Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

payment umeshachukua? Tumekuongeza malipo saivi tunataka uhendelee na hii kasi yani siku nzima pambana na hao wapenda mabadiliko kwa kuchange na kutetea mada humu Jf!!!!!!!!!!!!

Wewe akili zako na Dr. Paurine hazina tofauti. Sio kosa lako.
 
Wakati akichangia bajeti ya PM, Mh Mbilinyi ametumia lugha kali sana dhini ya serikali na Mwigulu Nchemba akazua ubishi mkubwa kati yake na Speaker..

Ameanza kwa kusema kuwa "Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake mwenyewe" na hivyo hivyo serikali pumbavu hubomoa nchi.

Akasema kuwa walimnyanyapaa Mbatia na hoja yake ya Elimu na kukumbatia wapumbavu kama akina Mwigulu; na sasa matokeo ya Form 4 2012 yamewaumbua.

Amelaumu usalama wa Taifa kwa kushindwa kumshauri Rais hadi akamteua waziri wa elimu mwenye elimu ya kuunga unga.

Alipotakiwa kufuta neno upumbavu alikataa kata kata...

Inanibidi nicheke tuu, sasa kama hawa ndiyo watu wanaotaka kuongoza nchi, basi kazi ipo. Kinachonisikitisha ni kwamba upumbavu wake wote umepewa "thumbs up" hapa JF.

Labda tuanze na hoja yake kwanza.

1. Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake mwenyewe".
Kwanini mwanamke? Ina maana uvunjikaji wa nyumba ni makosa ya wanawake peke yao? Hivi ndivyo chadema inavyowaona wanawake?

2. matokeo ya Form 4 2012 yamewaumbua.
Hivi mweshimiwa mbilinyi sugu matokeo yake ya form 4 yakoje? Kama ni kweli mtu huyu ana haki ya kushangaa matokeo ya form yakoje? Nauliza kwa sababu kulaumu matokeo ya form 4 imekuwa "fashion"sasa. Hata watu ambao walipata zero na div. fours wakiwa form 4 nao pia wanajifanya kuyashangaa matokeo ya form 4. Naomba Sugu aweke matokeo yake ya form 4 hapa.

3. waziri wa elimu mwenye elimu ya kuunga unga. Hivi elimu ya waziri wa elimu inatakiwa iwe ya kiwango gani? na ya mbunge jee? Kwa mujibu wa katiba, mtu mwenye elimu ya kuunga unga anakatazwa kushika nyazifa gani?
Mimi binafsi sina elimu ya kuunga unga lakini nilijaaliwa kuwa na elimu ya mfululizo. Lakini kwa uzoefu wangu nimewahi kuona viongozi wazuri sana ambao elimu zao ni za ku unga unga. Mmoja wa viongozi hao ni Nelson Mandela. Sasa kama mweshimiwa Sugu anadhania mtu mwenye elimu ya kuunga unga asiruhusiwe kuwa waziri wa elimu, jee ana msimamo gani kuhusu mtu asiye na elimu kuwa mwenyekiti wa chama cha siasa? au mtu asiye na elimu kuwa mbunge wa watu Mbeya?

-------------------------------------------------------------------------------

1331747663_bear_playing_with_himself.gif
 
Watu kama wewe kule kwetu Old Moshi ni wanywa dadii na banana. Kwasababu hata mtu unywe album/vitochi vya mbege vingi namna gani, huwezi kuwa na akili ya namna hii.

Unahitaji kuombewa misa ya wafu parokiani au kigangoni.

“Dear Guest, Welcome to the UAE.
Enjoy the best network coverage
and other unmatched services only
with Etisalat. Please use<+> or
<00>before the country code for
international calls. For directory services call 181, for availability of
GPRS, MMS 3G roaming services call
Etisalat Travellers help line 8002300
& for inquiries on Tourism,
entertainment, shopping, etc call
7000-1-7000(Roaming rates apply) Have a pleasant stay in the UAE.”
mapovu kibao, maku wewe.
 
Inanibidi nicheke tuu, sasa kama hawa ndiyo watu wanaotaka kuongoza nchi, basi kazi ipo. Kinachonisikitisha ni kwamba upumbavu wake wote umepewa "thumbs up" hapa JF.

Labda tuanze na hoja yake kwanza.

1. Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake mwenyewe".
Kwanini mwanamke? Ina maana uvunjikaji wa nyumba ni makosa ya wanawake peke yao? Hivi ndivyo chadema inavyowaona wanawake?

2. matokeo ya Form 4 2012 yamewaumbua.
Hivi mweshimiwa mbilinyi sugu matokeo yake ya form 4 yakoje? Kama ni kweli mtu huyu ana haki ya kushangaa matokeo ya form yakoje? Nauliza kwa sababu kulaumu matokeo ya form 4 imekuwa "fashion"sasa. Hata watu ambao walipata zero na div. fours wakiwa form 4 nao pia wanajifanya kuyashangaa matokeo ya form 4. Naomba Sugu aweke matokeo yake ya form 4 hapa.

