Messi avunja rekodi mbili za Klose Kombe la Dunia

Messi avunja rekodi mbili za Klose Kombe la Dunia

Tangu asubuhi tulimletea chuki,
Kaingia ya leo anajifanya hacheki,
Sasa hata bia huku kiwanja hazinyweki,
Kaamua kutuzima kama simu fake,
Jamaa kakutana na timu feki,
Ambayo ingefungwa hata na Betra Mombeki,
Ngoja akutane na timu inayoshambulia kama nyuki,
Atakuwa kichekesho uwanjani kama Sajuki.
 
Kijana atakuwa amepiga whiskey,
Namshauri asiendeshe pikipiki,
Zipite kwanza siku mbili au wiki,
Maana haelewi kile Wala hiki.
Ingekuwa skuli ningemtandika stiki,
Kuna kila dalili huyu dogo sio rizki,
Kwenye mambo ya ovyo ndo anapo-take risk,
Kama computer hi imekosa hard disk,
 
Jamaa kakutana na timu feki,
Ambayo ingefungwa hata na Betra Mombeki,
Ngoja akutane na timu inayoshambulia kama nyuki,
Atakuwa kichekesho uwanjani kama Sajuki.
Akikutana na miamba ambao imejikoki,
Ataona bora hela yake angempa Stoke,
Kitaani kila siku anatembelea choki,
Halaf anafosi wana wamuite msodoki,
 
Akikutana na miamba ambao imejikoki,
Ataona bora hela yake angempa Stoke,
Kitaani kila siku anatembelea choki,
Halaf anafosi wana wamuite msodoki,
Jamaa kakabwa na beki hadi kamwuliza refa "hii ni haki?",
Aachane na mpira bhana akaunadi wembe wa Mr kiki,
Haipendezi kila siku kuwa mbishi zaidi ya Nikki,
Halafu kombe analolitamani sana wala hashiki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom