Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

Thanks SUGU! Hata siku moja jibu la -------- haliwezi kuwa marhaba! ...Umewapa saizi yao hawa Lumumbawood wang'oa kucha, meno plus Video za kimagumashi....
 
Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?

Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.

Kwani Mwigulu amechangia nini?
 
Wakati akichangia bajeti ya PM, Mh Mbilinyi ametumia lugha kali sana dhini ya serikali na Mwigulu Nchemba akazua ubishi mkubwa kati yake na Speaker..

Ameanza kwa kusema kuwa "Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake mwenyewe" na hivyo hivyo serikali pumbavu hubomoa nchi.

Akasema kuwa walimnyanyapaa Mbatia na hoja yake ya Elimu na kukumbatia wapumbavu kama akina Mwigulu; na sasa matokeo ya Form 4 2012 yamewaumbua.

Amelaumu usalama wa Taifa kwa kushindwa kumshauri Rais hadi akamteua waziri wa elimu mwenye elimu ya kuunga unga.

Alipotakiwa kufuta neno upumbavu alikataa kata kata...

Mh Sugu Mungu akulinde wapewape vidonge vyaoo PUMBAFUuuu*
 
CHADEMA wameshindwa hoja bungeni sasa wanataka wazichape na CCM!

What a weak opposition!

CHADEMA si chama makini.

NINAKUTAMBUA FIKA,HUNIDANGANYI WALA HUNISHAWISHI KWA LOLOTE .Jitahidi ,leo utanyimwa posho.ukachaji lap top ili uendelee kusukuma toroli humu JF
 
Ni kiongozi gani wa CHADEMA aliyewahi kujiwajibisha/kuwajibika? Unaifahamu elimu ya Mh. Mbowe?
Mbowe toka lini amewahi kuwa waziri Wa elimu we kilaza? Mbowe tangu lini akagushi vyeti vya elimu we mbwiga? We jamaa huwa nakudharau sana kwa pumba unazoandika humu.
 
Kigwangala naye anachemka kishenzi...anasema kuwa serikali ispoacha upuuzi atachukua hatua mwenyewe...

Kwamba wanaandamana, wanaua watu na kung'oa kucha na meno...

Kama wataachwa yeye atahamasisha watu wa Nzega wawakamate na yeye atawashughulikia...

Amesema kuwa viongozi wote wa CHADEMA ni wapuuzi...

Na speaker hajaingilia kati...

Kachemka wapi hapo?
 
Nasikia harufu ya Ndodi, Bunge being the stage Promoter Madam
 
Tatizo Sugu analeta mambo ya mipasho mpaka bungeni hawa ndiyo wanajitapa kuwa wanataka kumkomboa mtanzania.

Ndiyo tatizo la watu wa mwambao. Kila analosikia yeye anachoona ni MIPASHO tu. Sugu ameongea mazuri na ya maana lakini wewe ulichoambulia ni hicho tu. Pole sana.
 
Amemtukana mwiguru kuwa ni mpumbavu.
Hizi bange bwana.
Na kama spika asingemzuia nchemba kutoa taarifa tungeshuhudua senema ingine maana mwiguru si mchezo kwa maneno.
Sema si mchezo kwa matusi kwani hana kitu kichwani zaidi ya povu
 
Hoja yake imesaidia
vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?

Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input
alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba
"kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.

kwao wao ndo msingi wa sera zao...
 
Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man

Humjui Mwigulu wewe nguchiro.Mwigulu naye kaungaunga elimu kama Nape,atakuwaje the man?au anaku******?Uliza jimbo zima la Mwigulu kama kuna mwenyeji wa huko mwenye majina hayo.Watu wenye elimu za mashaka ndo wanaojikomba ccm ili watoto waende chooni;na sishangai ukawa mmojawao.
 
Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?

Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.

Eleza input za Mwigulu. Cha ajabu hata hayo ilishindwa kupiga makofi
 
Bunge limejaa ngonjera,kejeli,upuuzi na upumbavu.kila siku vijembe ccm badala ya kufanya mambo ya msingi wanaharibiwa reputation na watu wachache,mwisho wa siku cmm yote inaonekana hovyo.hata kama wakina mwigilu wanafanya kazi ya ubackbencher lakini wanapitiliza mpaka sasa wanaidhalilisha ccm.kweli mwanamke mjinga huvunja nyumba yake mwenyewe.
 
Sidhani hili ni kwa viongozi vijana tuu cheki hapa!

Asiyekuwa na nauli apige mbizi-magufuli

Viongozi vijana wana matatizo makubwa sana juu ya hekima na busara kwa kuwa hawajui kipi kinatakiwa kuzungumzwa wapi na wakati gani,siku zote wao ni kutanguliza nguvu kubwa sana ya kimaamuzi ama kwa maslai yao au ya makundi yao ili eti waonekane wanawajibika vema.

Viongozi wa namna hii hawafai kabisa kwa kuwa wanadhalilisha dhima mzima ya bunge na kuonekana ni mkusanyiko wa watu fulani waliovalia vizuri lakini kichwani hamna kitu.

Nayasema haya kwa ujumla wala si kwa mtu fulani au kundi fulani.Kwa yoyote mwenye busara na utimamu wa akili ni vema kuwakemea kwa nguvu zote,lakini pia ni vema kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu ili aweze kuwabadilisha kitabia na mienendo yao.
 
si ajabu sugu kulipuka, itakua si yeye ni bangi tu zimelipuka mkuu, zile alizokua akivuta kabla ya kupanda majukwaani na mlegezo
 
Back
Top Bottom