Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

Siasa za bongo, sasa naona Bunge lina-Focus kwenye kampein za uchaguzi na kimarisha vyama!!! wallah naimini hakutakuwa na hoja itakayojadiliwa bila ishu ya Rwakatale na Mwigilu kuingia ndani... yaani imekuwa ya muhimu kuliko mambo mengine. anyway hakuna mwanzo usio na mwisho so I am anxiously waiting to see the end of this SAGA! TANZANIA KWANZA!!
 
Limekuwa Bunge la mipasho? haya yangu macho

Najua wote hao wanaona 2015 imekaribia angalau na wao washike Mic waonekane Runingani.
 
Wabunge wote hovyo tu, Wa CCM wakichangia hoja kwa kulalamikia serikali pumbavu, mwisho wanamalizia kwa kuunga mkono hoja! Yupi ana unafuu hapa?

Yaani wanakera vibaya mno, wanalalamika lakini mwisho wanaunga hoja.....
 
Amemtukana mwiguru kuwa ni mpumbavu.
Hizi bange bwana.
Na kama spika asingemzuia Nchemba kutoa taarifa tungeshuhudua senema ingine maana Mwiguru si mchezo kwa maneno.

Mwi gu Ru kweli ni mpumbavu tu anafikiri anaweza kutuliza kasi ya kuikomboa nchi hii kutoka kwa mafisadi??
 
kuna mashska na walakini kwa msimamizi wa jiko, ambaye taaluma yake ina mashaka na walakini, hivyo chakula kinacholetwa kilingeni kinakuwa hakijaiva au hakina radha, ila na wengine wamepoteza ueledi wao wamebaki wanang'oa kucha na meno, nadhani ni input tosha
Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?

Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.
 
Duh! Sugu ameuwa bendi kabisa!
mohamedi mtoi, CHADEMA kupitia viongozi wake wote bila kificho ni wapenda mabadiliko na wasioridhishwa na hali halisi ya maisha ya watanzania. Kwa watanzania wengi hiki ni kigezo tosha kwenye kampeni za uchaguzi wa 2015 kwa sababu wapiga kura wengi hawako tayari kuendelea kuukumbatia umaskini uliokidhiri miongoni mwa familia zao,
 
Mwigulu ni mpayukaji tu wala si mtu wa kuitwa si mchezo
 
wanacheza mziki wa mwigulu sasa, wameahau kilicho wapeleka bungeni na kubaki kujadili mwigulu.
 
Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?

Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.

Unatia huruma yaani unategemea CCM ishaurike na hoja za Chadema? Jua litazima kabisa. Ila kwa kukataa ushauri wa Chadema CCM inaitendea haki Chadema mbele ya wananchi wanaozikubali hoja hizo.
 
amesema Serikali hii ni sawa na mwanamke mpumbavu anaeiharibu nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

hatuwezi kuwa na waziri mwenye elimu ya kuungaunga tutegemee elimu bora.!!
Kama ni bangi, basi kwa hapa inafaa, kama Bob Marley.
 
Back
Top Bottom