Dah! Ila
mshana jr sipati picha ulivyojichanachana chale, hivi nyumban kwako unasali? Au kwamfano kikatokea kitu chochote ktk mazingira ya kutatanisha hapo si unashinda unatwanga mitishamba?
Unajua nmekumbuka kipind nasoma kuna chumba nilikuwa nakaa sasa alikuja jamaa yangu mmoja kuomba hifadhi kwakuwa nyumban kwao walikuwa na migogoro yule jamaa alikuwa mshirikina hatari, yaan akiona hata mbwa kakatisha tu tayar anaanza kujipaka midawa yake, siku moja nipo kitandan napiga msuli bed nikashangaa nmemwagiwa maji hata mtu aliyenimwagia simuon na hakukuwa na mtu yeyote ndan halafu nikasikia sauti ikijisonya kutoka darini. Ikabidi nimwambie baba alimfukuza yule jamaa.