Mimba za kuzimu

Mimba za kuzimu

Jihadhari za mimba na mimba za kutafuta kwa manabii na waganga wa kienyeji.

Jaribu kufuatilia hizo mimba mpaka mwisho wake au kama watoto walizaliwa salama na kama wako hai mpaka leo hii na kama tabia zao ni za kawaida
Nimeshuhudia mara nyingi matangazo kwenye tv magazeti na radii hao wanaojiita manabii mitume na waganga wakijinasibu kuwa wamewasaidia akina mama wengi kupata ujauzito na hatimaye kujifungua watoto.

Lakini kamwe hatujawahi kuletewa mrejesho wa wale watoto maendeleo yao....kiukweli ni kwamba wengi walikufa au kupotea katika mazingira ya ajabu mno..hawa si watoto halisi.

Kujiepusha na maumivu haya nendeni hospital kapimeni wote ijulikane tatizo liko wapi au tatizo ni la nani halafu tiba yake ninini! Kama hakuna shida kila kitu kiko sawa lakini mimba hazishiki mwombeni Mungu atawajaalia mtoto wa haki...!

Msijaribu kwingineko haitawalipa.
Huo ni ukwel mtupu hakuna njia mbadala
 
Akhsante mkuu
Unayosema ni mambo makubwa sana na jamii inaangamia pasipo kujua kwamba milki za giza zipo kazini, watazameni kwa macho mawili watoto wanaozaliwa na miujiza......nasisitiza watazameni na ukuaji wao!
Nikirudi kwa viongozi wa dini wanaopotosha kama ulivyoeleza...ni hakika.....kipindi kirefu kilichopita walinitembelea viongozi fulani wa dini fulani na kuniambia kuwa ili waaminike katika ibada inatakiwa kipawa hivyo niwasaidie.
Niliingia kwa wakuu na nifanya maagano kwa niaba ya viongozi wale wa dini na nikawapatia jinn mmoja wa kuogofya na mwenye nguvu na ubabe hata kwa majini wenzake, nikawapatia watu wale na kwenda kuongoza ibada kama kawaida......ila kila walipokuwa wakiombea watu jinn yule ndiye aliyekuwa akijibu maombi na sio Mungu.

KIVIPI?
Wenye mapepo walianguka wenyewe kwa kumuogopa jinn yule wa kifalme, vifungo vya kichawi alivifungua yeye, majini wabaya wa waumini walikimbia wenyewe kwa kumuogopa huyo bwana na nyumba ya ibada ikasifika kiasi kwamba wale viongozi wakanawiri.
Je, ni haki? Mungu anapenda kuona nafasi yake inafanyiwa dhihaka?
Niishie hapa.
Sijawah kukuuliza. Naomba leo nikuulize hich kitu

Bado unafanya hiyo kazi? Au umeacha?
 
Mkuu kila mtu yupo huru kuamini anachoamini na siwezi kuingia katika mkumbo huo wa kuchanganya vitu vyangu kumdhuru mtu kisa amesema kitu fulani, wapo waliorogwa wakaumia na bado wakajazana hospital mpaka umauti kwa kuamini tu hakuna uchawi.
Mimi naishi ndani ya haya mambo na ndio kazi inayofanya sehem anayoingia tajiri na mimi nikaingia....akichafua noti na mimi nachafua noti....na serikali inanitambua kwa vibali vyote vya ndani na nje ya nchi.
Ila ninapokuja huku nazama zaidi kwenye kuelimisha ubaya wa mambo haya kutokana na ninayopitia na sio hadith za juma na uledi.
Huwez kutoka huko ulipo na ukamuamin Mungu mmoja tu aliye hai?

Sababu unajua madhara yake na bado upo.

Hicho unachokifanya kuwaambia watu ukwel ni sadaka tosha kwa Mungu.

Ni imani yangu kabla hujaenda mavumbin sababu ndipo tulipo toka.

Mungu atakutoa kwa Neema.

Sababu neema ni kitu ambacho hatustahil kupata lakin Mungu anatupatia.

