SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,701
- 60,849
Na anayetaka kusuguliwa amechukuliwa hatua gani?
Kuponda mtu mbovu haijawahi kuwa ugomvihv kuna sehemu anapitaga bila kumlalamikia na kumponda Magufuli na CCM ?
Ni Mhutuhivi huyu mkurugenzi wa uchaguzi ni msukuma?
Kwani kwa miaka mitano si Magufuli alikua akipita nchi nzima anaponda upinzani huku upinzani ukiwa hauruhusiwi kujibu na akiahidi kuhakikisha vyama hivyi vimefutika vyote ifikapo 2020?yaani kila anapopita lazima amponde Magufuli na CCM yaani analazimisha yaani
basi ni nchi nzimamashabiki wa tundu lisu naona ni kama ma-feminist vichaa/lgbtq activists.
Mwambieni akubali mdahalo, aje na huyo wa NRA na vibaraka wengine, ndio utaelewa vizuriSafi sana, najua hapo anatafutiwa timing harafu wamle kichwa,mpuuzi sana huyu mgombea wetu,haiwezekanai ajione kuwa yeye yuko juu kuliko wagombea wengine .
Sijajua beberu wake Robert Amsterdam anasemaje,hii ni nchi kamili na guru hivyo kamwe hatayumbishwa na vibaraka wa aina ya kina Lissu
Hongera sana kwa tume ya uchaguzi,
Vipi mtakinukisha?Na anayetaka kusuguliwa amechukuliwa hatua gani?
hapana ni sehemu ndogo ambayo ni insignificant, emphasis on 'cant'.basi ni nchi nzima
Hairuhusu,lakini mbona mapingamizi yanaruhusu mgombea mwenyewe kujitetea na sio kutuma mwenyekiti wa chama au katibu wa chama? na Kama ndo hivyo iweje mgombea anapoitwa kwenye kamati ya mahadili ya tume upeleke barua kwenye chama na sio kumfikishia mgombea? Wagombea wote kwa Sasa ndo wako chini ya tume,na sio vyama ,vyama viko chini ya msajili hii haitaji uwe na akili kubwaHivi anaposema malalamiko yanamuhusu yeye na sio chama, sheria yetu inaruhusu wagombea binafsi?
Vipi mmeahakinukisha?basi ni nchi nzima
Bila chama hao wagombea watakuwepo?Hairuhusu,lakini mbona mapingamizi yanaruhusu mgombea mwenyewe kujitetea na sio kutuma mwenyekiti wa chama au katibu wa chama? na Kama ndo hivyo iweje mgombea anapoitwa kwenye kamati ya mahadili ya tume upeleke barua kwenye chama na sio kumfikishia mgombea? Wagombea wote kwa Sasa ndo wako chini ya tume,na sio vyama ,vyama viko chini ya msajili hii haitaji uwe na akili kubwa
Hajui mkuu niamini mimiLisu kujua sheria haimaanishi wewe uko juu ya sheria.
Mambo ya undava undava au sio, hakuna kuingia ikulu hakuna tume huru hili ndio koo letu wanafisiemu na vizazi vyetu ' ukitaka ungana nasi au tukumiminie risasiTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi...
Vipi mmeshalinukisha?Mwambieni akubali mdahalo, aje na huyo wa NRA na vibaraka wengine, ndio utaelewa vizuri
Kama alovyo Magu.Safi sana , jamaa hatumii heshima kabisa