3. waziri wa elimu mwenye elimu ya kuunga unga. Hivi elimu ya waziri wa elimu inatakiwa iwe ya kiwango gani? na ya mbunge jee? Kwa mujibu wa katiba, mtu mwenye elimu ya kuunga unga anakatazwa kushika nyazifa gani?
Mimi binafsi sina elimu ya kuunga unga lakini nilijaaliwa kuwa na elimu ya mfululizo. Lakini kwa uzoefu wangu nimewahi kuona viongozi wazuri sana ambao elimu zao ni za ku unga unga. Mmoja wa viongozi hao ni Nelson Mandela. Sasa kama mweshimiwa Sugu anadhania mtu mwenye elimu ya kuunga unga asiruhusiwe kuwa waziri wa elimu, jee ana msimamo gani kuhusu mtu asiye na elimu kuwa mwenyekiti wa chama cha siasa? au mtu asiye na elimu kuwa mbunge wa watu Mbeya?

-------------------------------------------------------------------------------

1331747663_bear_playing_with_himself.gif

Hujamuelewa Sugu wewe! Hilo la mwanamke mpumbavu, ametumia kama mfano wa msemo wa kwenye Biblia unaosema Mwanamke mjinga, huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe! Na yeye akionesha vizuri sana kwa jinsi gani serikali ya CCM inaharibu nchi hii; kwahiyo hapa Sugu amefanikiwa sana kulinganisha msemo huo na ukweli unaotokea sasa katika nchi hii hasa serikali ya CCM.

Kuhusu yeye alipata division gani sisi hayatuhusu, lakini ameonesha ni kiongozi anayesikitikia watu wake kufeli, yeye kama kiongozi hajiongozi, lakini anapenda watu wa tanzania wakifanikiwa vizuri hasa kielimu kwa kufaulu vizuri. Mimi baba yangu hakusoma hata primary school lakini amekuwa chachu kubwa kwangu mimi mpaka kufanya digrii ya tatu.

Kuhusu Mulugo, hasemi kwamba ameungaunga kwa kutounganisha shule, bali anaelezea kuwa amefoji, ametumia vyeti ambavyo si vyake; na anawashangaa usalama wa taifa walikuwa wapi huyu mtu mpaka anapewa kazi ya Uwaziri? Ndio maana hii wizara haiwezi kufanya chochote cha maana; ndio Sugu anachosisitiza.

Sasa ndugu yangu kabla hujamcriticise mtu soma halafu muelewe ndipo utoe mawazo yako;

Bravo Sugu, pamoja sana jombaaa...
 
Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?

Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.

Kazungumzia Rais kupewa ushauri mzuri...kwani kmpotosha ni kuharibu nyumba yao wenyewe...
Kazungumzia umuhimu wa mtu mwenye sifa stahiki kusimamia elimu....kwa mtazamo wake mtu aliebabaisha katika elimu hawezi kuboresha na kusimamia maendeleo ya taaluma...
Hiyo sehemu ya Mwigulu ni immaterial kwenye hoja yake....usichague kuona.
 
Aaaaah ! Na wewe umetukana ?! Pumbavu zako kabisaaa !
sasa mkuu lakini mimi hainivunjii heshima maana title yangu haianzi na Mheshimiwa, kama hao WAPUMBAVU niliowataja. nawasiwasi hata na wananchi wanaowawakilisha. kama vile zinafanana.
 
Kigwangala naye anachemka kishenzi...anasema kuwa serikali ispoacha upuuzi atachukua hatua mwenyewe...

Kwamba wanaandamana, wanaua watu na kung'oa kucha na meno...

Kama wataachwa yeye atahamasisha watu wa Nzega wawakamate na yeye atawashughulikia...

Amesema kuwa viongozi wote wa CHADEMA ni wapuuzi...

Na speaker hajaingilia kati...

Hao wana kamchezo kao ka bastola....wabunge wa mkoa wa tabora ni malimbukeni wa maisha...mwingine kila siku anapambana na matawi ya Simba.
Huyu Kigwangala mara aseme anaacha siasa....mara bastola n.k...mtu wa tatu kwenye kura za maoni...
 
Hakuna kinachoshangaza,unategemea nini zaidi kutoka kwake?

MEMBER OF PARLIAMENT CV

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1644.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Osmund[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Joseph[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Mbilinyi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Mbeya Mjini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]Box 815, Mbeya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 716 627344[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]jmbilinyi@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]1 May 1972[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Sabasaba Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sisimba Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sokoine Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ligula Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Mbeya Urban Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]BP Tanzania Limited[/TD]
[TD]Security Officer[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Self Employed[/TD]
[TD]Celebrity[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]Member[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Sawa elimu ni ndogo..
Hebu tuwekee ile ya mganga wa kienyeji
anaejiita PROFESSOR MAJI MAREFU,, NA YA LIVNSON LUSINDE...
Acha kukashifu watu..
Hivi wale wenye madigree wametusaidia nini?
Si ndio wengi bungeni wanalala usingizi wa porno!
 
Thankx mr.2 kama ni elimu nchi hi mwigulu nchemba ni mchumi wa dalaja la kwanza anafanya nini kwa manufaa ya taifa!? Kama sio upumbavu bora uwatukane wajue wajibu wao.
 
Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.
Ze Ze Ze Ze taaaaaaaaa! Umefulia wewe, wenzio wanasema Sugu kamchama gaidi wewe unaleta hoja ya mzee wa kulialia. CCM bana mmefulia!! Kweli Joti ana hoja! Mmefuliaaaaaaa
 
Neno mwanamke mpumbavu liko kwenye BIBLIA TAKATIFU..
Usijaribu kutetea uozo wa ccm...hata mtoto mdogo sana anaelewa ubaya wa ccm sembuse wewe ulie mpumbavu wa kuwaza ngono...shenzi tyepe hiyo picha inakuonyesha ni jinsi gali ulivyojaa tope kichwani...!
Inanibidi nicheke tuu, sasa kama hawa ndiyo watu wanaotaka kuongoza nchi, basi kazi ipo. Kinachonisikitisha ni kwamba upumbavu wake wote umepewa "thumbs up" hapa JF.

Labda tuanze na hoja yake kwanza.

1. Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake mwenyewe".
Kwanini mwanamke? Ina maana uvunjikaji wa nyumba ni makosa ya wanawake peke yao? Hivi ndivyo chadema inavyowaona wanawake?

2. matokeo ya Form 4 2012 yamewaumbua.
Hivi mweshimiwa mbilinyi sugu matokeo yake ya form 4 yakoje? Kama ni kweli mtu huyu ana haki ya kushangaa matokeo ya form yakoje? Nauliza kwa sababu kulaumu matokeo ya form 4 imekuwa "fashion"sasa. Hata watu ambao walipata zero na div. fours wakiwa form 4 nao pia wanajifanya kuyashangaa matokeo ya form 4. Naomba Sugu aweke matokeo yake ya form 4 hapa.

3. waziri wa elimu mwenye elimu ya kuunga unga. Hivi elimu ya waziri wa elimu inatakiwa iwe ya kiwango gani? na ya mbunge jee? Kwa mujibu wa katiba, mtu mwenye elimu ya kuunga unga anakatazwa kushika nyazifa gani?
Mimi binafsi sina elimu ya kuunga unga lakini nilijaaliwa kuwa na elimu ya mfululizo. Lakini kwa uzoefu wangu nimewahi kuona viongozi wazuri sana ambao elimu zao ni za ku unga unga. Mmoja wa viongozi hao ni Nelson Mandela. Sasa kama mweshimiwa Sugu anadhania mtu mwenye elimu ya kuunga unga asiruhusiwe kuwa waziri wa elimu, jee ana msimamo gani kuhusu mtu asiye na elimu kuwa mwenyekiti wa chama cha siasa? au mtu asiye na elimu kuwa mbunge wa watu Mbeya?

-------------------------------------------------------------------------------

1331747663_bear_playing_with_himself.gif
 
Watu kama wewe kule kwetu Old Moshi ni wanywa dadii na banana. Kwasababu hata mtu unywe album/vitochi vya mbege vingi namna gani, huwezi kuwa na akili ya namna hii.

Unahitaji kuombewa misa ya wafu parokiani au kigangoni.

Wewe uliombewa mwaka gani vile?
 
Sawa elimu ni ndogo..
Hebu tuwekee ile ya mganga wa kienyeji
anaejiita PROFESSOR MAJI MAREFU,, NA YA LIVNSON LUSINDE...
Acha kukashifu watu..
Hivi wale wenye madigree wametusaidia nini?
Si ndio wengi bungeni wanalala usingizi wa porno!
kwani hao unaowasema wameongea leo bungeni kama Mh. Mbilinyi?.
 
CHADEMA wameshindwa hoja bungeni sasa wanataka wazichape na CCM!

What a weak opposition!

CHADEMA si chama makini.

Weak opposition wangekuwa wamesurrender...kama bado wanapambana hiyo ni strong opposition....
But inategemea na your own translation...nani kasema wanataka kupigana?
Kigwangala ndio kasema atapambana na CHADEMA...
Kama huna hela ya King'amuzi,nenda Lumumba kuna TV unatazama bure....
 
Back
Top Bottom