Messi avunja rekodi mbili za Klose Kombe la Dunia

Messi avunja rekodi mbili za Klose Kombe la Dunia

Hafai kucheza mbele arudi beki,
Ili apambane na fowari ambazo hazicheki,
Anategemea referees wampige jeki,
Kama angekuwa choo ningemdeki
Au awaachie soka akina Ryan Cherki,
Atafute ajira kwenye makampuni ya usafi kazi yeki iwe kudeki,
Au asafishe mazingira ya nje kwa kutumia jembe na reki,
Asimamiwe vizuri yaani kuwe na mtu wa kumcheki,
Dah! Bosi wake akiwa Al-mukheef jamaa ataishi kwa dhiki 😂.
 
Hapana hatoishi kwa dhiki,
Maana mimi ni rafiki,
Japo sie wake shabiki,
Ila asiwe tu mnafiki
 
Hafai kuchezea Africa hata angekuwa blaki,

Sitomchangia hata akiuza mishikaki,

Kwenye page zake nishaanza kumdisklike,

Nitamtupia nyuklia akikwepa fataki..

Sasa amepaniki,
Akiulizwa anahamaki,
Anastahili kulipwa laki,
Maana kawa tu mtu baki,
Ila kwenye soka anataka kubaki,
Hadi nywele zake ziwe kama chaki,

Nyambafu!

Al-mukheef.
Kwa hiyo migos mumeamua kuigeuza thread ya kumsifia ya kumsifia GOAT kuwa forum yenu ya kuonyesha vipaji.
🤣🤣🤣
 
Au awaachie soka akina Ryan Cherki,
Atafute ajira kwenye makampuni ya usafi kazi yeki iwe kudeki,
Au asafishe mazingira ya nje kwa kutumia jembe na reki,
Asimamiwe vizuri yaani kuwe na mtu wa kumcheki,
Dah! Bosi wake akiwa Al-mukheef jamaa ataishi kwa dhiki 😂.
Tangu asubuhi tulimletea chuki,
Kaingia ya leo anajifanya hacheki,
Sasa hata bia huku kiwanja hazinyweki,
Kaamua kutuzima kama simu fake,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom