Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

Vipi Lisu alisema barua inatakiwa imfikie yeye, unaona sasa wanaojua sheria wamemjibu?

Kwani wamemjubu au wametekeleza maagizo ya ccm? Kabla ya hatua hii Polepole alifanya press iliyokuwa na viashiria vyote vya maamuzi haya. Pitia hiyo barua ya Katazo kisha uone sababu za kufungiwa.
 
ni aibu kwa mtanzania halisi kuanza kuichongea nchi yake kwa nchi zingine!!!
Tanzania ni Taifa Huru tangu mwaka 1961.
hivyo hakuna wa kuibabaisha Tanzania....
tuko vizuri sana .
najua Lisu kama kawaida yake anataka kushitaki kwa mabepari wake..aendelee tu.
 
Haya kinukisheni tuone
 
Kwani wamemjubu au wametekeleza maagizo ya ccm? Kabla ya hatua hii Polepole alifanya press iliyokuwa na viashiria vyote vya maamuzi haya. Pitia hiyo barua ya Katazo kisha uone sababu za kufungiwa.
Tundu Lisu alipoandikiwa barua na kupelekwa katibu mkuu alisema yeye ndio inatakiwa afilishiwe, nyie mkashangilia kama kawaida yenu,

Sasa umeona wanaojua sheria walivyomjibu kwa vitendo?
 
ni aibu kwa mtanzania halisi kuanza kuichongea nchi yake kwa nchi zingine!!!
Tanzania ni Taifa Huru tangu mwaka 1961.
hivyo hakuna wa kuibabaisha Tanzania....
tuko vizuri sana .
najua Lisu kama kawaida yake anataka kushitaki kwa mabepari wake..aendelee tu.
Mkuu Lisu anafikiri yeye ni mkubwa kuliko tz, akisapotiwa na wale mabeberu wake kina Amsterdam. Sasa wenzie wamemwambia kwa vitendo kwamba yeye si chochote hapa tz.

Tz ni zaidi ya Lisu na Amsterdam
 
Hizo kanuni za uchaguzi hawakuzikubali, bali walishurutishwa kuzikubali vinginevyo wasingekubali kusaini wasingeruhusiwa kushiriki uchaguzi.
Kusaini maana yake walikubaliana na hizo kanuni. Tatizo ninaloliona ni hii ya kupeleka barua kwa Katibu wa chama wakati anayetakiwa kujibu malalamiko yupo, na anajulikana yuko wapi. Polisi nao wamefanya kosa kama hilo.

Kuna watu wanastahili kuwajibishwa.
 
Mkuu Lisu anafikiri yeye ni mkubwa kuliko tz, akisapotiwa na wale mabeberu wake kina Amsterdam. Sasa wenzie wamemwambia kwa vitendo kwamba yeye si chochote hapa tz.

Tz ni zaidi ya Lisu na Amsterdam
Same as Tz ni zaidi ya Meko na tume yake
 
Back
Top Bottom