Escherichia Coli
Senior Member
- Jan 24, 2012
- 100
- 36
jamani madaktari tumieni hekima!mfikilieni maskini ndiye mlipa kodi pekee asiye na likizo, akiibiwa kila mahala kwa udalali na wana siasa . jalini taaluma yenu na heshima mlio jijengea kwenye jamii na kueni na huruma wanasiasa wasiwachanganye hali ni mbaya hasa kwa maskini walio wasomesha!
nashindwa kutoamini kama hakuna mtu anaye sababisha kwa maslahi yake binafsi japo sielewi kama anaelewa anafanya nini. sikatai serikali ina mapungufu yake lakini tunaua watu wasio na hatia binafsi ningekuwa daktari ningekuwa tayari kufa kwa kutoa huduma kuliko kinachotokea mbaya sana!
Nikishakufa kwa kukuhudumia,utanilelea watoto???Unafiki hautalisaidia taifa kamwe.