Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

Ndio huwa namkubali Zitto, huwezi kusikia anaongea upuuzi upuuzi Bungeni.
 
Hakuna jipya wote wale wale tu, they after their parties politics. The beautiful one are not yet born in Tanzania.
 
Kuna muda unaweza kumkufulu MUNGU kwa kuzaliwa mtanzania
 
Acha kutia aibu twambie hoja za mwingulu zilisaidia nini kwenye budget?
Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?

Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.
 
Bunge linavoenda ndo sawasawa kabisa. Kama hupendi kamwambia spika aondoe hiyo ishu ya kuwapunguzia wapinzani nafasi za kuchangia. Nawashauri wabunge wangu wa CDM ukipata dakika zako tano, tatu toa hoja yako kwa makini, mbili maliza hasira zako.
 
Wakati akichangia bajeti ya PM, Mh Mbilinyi ametumia lugha kali sana dhini ya serikali na Mwigulu Nchemba akazua ubishi mkubwa kati yake na Speaker..

Ameanza kwa kusema kuwa "Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake mwenyewe" na hivyo hivyo serikali pumbavu hubomoa nchi.

Akasema kuwa walimnyanyapaa Mbatia na hoja yake ya Elimu na kukumbatia wapumbavu kama akina Mwigulu; na sasa matokeo ya Form 4 2012 yamewaumbua.

Amelaumu usalama wa Taifa kwa kushindwa kumshauri Rais hadi akamteua waziri wa elimu mwenye elimu ya kuunga unga.

Alipotakiwa kufuta neno upumbavu alikataa kata kata...

Wahenga sio VIAZI, tuwasikiize: UKWELI UNAUMA (methali ya kiswahii); Utaujua ukweli nao utakufanya uwe huru (maandiko ktk Biblia)
 
Kumjadili mtu kama Mwugulu aliye panda ngazi za ghorofa akiwa anaingia sekondari Ilboru akadhani nyumba itaanguka ni kukosa mwelekeo. Cdm jadilini hoja achaneni na huyo taahira. Ccm hamna mwenye afadhali.
 
Ahsante sana mh.sugu kwa kutoa zawadi ya weekend nasema ahsante maana hawa kenge ni kuruka nao tu,hapa naongeza nyingine ya baridi i say thankx in advance,CCM ni pumbavu hasa hawa jamaaa.WALIMNYANYAPAA MBATIA MATOKEO YA F4 YAMEWAVUA NGUO.
 
Nimemsikiza mpaka nimetoka jasho!
Mimi nilikuwa natembea tembea mara napandisha sauti ya Luninga ili watu wote waliopo nje wasikie. Tatiz alikuwa na muda kidogo. Yule jamaa kafunika vibaya sana
 
binafsi sioni haja ya kuwa na bunge la namna hii,halina tija kwa taifa,bora lingevunjwa.
 
Back
Top Bottom