Neema hatuipat kwa matendo.
 
Nimepitia koments na michango mingi ya watu, nimeona nami niweke wangu.

Hizi mimba za kuzimu ambazo lengo lake ni kuleta uhai mpya duniani.

Kumbuka ule uzao wa YESU ulivyofanyika ambapo Roho iliweza tunga mimba kwa mwili yaani na binadamu bila muingiliano wa kimwili. Hii mbinu Shetani ka adopt na kuitumia kwa kiwango anachoweza.

Watoto wa kuzimu au watoto wa dawa kama jina lililo maarufu mitaani kwetu wapo aina kazaaaa.

1. Kuna watoto wanaopatikana baaada ya baba au mama kuondolewa vizuizi vya kuzaaaa vilivyo fanywa na tiba asili yaaan mitishamba . Huu ni utabibu tu na kutibu tatizo hilo kma vile unavyo tibiwa kuumwa tumbo, kipanda uso, Vidonda vya tumbo n.k

Hapa mbegu za baba na mama zimeleta kiumbe kwa njia ya asili kabisa. Hawa watoto wana ubinadamu 100%.

2. Watoto waliopatikana baada ya mama au baba kukosa huwezo wa kutengeneza mtoto wa njia ya kawaida. Hawa huenda kufanya shirk ili kuweza kupata mtoto,
Yaaani wanaenda kuforce kingi

"Kumbuka nguvu ya uhai utokea kwenye uhai, ili nature iendeleee ku balance" ndio maan hapa sasa utaombwa kafara n.k ili kukamilisha zoezi

Hapa yanaweza kufanyika kwa mtindi mbal mbali kulingana na mbinu, uzoef na taaalum za mganga.

A.Unapewa jini kama dawa tu, unaenda nalo kwako bila kujua. Lakini hapo lenyewe litakuwa linafanya doria kujua nani hapo around anamimba changa wachukue wapachike kwako,? Liki pata linaenda kucheza mchezo mimba inakuja kwako, utapata dalili za mimba na ukienda kupima utakutwa nayo.

Iktokea umezaaa ndipo utakuta umezaaa mtoto shombe shombe wakati kwenu ni wakurya pure, kuzaaaa mtoto kafanan live na jirani fulani (utata kwnye ndoa).

Lakini wakikuta hakuna mimb changa , au wenye mimba hizo wana ulinzi hulazimika kufanya njia ya pili

B. Unaweza pewa jini bila wew kujua, utawekewa kama dawa uogee au unywe na uiweke ndani kwako, hapo unakuwa unaliwekea mazngira ruhusa ya kukaaa tumboni bila wew kujua.

Baada ya muda utajikuta unamimba lakini si kwa njiaa y asili utakuwa na jini ndani yako, tumboni.

Utahesabu muda ukifika utaenda jifungua , kutokana na maagano ya mganga na jini huyu jini hawezi dumu kuwa mtoto wako siku zote nini hutokea.

i. Mtoto huweza fia tumboni ili jini aweze kusepa kufanya mambo yake mengine.

ii. Ukazaaa vema mtoto ila atapotea au kufa katika mazngira ya kitata. Huwa haitokei mtoto huyu akaja mzika mzazi wake, mostly hufa before kuingia utu uzima.

Kipindi chote cha utoto wanakuwa na huelewa wa mambo yote ila wanafanya ku act tu kuwa ni watoto.

Unalibembeleza jini noma sana. Hawa wanakuwa na tabia tabia za tofauti kabisaa zipo nyingi wakuuu wataongeza hapa jichawi Mshana Jr na wengine.
 
Mimi naamini wapo manabii wa kweli wanaotumika na roho mtakatifu ambao mungu amewapa uwezo wa kutambua mambo yaliofanyika zamani katika maisha yako na hata yale yajayo. hapa kwetu tuna padri anaitwa Fr. Shija wa kanisa katoliki kwa sasa ameamia malangali watu kibao huku mafinga wanaenda anawabashiria mambo yao pia wanapata uponyaji.. yaani mtu ukienda kwake kabla hata ujamwambia anakwambia kila kitu kinachofanyika na hata kile kitakachokutokea. kuna rafiki yangu alienda alikuwa anahitaji mtoto wa pili ila mimba ikawa inagoma kuingia fr. alimwambia kila kitu kilichosababisha asishike ujauzito mwingine kwa alipata mimba ya pili wakati mtoto yule wa kwanza akiwa na miezi sita tu akaona mhhh aitoe kumbe ile damu ya yule mtoto ilikuwa ikidai kisasi.
So fr.akamwambia inabidi wamfanyie misa yamazishi ya ile mimba aliyokuwa ameitoa pia aombe toba na rehema kwa mungu. baada ya wiki akamwambia unaenda kushika mimba ya mtoto wa kike. na kweli akapata mimba mimba na kuzaa mtoto wa kike .mtoto yule ana akili na nimchangamfu kuliko hata yule wa kwanza hivi naongea yupo darasa la saba.
Hapa Mafinga tumebahatika pia, kwani tuna nabii anaitwa Prophet Sareh wa madhabahu ya moto watu tumebashiriwa mambo yetu yanakuwa vilevile kama alivyo bashiri .watu kibao wanapata wenza, wanapona kisukari, presha ,HIV,watoto , just to mention a few
Mungu wetu yupo na anafanya kazi na watu wake, japokuwa katika msafara wa mamba na kenge wapo.No way , kabla hujaenda kutafuta kuombewa kwa jambo fulani mshirikishe roho mtakatifu akuongoze katika njia sahihi.
SAMAHANI KWA KUANDIKA KWA KIREFU. .......SHALOM......
 
Nimepitia koments na michango mingi ya watu, nimeona nami niweke wangu.

Hizi mimba za kuzimu ambazo lengo lake ni kuleta uhai mpya duniani.

Kumbuka ule uzao wa YESU ulivyofanyika ambapo Roho iliweza tunga mimba kwa mwili yaani na binadamu bila muingiliano wa kimwili. Hii mbinu Shetani ka adopt na kuitumia kwa kiwango anachoweza.

Watoto wa kuzimu au watoto wa dawa kama jina lililo maarufu mitaani kwetu wapo aina kazaaaa.

1. Kuna watoto wanaopatikana baaada ya baba au mama kuondolewa vizuizi vya kuzaaaa vilivyo fanywa na tiba asili yaaan mitishamba . Huu ni utabibu tu na kutibu tatizo hilo kma vile unavyo tibiwa kuumwa tumbo, kipanda uso, Vidonda vya tumbo n.k

Hapa mbegu za baba na mama zimeleta kiumbe kwa njia ya asili kabisa. Hawa watoto wana ubinadamu 100%.

2. Watoto waliopatikana baada ya mama au baba kukosa huwezo wa kutengeneza mtoto wa njia ya kawaida. Hawa huenda kufanya shirk ili kuweza kupata mtoto,
Yaaani wanaenda kuforce kingi

"Kumbuka nguvu ya uhai utokea kwenye uhai, ili nature iendeleee ku balance" ndio maan hapa sasa utaombwa kafara n.k ili kukamilisha zoezi

Hapa yanaweza kufanyika kwa mtindi mbal mbali kulingana na mbinu, uzoef na taaalum za mganga.

A.Unapewa jini kama dawa tu, unaenda nalo kwako bila kujua. Lakini hapo lenyewe litakuwa linafanya doria kujua nani hapo around anamimba changa wachukue wapachike kwako,? Liki pata linaenda kucheza mchezo mimba inakuja kwako, utapata dalili za mimba na ukienda kupima utakutwa nayo.

Iktokea umezaaa ndipo utakuta umezaaa mtoto shombe shombe wakati kwenu ni wakurya pure, kuzaaaa mtoto kafanan live na jirani fulani (utata kwnye ndoa).

Lakini wakikuta hakuna mimb changa , au wenye mimba hizo wana ulinzi hulazimika kufanya njia ya pili

B. Unaweza pewa jini bila wew kujua, utawekewa kama dawa uogee au unywe na uiweke ndani kwako, hapo unakuwa unaliwekea mazngira ruhusa ya kukaaa tumboni bila wew kujua.

Baada ya muda utajikuta unamimba lakini si kwa njiaa y asili utakuwa na jini ndani yako, tumboni.

Utahesabu muda ukifika utaenda jifungua , kutokana na maagano ya mganga na jini huyu jini hawezi dumu kuwa mtoto wako siku zote nini hutokea.

i. Mtoto huweza fia tumboni ili jini aweze kusepa kufanya mambo yake mengine.

ii. Ukazaaa vema mtoto ila atapotea au kufa katika mazngira ya kitata. Huwa haitokei mtoto huyu akaja mzika mzazi wake, mostly hufa before kuingia utu uzima.

Kipindi chote cha utoto wanakuwa na huelewa wa mambo yote ila wanafanya ku act tu kuwa ni watoto.

Unalibembeleza jini noma sana. Hawa wanakuwa na tabia tabia za tofauti kabisaa zipo nyingi wakuuu wataongeza hapa jichawi Mshana Jr na wengine.

Mimi naamini wapo manabii wa kweli wanaotumika na roho mtakatifu ambao mungu amewapa uwezo wa kutambua mambo yaliofanyika zamani katika maisha yako na hata yale yajayo. hapa kwetu tuna padri anaitwa Fr. Shija wa kanisa katoliki kwa sasa ameamia malangali watu kibao huku mafinga wanaenda anawabashiria mambo yao pia wanapata uponyaji.. yaani mtu ukienda kwake kabla hata ujamwambia anakwambia kila kitu kinachofanyika na hata kile kitakachokutokea. kuna rafiki yangu alienda alikuwa anahitaji mtoto wa pili ila mimba ikawa inagoma kuingia fr. alimwambia kila kitu kilichosababisha asishike ujauzito mwingine kwa alipata mimba ya pili wakati mtoto yule wa kwanza akiwa na miezi sita tu akaona mhhh aitoe kumbe ile damu ya yule mtoto ilikuwa ikidai kisasi.
So fr.akamwambia inabidi wamfanyie misa yamazishi ya ile mimba aliyokuwa ameitoa pia aombe toba na rehema kwa mungu. baada ya wiki akamwambia unaenda kushika mimba ya mtoto wa kike. na kweli akapata mimba mimba na kuzaa mtoto wa kike .mtoto yule ana akili na nimchangamfu kuliko hata yule wa kwanza hivi naongea yupo darasa la saba.
Hapa Mafinga tumebahatika pia, kwani tuna nabii anaitwa Prophet Sareh wa madhabahu ya moto watu tumebashiriwa mambo yetu yanakuwa vilevile kama alivyo bashiri .watu kibao wanapata wenza, wanapona kisukari, presha ,HIV,watoto , just to mention a few
Mungu wetu yupo na anafanya kazi na watu wake, japokuwa katika msafara wa mamba na kenge wapo.No way , kabla hujaenda kutafuta kuombewa kwa jambo fulani mshirikishe roho mtakatifu akuongoze katika njia sahihi.
SAMAHANI KWA KUANDIKA KWA KIREFU. .......SHALOM......
 
Jihadhari za mimba na mimba za kutafuta kwa manabii na waganga wa kienyeji.

Jaribu kufuatilia hizo mimba mpaka mwisho wake au kama watoto walizaliwa salama na kama wako hai mpaka leo hii na kama tabia zao ni za kawaida
Nimeshuhudia mara nyingi matangazo kwenye tv magazeti na radii hao wanaojiita manabii mitume na waganga wakijinasibu kuwa wamewasaidia akina mama wengi kupata ujauzito na hatimaye kujifungua watoto.

