Messi avunja rekodi mbili za Klose Kombe la Dunia

Messi avunja rekodi mbili za Klose Kombe la Dunia

Yeah ni vyema awepo sianakuwa na miaka 42 tu

Mbona cr7 ana miaka 41 na Bado anacheza , so awepo tu
Messi akiwemo kwenye fainali za mwaka 2030 wareno hawatakubali, lazima watamleta Ronaldo mwenye miaka 45 apambanie rekodi.
Wareno ni tatizo 😂😂
 
Messi akiwemo kwenye fainali za mwaka 2030 wareno hawatakubali, lazima watamleta Ronaldo mwenye miaka 45 apambanie rekodi.
Wareno ni tatizo 😂😂
😄😄😄 Ronaldo hajawahi kuwa rafiki wa record za world cup

World cup haimtaki Ronaldo ila Ronaldo ndiye anayetaka , so wakimleta itakuwa wanamleta kumuongezea gundu tu

Cr7 miaka yote aliyowahi kushiriki wc team Yao haijawahi kufika hata nusu
 
Huwa anafunga goli moja moja au mbona mpaka leo ana magoli kumi🤣🤣🤣
Anafunga goli moja mashabiki wake wanashanglia sana😂😂😂 kisha anasubiri fainali nyingine anafunga tena goli moja, jamaa wanaruka ruka😂😂🤣
Angalau mwaka huu amepata goli mbili za pamoja.
Na jana angefunga hat trick Thierry Henry na wenzake sijui wangesema nini!!!
 
Wanasema Uzbekistan ni ya 50 kwa ubora duniani wakati huohuo kombe la dunia zipo timu 48 tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom