Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

Ndio huwa namkubali Zitto, huwezi kusikia anaongea upuuzi upuuzi Bungeni.

zitto anafanya kazi ya sisim, so he is happy chadema inakufa, mwambie atasubiri sana
 
Tatizo Sugu analeta mambo ya mipasho mpaka bungeni hawa ndiyo wanajitapa kuwa wanataka kumkomboa mtanzania.

T0560001R Imethibitishwa umepokea kiasi cha shilingi 50,000 leo saa 23:43 12/04/2013 kutoka/from kwa LAMECK MADELU. Salio lako jipya la MPESA ni shilingi 50,600.00.
Hii ni zawadi ya komenti yako hiyo.
 
si ajabu sugu kulipuka, itakua si yeye ni bangi tu zimelipuka mkuu, zile alizokua akivuta kabla ya kupanda majukwaani na mlegezo

Kuna mbunge wa CCM bangi ni hoja yake...sasa wewe endelea na komenti zako aje akuvae
 
Kwa madai ya elimu ya kuungaunga kwa mh Mlugo, mh Sugu asisahau kuwa hata yeye Hakustahili kuwa mbunge kwa elimu yake!! kama si katiba yetu kusema sifa ya mbunge ajue kusoma na kuandika, hivyo kumpelekea hata Rais kuchagua mawaziri miongoni mwa mbumbumbu kwa kuzingatia kuwa lazima Mbunge awe Mbunge.

Sugu hajasema ana elimu tani sita...bali anazungumzia aliepewa jukumu la kusimamia elimu anatakiwa afanane na elimu hiyo...
Acha kumdharau Sugu...kuna mwenye elimu ndogo kama Prof.Maj..........
 
Haijasaidia chochote...bali ni mwendelezo wa vijembe ambavyo havina tija katika maslahi ya taifa na wananchi kwa ujumla....na kulipwa kodi zetu hapo mjengoni....i hate this
 
Haijasaidia chochote...bali ni mwendelezo wa vijembe ambavyo havina tija katika maslahi ya taifa na wananchi kwa ujumla....na kulipwa kodi zetu hapo mjengoni....i hate this

Keep hating....
 
Neno mwanamke mpumbavu liko kwenye BIBLIA TAKATIFU..
Usijaribu kutetea uozo wa ccm...hata mtoto mdogo sana anaelewa ubaya wa ccm sembuse wewe ulie mpumbavu wa kuwaza ngono...shenzi tyepe hiyo picha inakuonyesha ni jinsi gali ulivyojaa tope kichwani...!

Sorry, sikujua kama Bunge letu linaendeshwa na biblical laws. Kama mistari ya kwenye biblia ndiyo inayotumika kujenga hoja kwenye bunge letu, siku mtu mwingine akitumia mistari ya kitabu cha imani yake msije hapa kulalamika kwamba "wanaanzisha udini".

Juzi Tundu lisu amekuja na mistari ya kwenye biblia ya "Yuda Iskariote".
Na leo Mbilinyi naye ana mistari yake ya biblia.

Haya, Peter Tosh alishasema kwamba "if you can't take a blow never throw a blow."
 
Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?

Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.

Unaweza ukanijuza elimu ya mheshimiwa Sugu!! au kimya chake kina maneno ya kimzikimziki?
 
mkuu. Mwigulu is a man or your man?? Atakuwa anakupumulia
 
Wa mpui kaleta uzi hapa moderators wameutoa nanukuu alichoandika anasema ameambiwa na mfanyakazi wa bunge kuhusu simu ya iliyotoka kwa Kinana kwenda kwa spika Anne Makinda akimwita dada mtoe mwigulu kuchangia jioni achangie asubuhi kwa sababu ana mengi ya kusema, Anna makinda akamuuliza kwani anayotaka kusema ni makali sana akasema akuonyeshe atakachosema
Ujue Spika Anna Makinda pale kakaa kama boya anafuta amri za mwenyekiti wa CCm Jakaya Kikwete,Katibu Mkuu jangiri wa pembe za ndovu Abdarahman Kinana ,Spika anasuka na watu hawa jinsi ya kuendesha bunge kwa siku ukumbuke Vuta Nikuvute alikuja hapa na mada akitueleza kuwa Tundu Lissu ananyaraka za kuimbua serikali kwa hiyo wamejipanga Spika na MACCM kutibua hoja zote zitakazoongelewa na chadema
kwa hiyo wamejipanga kutuonyesha sisi wahaya ni magaidi?! ama kweli wahaya tumefika hatua ya chini kabisa kudhalilishwa na watu wa ajabu ajabu ambao mpaka juzi wanakuja mjini waki-share nyumba na mifugo!
 
Mbona "mwenye elimu" anayejiita Dr Nanihii hawezi hata kuandika paragraph moja bila ya kuidharaulisha elimu ya "dhp" ndiyo nimeandika "dhp".
Tena wanaomtetea wana visingizio lukuki, ooooh... "ametumia Ipad", wengine wanasema "typo".

Stationery ni neno la kisomi, kwa sababu haiwezekani kusoma bila ya kutumia stationery. Lakini pd. "dhp" hawezi kuandika neno stationery na anaandika stationary, which is a reflection of his mindset.

"Tender yako imewafaidi lip, lichee ya wewe kwa ajili ya bozo".
 
i can now see the light of freedom!.............:yo: sugu
 
Back
Top Bottom