Mimba za kuzimu

Mimba za kuzimu

Jihadhari za mimba na mimba za kutafuta kwa manabii na waganga wa kienyeji.

Jaribu kufuatilia hizo mimba mpaka mwisho wake au kama watoto walizaliwa salama na kama wako hai mpaka leo hii na kama tabia zao ni za kawaida
Nimeshuhudia mara nyingi matangazo kwenye tv magazeti na radii hao wanaojiita manabii mitume na waganga wakijinasibu kuwa wamewasaidia akina mama wengi kupata ujauzito na hatimaye kujifungua watoto.

Lakini kamwe hatujawahi kuletewa mrejesho wa wale watoto maendeleo yao....kiukweli ni kwamba wengi walikufa au kupotea katika mazingira ya ajabu mno..hawa si watoto halisi.

Kujiepusha na maumivu haya nendeni hospital kapimeni wote ijulikane tatizo liko wapi au tatizo ni la nani halafu tiba yake ninini! Kama hakuna shida kila kitu kiko sawa lakini mimba hazishiki mwombeni Mungu atawajaalia mtoto wa haki...!

Msijaribu kwingineko haitawalipa.
Watoto wa Dawa
 
Assumptions tu! hakuna biological fact yoyote wala huwezi kuprove scientifically kwamba kuna mimba za aina hiyo. Njoo na facts mtoa mada!
 
Usiwe wa kuegemea upande mmoja katika maisha utakosa mengi maisha yana pande nyingi na mambo ya kiroho hayana ithibati za kisayansi kwahiyo hapa utakuwa tu unapoteza muda wako kuniuliza kuhusu facts kwakuwa sinazo
 
The viceversa is also TRUEEEE " that it might be here or there {Refer logics [LOGIC]}
1acc0f117c5e8a529ce9edb5efc9c4f9.jpg
 
Jihadhari za mimba na mimba za kutafuta kwa manabii na waganga wa kienyeji.

Jaribu kufuatilia hizo mimba mpaka mwisho wake au kama watoto walizaliwa salama na kama wako hai mpaka leo hii na kama tabia zao ni za kawaida
Nimeshuhudia mara nyingi matangazo kwenye tv magazeti na radii hao wanaojiita manabii mitume na waganga wakijinasibu kuwa wamewasaidia akina mama wengi kupata ujauzito na hatimaye kujifungua watoto.

Lakini kamwe hatujawahi kuletewa mrejesho wa wale watoto maendeleo yao....kiukweli ni kwamba wengi walikufa au kupotea katika mazingira ya ajabu mno..hawa si watoto halisi.

Kujiepusha na maumivu haya nendeni hospital kapimeni wote ijulikane tatizo liko wapi au tatizo ni la nani halafu tiba yake ninini! Kama hakuna shida kila kitu kiko sawa lakini mimba hazishiki mwombeni Mungu atawajaalia mtoto wa haki...!

Msijaribu kwingineko haitawalipa.
Hodi humu ndani,mi ni mgeni nusu,sikuwa member bali ni msomaji na mfuatiliaji sanasana wa jf,mshana jr mie ni mfuatiliaji sana wa nyuzi zako,japo zingine huwa zinatisha sana,ila kikubwa nilicho jifunza kwako ni kuwa unaishi ro h honi zaidi kuliko mwilini.kwamba haya maisha yetu ni soft copy ya kilichopo ktk ulimwengu wa roho.asante kwa kujitoa kutukumbusha.naomba kukaribishwa mgeni mwenyeji.
 
Asante na karibu sana
 
MSITOETOE MIMBA MADADA MTAKUJA JUTA MBELENI NASIYE WANAUME HATUTAKI WANAWAKE WASIOZAA
 
Back
Top Bottom