Mwafrikamtanzania
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,143
- 1,481
Yawezekana. Maana umri wa miaka 27, WC 2030 atakuwa na 31, WC 2034, miaka 34. Kikubwa uhai, kiwango na kufuzu.Sema dogo Mbappe sababu umri unaruhusu anaweza kuwa mfungaji bora wa muda wote wa WC