Lakini kamwe hatujawahi kuletewa mrejesho wa wale watoto maendeleo yao....kiukweli ni kwamba wengi walikufa au kupotea katika mazingira ya ajabu mno..hawa si watoto halisi.

Kujiepusha na maumivu haya nendeni hospital kapimeni wote ijulikane tatizo liko wapi au tatizo ni la nani halafu tiba yake ninini! Kama hakuna shida kila kitu kiko sawa lakini mimba hazishiki mwombeni Mungu atawajaalia mtoto wa haki...!

Msijaribu kwingineko haitawalipa.
Hakika tunatakiwa kumtegemea Mungu zaidi maana yeye ndie ajuae kesho yake.
 
Mimi naamini wapo manabii wa kweli wanaotumika na roho mtakatifu ambao mungu amewapa uwezo wa kutambua mambo yaliofanyika zamani katika maisha yako na hata yale yajayo. hapa kwetu tuna padri anaitwa Fr. Shija wa kanisa katoliki kwa sasa ameamia malangali watu kibao huku mafinga wanaenda anawabashiria mambo yao pia wanapata uponyaji.. yaani mtu ukienda kwake kabla hata ujamwambia anakwambia kila kitu kinachofanyika na hata kile kitakachokutokea. kuna rafiki yangu alienda alikuwa anahitaji mtoto wa pili ila mimba ikawa inagoma kuingia fr. alimwambia kila kitu kilichosababisha asishike ujauzito mwingine kwa alipata mimba ya pili wakati mtoto yule wa kwanza akiwa na miezi sita tu akaona mhhh aitoe kumbe ile damu ya yule mtoto ilikuwa ikidai kisasi.
So fr.akamwambia inabidi wamfanyie misa yamazishi ya ile mimba aliyokuwa ameitoa pia aombe toba na rehema kwa mungu. baada ya wiki akamwambia unaenda kushika mimba ya mtoto wa kike. na kweli akapata mimba mimba na kuzaa mtoto wa kike .mtoto yule ana akili na nimchangamfu kuliko hata yule wa kwanza hivi naongea yupo darasa la saba.
Hapa Mafinga tumebahatika pia, kwani tuna nabii anaitwa Prophet Sareh wa madhabahu ya moto watu tumebashiriwa mambo yetu yanakuwa vilevile kama alivyo bashiri .watu kibao wanapata wenza, wanapona kisukari, presha ,HIV,watoto , just to mention a few
Mungu wetu yupo na anafanya kazi na watu wake, japokuwa katika msafara wa mamba na kenge wapo.No way , kabla hujaenda kutafuta kuombewa kwa jambo fulani mshirikishe roho mtakatifu akuongoze katika njia sahihi.
SAMAHANI KWA KUANDIKA KWA KIREFU. .......SHALOM......
sekagali kitu kama hiki hakikuwa na jinsi bali kuandika kwa kirefu kwahiyo usijali
 
Dah! Ila mshana jr sipati picha ulivyojichanachana chale, hivi nyumban kwako unasali? Au kwamfano kikatokea kitu chochote ktk mazingira ya kutatanisha hapo si unashinda unatwanga mitishamba?

Unajua nmekumbuka kipind nasoma kuna chumba nilikuwa nakaa sasa alikuja jamaa yangu mmoja kuomba hifadhi kwakuwa nyumban kwao walikuwa na migogoro yule jamaa alikuwa mshirikina hatari, yaan akiona hata mbwa kakatisha tu tayar anaanza kujipaka midawa yake, siku moja nipo kitandan napiga msuli bed nikashangaa nmemwagiwa maji hata mtu aliyenimwagia simuon na hakukuwa na mtu yeyote ndan halafu nikasikia sauti ikijisonya kutoka darini. Ikabidi nimwambie baba alimfukuza yule jamaa.
Hahahahah
 
