Messi avunja rekodi mbili za Klose Kombe la Dunia

Messi avunja rekodi mbili za Klose Kombe la Dunia

Fans wake wanamfosia kiki,
Uwanjani penalt hazipatikaniki,
Sio penalty tu hata free kiki,
Wahuni tushaanza kumdhihaki,
Sasa amepaniki,
Akiulizwa anahamaki,
Anastahili kulipwa laki,
Maana kawa tu mtu baki,
Ila kwenye soka anataka kubaki,
Hadi nywele zake ziwe kama chaki,

Nyambafu!

Al-mukheef.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom