Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 1,448
- 1,003
Tanzania kama speed ni hii basi mpaka 2030 huenda Tanzania ndio ikawa nchi yenye Uchumi mkubwa Africa,Tumwombe sana Mungu wetu katika hili
Naungana na wewe 100%Utaumia sana, JPM yupo kuzimu, Mama ndio habari ya mujini mpaka 2030 inshallah.
Usijitafutie maradhi ya moyo kwa kumchukia the choosen one, ukisikia chaguo la Mungu ndip mtu kama Samia.
Hakugombea Urais ila Mungu amependezwa naye.
DaaahUtaumia sana, JPM yupo kuzimu, Mama ndio habari ya mujini mpaka 2030 inshallah.
Usijitafutie maradhi ya moyo kwa kumchukia the choosen one, ukisikia chaguo la Mungu ndip mtu kama Samia.
Hakugombea Urais ila Mungu amependezwa naye.
KaziindeleeNijambo la kujivunia, miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji ulikua kwa 400% Ukafikia US$3BL toka US$510M | Nikaribu mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho
"Hakuna kama Samia "
Jumla ya miradi 133 yenye thamani ya US$ 2.98 ilisajiliwa kati ya mwezi March na mwezi Agosti 2021,ambayo ni karibu na TZS 7trilioni,
Ukisikia Mama anaupiga mwingi hii ndio maana halisi ya "kuupiga mwingi " sasa, Watanzania lazima tushukuru kumpata mchapakazi mwingine wa viwango vya juu zaidi,
Katika kipindi kama hicho FY2019|2020 Jumla ya miradi 105 yenye thamani ya US$510M ilisajiliwa amabyo ni sawa na karibu TZS 1.1trilioni ,
Ndani ya miezi sita ya kwanza ya Rais Samia na kutokana na Juhudi mbalimbali anazozifanya Rais wetu tayari tumeongeza uwekezaji kwa TZS 4trilioni ambazo ni sawa karibu na 400% ya uwekezaji uliofanywa FY2019|2020 yaani ni karibu mara sita zaidi,heko Rais Samia.
Wale Wote wenye mapenzi mema na Tanzania endeleeni kumwombea na kumshika mkono Mama huyu kwani kwahakika mwelekeo huu ni mzuri,Unatia moyo na unapunguza machungu ya kumpoteza jemedari wetu hodari Hayati Dk John John Pombe Magufuli,Mungu tembea na Tanzania yetu.
View attachment 1946749
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Shusheni kwanza bei ya vifaa vya ujenziKama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,
Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,
#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
Itashuka soon Sana,Shusheni kwanza bei ya vifaa vya ujenzi
Moto fire na SamiaNijambo la kujivunia, miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji ulikua kwa 400% Ukafikia US$3BL toka US$510M | Nikaribu mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho
"Hakuna kama Samia "
Jumla ya miradi 133 yenye thamani ya US$ 2.98 ilisajiliwa kati ya mwezi March na mwezi Agosti 2021,ambayo ni karibu na TZS 7trilioni,
Ukisikia Mama anaupiga mwingi hii ndio maana halisi ya "kuupiga mwingi " sasa, Watanzania lazima tushukuru kumpata mchapakazi mwingine wa viwango vya juu zaidi,
Katika kipindi kama hicho FY2019|2020 Jumla ya miradi 105 yenye thamani ya US$510M ilisajiliwa amabyo ni sawa na karibu TZS 1.1trilioni ,
Ndani ya miezi sita ya kwanza ya Rais Samia na kutokana na Juhudi mbalimbali anazozifanya Rais wetu tayari tumeongeza uwekezaji kwa TZS 4trilioni ambazo ni sawa karibu na 400% ya uwekezaji uliofanywa FY2019|2020 yaani ni karibu mara sita zaidi,heko Rais Samia.
Wale Wote wenye mapenzi mema na Tanzania endeleeni kumwombea na kumshika mkono Mama huyu kwani kwahakika mwelekeo huu ni mzuri,Unatia moyo na unapunguza machungu ya kumpoteza jemedari wetu hodari Hayati Dk John John Pombe Magufuli,Mungu tembea na Tanzania yetu.
View attachment 1946749
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Mama anafanya kazi kwelikweli tukiweka chuki pembeniNijambo la kujivunia, miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji ulikua kwa 400% Ukafikia US$3BL toka US$510M | Nikaribu mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho