MBWA WA MANZESE
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,621
- 614
SUGU is simply confidence plus arrogance, is perfect dosage for CCM
watu kama hawa wanafaa kufanya kazi mochwari!!kwa ujasiri alio nao hata marehemu anaweza kuwapangia zamu za kudeki!
SUGU is simply confidence plus arrogance, is perfect dosage for CCM
Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man
be specific mkuu. Mwigulu is a man or your man??
No, he is just an ignorant guy
Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man
ni kweli kabisa mkuCHADEMA shupalieni mambo ya kumkomboa Mtanzania tafadhali wala msibishane na CCM, wenyewe wanajua wanachotetea, mtu kama Mwigulu ataongea nini wenye nhekima wamsiklize?
Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man