ABC ZA 2025
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 1,160
- 706
Tuchape kazi kwa bidii,
Hata vichaa watamwelewa tu,Kwa kasi hii ni vichaa tu ndio wanaweza wasimwelewe Rais Samia
Mungu simama na TanzaniaNijambo la kujivunia, miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji ulikua kwa 400% Ukafikia US$3BL toka US$510M | Nikaribu mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho
"Hakuna kama Samia "
Jumla ya miradi 133 yenye thamani ya US$ 2.98 ilisajiliwa kati ya mwezi March na mwezi Agosti 2021,ambayo ni karibu na TZS 7trilioni,
Ukisikia Mama anaupiga mwingi hii ndio maana halisi ya "kuupiga mwingi " sasa, Watanzania lazima tushukuru kumpata mchapakazi mwingine wa viwango vya juu zaidi,
Katika kipindi kama hicho FY2019|2020 Jumla ya miradi 105 yenye thamani ya US$510M ilisajiliwa amabyo ni sawa na karibu TZS 1.1trilioni ,
Ndani ya miezi sita ya kwanza ya Rais Samia na kutokana na Juhudi mbalimbali anazozifanya Rais wetu tayari tumeongeza uwekezaji kwa TZS 4trilioni ambazo ni sawa karibu na 400% ya uwekezaji uliofanywa FY2019|2020 yaani ni karibu mara sita zaidi,heko Rais Samia.
Wale Wote wenye mapenzi mema na Tanzania endeleeni kumwombea na kumshika mkono Mama huyu kwani kwahakika mwelekeo huu ni mzuri,Unatia moyo na unapunguza machungu ya kumpoteza jemedari wetu hodari Hayati Dk John John Pombe Magufuli,Mungu tembea na Tanzania yetu.
View attachment 1946749
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Mama anafanya maajabu kwelikweli,Nijambo la kujivunia, miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji ulikua kwa 400% Ukafikia US$3BL toka US$510M | Nikaribu mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho
"Hakuna kama Samia "
Jumla ya miradi 133 yenye thamani ya US$ 2.98 ilisajiliwa kati ya mwezi March na mwezi Agosti 2021,ambayo ni karibu na TZS 7trilioni,
Ukisikia Mama anaupiga mwingi hii ndio maana halisi ya "kuupiga mwingi " sasa, Watanzania lazima tushukuru kumpata mchapakazi mwingine wa viwango vya juu zaidi,
Katika kipindi kama hicho FY2019|2020 Jumla ya miradi 105 yenye thamani ya US$510M ilisajiliwa amabyo ni sawa na karibu TZS 1.1trilioni ,
Ndani ya miezi sita ya kwanza ya Rais Samia na kutokana na Juhudi mbalimbali anazozifanya Rais wetu tayari tumeongeza uwekezaji kwa TZS 4trilioni ambazo ni sawa karibu na 400% ya uwekezaji uliofanywa FY2019|2020 yaani ni karibu mara sita zaidi,heko Rais Samia.
Wale Wote wenye mapenzi mema na Tanzania endeleeni kumwombea na kumshika mkono Mama huyu kwani kwahakika mwelekeo huu ni mzuri,Unatia moyo na unapunguza machungu ya kumpoteza jemedari wetu hodari Hayati Dk John John Pombe Magufuli,Mungu tembea na Tanzania yetu.
View attachment 1946749
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Wewe kaka haya mambo unayotoa wapi?Wenye chuki binafsi wqnatafuta pa kutokea na hawapaoni 😄😄
View attachment 2223777
View attachment 2223778
View attachment 2223779
View attachment 2223780
View attachment 2223781
View attachment 2223782
View attachment 2223783
View attachment 2223784
View attachment 2223785
View attachment 2223786
SISI NA SAMIA TU MPAKA 2030Nijambo la kujivunia, miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji ulikua kwa 400% Ukafikia US$3BL toka US$510M | Nikaribu mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho