mahogany
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 252
- 23
Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man
unamsifu mpumbavu
Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man
Humjui Mwigulu wewe nguchiro.Mwigulu naye kaungaunga elimu kama Nape,atakuwaje the man?au anaku******?Uliza jimbo zima la Mwigulu kama kuna mwenyeji wa huko mwenye majina hayo.Watu wenye elimu za mashaka ndo wanaojikomba ccm ili watoto waende chooni;na sishangai ukawa mmojawao.
Atakuwa alienda kushitua kidogo? Hiyo confidence ni more than naturalWakati akichangia bajeti ya PM, Mh Mbilinyi ametumia lugha kali sana dhini ya serikali na Mwigulu Nchemba akazua ubishi mkubwa kati yake na Speaker..
Ameanza kwa kusema kuwa "Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake mwenyewe" na hivyo hivyo serikali pumbavu hubomoa nchi.
Akasema kuwa walimnyanyapaa Mbatia na hoja yake ya Elimu na kukumbatia wapumbavu kama akina Mwigulu; na sasa matokeo ya Form 4 2012 yamewaumbua.
Amelaumu usalama wa Taifa kwa kushindwa kumshauri Rais hadi akamteua waziri wa elimu mwenye elimu ya kuunga unga.
Alipotakiwa kufuta neno upumbavu alikataa kata kata...
Bunge hili full usanii ni zaidi ya komedi show.
Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?
Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.
wewe unatarajia nini kutoka kwa mtu kama sugu au lema. hiyo ndo michango yao. nikutukana tu. wapumbavu kabisa.Wakati akichangia bajeti ya PM, Mh Mbilinyi ametumia lugha kali sana dhini ya serikali na Mwigulu Nchemba akazua ubishi mkubwa kati yake na Speaker..
Ameanza kwa kusema kuwa "Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake mwenyewe" na hivyo hivyo serikali pumbavu hubomoa nchi.
Akasema kuwa walimnyanyapaa Mbatia na hoja yake ya Elimu na kukumbatia wapumbavu kama akina Mwigulu; na sasa matokeo ya Form 4 2012 yamewaumbua.
Amelaumu usalama wa Taifa kwa kushindwa kumshauri Rais hadi akamteua waziri wa elimu mwenye elimu ya kuunga unga.
Alipotakiwa kufuta neno upumbavu alikataa kata kata...
Wa mpui kaleta uzi hapa moderators wameutoa nanukuu alichoandika anasema ameambiwa na mfanyakazi wa bunge kuhusu simu ya iliyotoka kwa Kinana kwenda kwa spika Anne Makinda akimwita dada mtoe mwigulu kuchangia jioni achangie asubuhi kwa sababu ana mengi ya kusema, Anna makinda akamuuliza kwani anayotaka kusema ni makali sana akasema akuonyeshe atakachosemaChadema wanaiharibu sana nchi yetu. Wakati CUF kilipokuwa chama kikuu cha upinzani Bunge lilikuwa mahali pa hoja.
Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?
Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.
No, he is just an ignorant guy
Kwa madai ya elimu ya kuungaunga kwa mh Mlugo, mh Sugu asisahau kuwa hata yeye Hakustahili kuwa mbunge kwa elimu yake!! kama si katiba yetu kusema sifa ya mbunge ajue kusoma na kuandika, hivyo kumpelekea hata Rais kuchagua mawaziri miongoni mwa mbumbumbu kwa kuzingatia kuwa lazima Mbunge awe Mbunge.
Chadema wanaiharibu sana nchi yetu. Wakati CUF kilipokuwa chama kikuu cha upinzani Bunge lilikuwa mahali pa hoja.
Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man
Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man