo anayohoji.
 
Lisu ni habari nyingine sana mkuu

Kitu ambacho hakutabiri ni kifo cha Magufuli tu

Aliamini Magufuli ataishi sana kama angeishi sana huo utabiri ungevuka lengo kabisa

Hivi huoni nchi imetulia kwasasa?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nchi imetulia kwa sasa kwa sababu gani?

Jibu ni hakuna mtendaji imara. Kila kitu kunajiendea tu huku tukila matunda ya utendaji wa JPM.
Nchi imetulia kwa sababu mtu mmoja mshamba mwenye akili ndogo tu ameondoka
Uwezo huwa unajieleza huwa hailazimishwi kuonyesha watu kwamba una uwezo
Wenye akili huwa wanafanya mambo extra na kuacha mambo waliofanya yajisemee yenyewe hii ni moja ya Tambo za wenye uwezo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
[/QUOTE

Embu soma tena ulichoandika. Ama mi peke tu ndo sioni kitu.

The Guy was extremely good. Hadi sasa mi nikiwa nakatisha tu mitaa ya Dar kwa mfano,barikiwa kichwa tu baseman .ingewezekana apewe second chance arudi tena.
 
Back
Top Bottom