Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,065
Kigwangala naye anachemka kishenzi...anasema kuwa serikali ispoacha upuuzi atachukua hatua mwenyewe...
Kwamba wanaandamana, wanaua watu na kung'oa kucha na meno...
Kama wataachwa yeye atahamasisha watu wa Nzega wawakamate na yeye atawashughulikia...
Amesema kuwa viongozi wote wa CHADEMA ni wapuuzi...
Na speaker hajaingilia kati...
Wa
wana hasira kwa mwigulu kumsema mbowe,hadi wamechanganyikiwa.
Kigwa naye kawachana live kwamba ni wapuuzi,huh?
kwa hiyo wamejipanga kutuonyesha sisi wahaya ni magaidi?! ama kweli wahaya tumefika hatua ya chini kabisa kudhalilishwa na watu wa ajabu ajabu ambao mpaka juzi wanakuja mjini waki-share nyumba na mifugo!
Serikali pumbavu
Kiongozi dhaifu
Heko kwa sugu
And you must be a woman!Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man
Nimeona Kigwangala akitumia muda mwingi kuwaita wapinzani wapuuzi, sijui mchango wake kwenye budget ni upi! Tena kama kuna wabunge wasiochangia kitu cha maana na wa ccm. Kazi yao ni kujibu hoja za upinzani wakati hiyo ni kazi ya mawaziriHoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.
wakati akichangia bajeti ya pm, mh mbilinyi ametumia lugha kali sana dhini ya serikali na mwigulu nchemba akazua ubishi mkubwa kati yake na speaker..
Ameanza kwa kusema kuwa "mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake mwenyewe" na hivyo hivyo serikali pumbavu hubomoa nchi.
Akasema kuwa walimnyanyapaa mbatia na hoja yake ya elimu na kukumbatia wapumbavu kama akina mwigulu; na sasa matokeo ya form 4 2012 yamewaumbua.
Amelaumu usalama wa taifa kwa kushindwa kumshauri rais hadi akamteua waziri wa elimu mwenye elimu ya kuunga unga.
Alipotakiwa kufuta neno upumbavu alikataa kata kata...
Aaaaah! unauliza maana ya neno Chemba? ni Septic tankKwani Chemba ni nani, hana lolote, hovyo kabisa.
A real man for Sha MakalaMwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man
Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?
Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.
Tatizo Sugu analeta mambo ya mipasho mpaka bungeni hawa ndiyo wanajitapa kuwa wanataka kumkomboa mtanzania.
Kwani huyu speaker hawezi kuwa mbayu wayu??
So far nadhani wanazitendea haki dakika zao.
Hakuna namna ya kuzitumia vizuri bila kuwachanachana hawa wapumbavu.
Hata ukisema kipi, kwa busara ipi, kuboresha bajeti haisaidii kitu.
Mwishoni wapo kina "Naunga Mkono Mia kwa Mia"
Mwacheni Sugu awachane, na wengine ungeni tera!
Mbona mzee wako ndie aliye hivyo au kwa ufupi ni tabia za mzee wakosi ajabu sugu kulipuka, itakua si yeye ni bangi tu zimelipuka mkuu, zile alizokua akivuta kabla ya kupanda majukwaani na mlegezo
Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?
Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.
Kweli Tanzania ni ajabu la 8 dunia, mtu unajisifu mwenyewe..... hii kali.Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man