Mimi naamini wapo manabii wa kweli wanaotumika na roho mtakatifu ambao mungu amewapa uwezo wa kutambua mambo yaliofanyika zamani katika maisha yako na hata yale yajayo. hapa kwetu tuna padri anaitwa Fr. Shija wa kanisa katoliki kwa sasa ameamia malangali watu kibao huku mafinga wanaenda anawabashiria mambo yao pia wanapata uponyaji.. yaani mtu ukienda kwake kabla hata ujamwambia anakwambia kila kitu kinachofanyika na hata kile kitakachokutokea. kuna rafiki yangu alienda alikuwa anahitaji mtoto wa pili ila mimba ikawa inagoma kuingia fr. alimwambia kila kitu kilichosababisha asishike ujauzito mwingine kwa alipata mimba ya pili wakati mtoto yule wa kwanza akiwa na miezi sita tu akaona mhhh aitoe kumbe ile damu ya yule mtoto ilikuwa ikidai kisasi.
So fr.akamwambia inabidi wamfanyie misa yamazishi ya ile mimba aliyokuwa ameitoa pia aombe toba na rehema kwa mungu. baada ya wiki akamwambia unaenda kushika mimba ya mtoto wa kike. na kweli akapata mimba mimba na kuzaa mtoto wa kike .mtoto yule ana akili na nimchangamfu kuliko hata yule wa kwanza hivi naongea yupo darasa la saba.
Hapa Mafinga tumebahatika pia, kwani tuna nabii anaitwa Prophet Sareh wa madhabahu ya moto watu tumebashiriwa mambo yetu yanakuwa vilevile kama alivyo bashiri .watu kibao wanapata wenza, wanapona kisukari, presha ,HIV,watoto , just to mention a few
Mungu wetu yupo na anafanya kazi na watu wake, japokuwa katika msafara wa mamba na kenge wapo.No way , kabla hujaenda kutafuta kuombewa kwa jambo fulani mshirikishe roho mtakatifu akuongoze katika njia sahihi.
SAMAHANI KWA KUANDIKA KWA KIREFU. .......SHALOM......
Ungeetaja na parokia aliyopo Fr Shija ingependeza mkuu
 
Na ndio maana tuliaswa kwa uwazi kabisa kuhusu manabii wa siku za mwisho kuwa watakuwa na uwezo hata wa kuhamisha milima na kufufua watu lakini .TUSIWAAMINI HAO.
Kazi kubwa ipo ktk kuwatofautisha wapi wa kweli wapi wa uongo,maana kama ni injili wanaihubiri wote na kama ni miujiza wanafanya wote.ipo kazi kwa kweli.
 
Utawatambua kwa matendo yao
1479400843906.jpg
miujiza anaweza kufanya yeyote ni aina fulani ya ufundi na practice lakini matendo asili ya mtu hubaki naye
 
Simama na Mungu wako tuu mengine yooooote ni figisu figisu tuu
Kivipi mkuu?mfano unakuta mtu wako wa karibu ana mapepo kwa mfano,inabidi nitafute mtu wa Mungu amuombee,maana kuombea pia ni karama,sasa nitajuaje yupi ni wa kweli?mkuu ukisema tu simama na Mungu wako,unakuwa haujanisaidia,maana huyu mgonjwa sijui pa kumpeleka.na mimi unakuta hio karama sina.
 
Sahihi kabisa imagine unampeleka huyo mgonjwa kwa mzee wa upako gwajima au lusekelo! Kitakachomponya ni imani yake wala si miujiza ya hao manabii na mitume wa siku hizi
 
Huwa sikubaliani sana na habari ya kupona kwa sababu ya imani,japo ni maneno ambayo hata Yesu alitumia,kwa mfano,umempeleka mgonjwa ambae yuko mahututi hajitambui,au mgonjwa wa akili,anaombewa na anapona,hapo imani yake imemponya kivipi?mara nyingi msemo wa imani huwa unatolewa na watumishi wanaobahatisha,akishindwa kumsaidia mtu utasikia"hana imani huyu"
 
Hapana imani ni jambo la kiroho zaidi kuliko kidunia kwahiyo hata kama mtu yuko subsonscious lakini ufahamu wake uko live
 
Back
Top Bottom