Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?

Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.

Akiguswa Mwigulu basi kuna walakini, eti? Ila Mwigulu akigusa wengine kuna INPUT!!! SHY AWAY!!!!
 
Really...? Anyway tukusamehe tuu maana umejiunga juzi kwa sababu maalum ! Inaelekea alishakufanya mbaya sana na ndiyo maana bado unashituka...
Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man
 
Mie nimgeni hapa jf najaribukuangali the way tunavyochangia mada these politians are snake nawaona kama wanamuziki,wacheza mpira nivingeugeu tena sana (sugu kumtusi mwinguru tusishabikie) je hawa wanatusaidia nini sie?
 
Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man

Mwigulu is now your hero! I am waiting for a day when you will change your mind and call him "A NUT"! The days are just around the corner! Cursed be Mwigulu!
 
Serikali dhaifu, bunge limejaa hao hao vizazi kutoka chama cha serikali sasa unategemea nini ???

Wapuuzi actually ni hao hao akina Kigwalugwalu au whatever shit name is.....ona reports za CAG, wao wanashindwa nini kuwawajibisha hao wadudu wenzao ktk idara na serikali la chama lao wanaokula kila siku bila hata aibu. Hawawezi kwa sababu wanatupwa ktk Bodi mbalimbali...na huko wanakulaaa...

One yule mbunge wa Ngorongoro ktk mapicha, yupo China eti anatangaza utalii... akirudi hutasikia tena anaongelea au gomea ya loliondo !!! Nanii nae huyoooo atakuja na jezi ya Van Pirse na kudai kuwa kaongea nae na atakuja kwa mkopo kuchezea katimu ka kijana wake, na yule muuza unga mkubwa...
Ninafuatilia bunge jioni hii SUGU amesema serikali ni ya wapumbavu, Kigwangala yeye kawaita wabunge wa CHADEMA wapuuzi kisa walikuwa wanamzomea,kwa kifupi wabunge wengi hawajadili hoja za msingi na badala yake wanajadili mambo ya vyama vyao ,bunge limejaa vijembe na upuuzi mwingine.

Kwa bunge letu hili tuna haki ya kuwa maskini milele.
 
Hahaaa....
SUGU moto chini..SUGU moto juuu..
Jamaa kawaita wenzake wapumbavu kashangiliwa kaona raha...
Leo wamemwita Mbwa ....kataka kutoa chozi...
 
kila kitu kiende kibabe. ukizubaa watakukalia kichwani.
 
Sugu moto chini mwingulu na Lusinde hao hawaisaidii ccm bali wanayauza majimbo yao maana mtanzania waleo nimwelewa,haishi kwa propaganda hizo.
 
Bado zaidi yaja, ngoja tuakribie uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 na uchaguzi mkuu 2015.
 
It makes no difference. Awe dume au jike, kwake jamaa ni mwanaume. Usisahau, hata same sex marriage sasa hivi ni injili duniani.

No doubt you seem to talk like one of dem batty bwoys! I don't mean to intervene your pleasures- you are free to enjoy it as you are pleased! But will you please quote for me the verse in bible that supports same sex marriage?
 
Back
Top Bottom