Messi avunja rekodi mbili za Klose Kombe la Dunia

Messi avunja rekodi mbili za Klose Kombe la Dunia

Lionel Messi ameendelea kuandika historia mpya World Cup baada ya kuwa mchezaji aliyeshinda mechi nyingi zaidi kwenye historia ya mashindano hayo.

Baada ya ushindi wa Argentina dhidi ya Austria,La Pulga Atómica sasa:

  • Ana ushindi 18 wa mechi za World Cup.
  • Akimvuka Miroslav Klose aliyekuwa na ushindi 17.

Mbali na hilo:

  • El Mesías,Captain wa Albiceleste pia ameendelea kuongeza idadi yake ya mabao World Cup ⚽
  • Na sasa ameifikisha tally yake kuwa mabao 18🔥

Hivyo kwa sasa Lionel Andrés Messi Cuccittini:

  • Ndiye mchezaji aliyeshinda mechi nyingi zaidi World Cup
  • Na pia ndiye mfungaji bora zaidi kwenye historia ya mashindano hayo 🔥
Ila huyu dogo mbappe hadi kuja astaafu atakua amezivunja zote
 
Sasa amepaniki,
Akiulizwa anahamaki,
Anastahili kulipwa laki,
Maana kawa tu mtu baki,
Ila kwenye soka anataka kubaki,
Hadi nywele zake ziwe kama chaki,

Nyambafu!

Al-mukheef.
Hafai kuchezea Africa hata angekuwa blaki,

Sitomchangia hata akiuza mishikaki,

Kwenye page zake nishaanza kumdisklike,

Nitamtupia nyuklia akikwepa fataki..
 
Hafai kuchezea Africa hata angekuwa blaki,

Sitomchangia hata akiuza mishikaki,

Kwenye page zake nishaanza kumdisklike,

Nitamtupia nyuklia akikwepa fataki..
Aisee jamaa na mambo ya kiwaki,
Asipofunga anasema hana good luck,
Akifunga utasikia "walishindwa kunimaki",
Yaani ni mnafiki, tena ni mzandiki,
ndo maana wamepungua marafiki.
 
Aisee jamaa na mambo ya kiwaki,
Asipofunga anasema hana good luck,
Akifunga utasikia "walishindwa kunimaki",
Yaani ni mnafiki, tena ni mzandiki,
ndo maana wamepungua marafiki.
Hafai kucheza mbele arudi beki,
Ili apambane na fowadi ambazo hazicheki,
Anategemea referees wampige jeki,
Kama angekuwa choo mi ningemdeki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom