Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza kikosi bora cha Kombe la Dunia 2026 (FIFA Dream XI), ambacho kimepatikana kupitia kura za mashabiki kutoka sehemu mbalimbali duniani. Kikosi hicho kinamjumuisha kipa Vozinha (Cape Verde), mabeki Pedro Porro (Hispania), Lisandro Martínez (Argentina)...
1. Lamine Yamal – mshambuliaji (FC Barcelona)
2. Pau Cubarsí – beki wa kati (FC Barcelona)
3. Gavi (Pablo Martín Páez Gavira) – kiungo (FC Barcelona)
4. Dani Olmo – kiungo mshambuliaji (aliwahi kuwa La Masia kabla ya kwenda Dinamo Zagreb)
5. Eric García – beki (aliwahi kuwa La Masia)
6...
Katika Kombe la Dunia 2026, maelfu ya picha zimeonyesha matukio makubwa, furaha, huzuni na kumbukumbu ambazo zimebeba hadithi za mashindano haya na kila picha ina simulizi yake.
Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kuhudhuria fainali ya Kombe la Dunia la FIFA itakayochezwa Jumapili, Julai 19, 2026 kati ya Argentina na Hispania katika Uwanja wa New Jersey New York. Katibu wa Habari wa Ikulu ya Marekani, Karoline Leavitt, amesema rais atashuhudia mechi hiyo kama...
Tiketi ni za moto sana na maisha ya USA yapo juu mno ndio maana atuoni matangazo ya makampuni kutoa ofa ya watu kwenda kuona hata mechi moja
Tiketi ya bei chee ni 30m+ huu ni mtaji
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Kombe la Dunia la FIFA, timu nne zinazoongoza katika viwango vya ubora vya FIFA (FIFA World Rankings) zimefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali.
Hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 imekamilika kwa kuzikutanisha timu nne bora duniani kwa mujibu...
Binadamu tu viumbe wa wababaifu sana na tuliyojaa unafiki uliopitiliza..
Leo hii kuna watu wanailalamikia Chama Tawala na Tume yake Huru ya Uchaguzi, kwa kile ambacho kiuhalisia kilikuwa dhahiri shairi machoni pa wote wenye kuona na kufahamu jema na baya..
Lakini katika hao watu wanaulalamikia...
Neymar Jr ametangaza rasmi kustaafu kuichezea timu ya taifa baada ya Brazil kutolewa kwenye Kombe la Dunia na Norway katika hatua ya 16 Bora. Hii ni mara ya kwanza Brazil kushindwa kufika hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia tangu mwaka 1990.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 alifunga...
Mpaka sasa katika Kombe la Dunia 2026, mbio za Kiatu cha Dhahabu (Golden Boot) zinaongozwa na wachezaji hawa:
Kylian Mbappé (Ufaransa) – mabao 7.
Lionel Messi (Argentina) – mabao 7.
Erling Haaland (Norway) – mabao 7.
Harry Kane (England) – mabao 6.
Wakiwa na mabao 4kila mmoja:
Jude Bellingham...
Nina maswali kwa mashabiki wa kombe la dunia na mpira wa miguu kwa ujumla, leo ninaenda kuangalia mpira wa miguu nje ya nyumbani kwangu kwa mara ya kwanza;
Vitu gani ambavyo sisi tunaokuja kuwapa kampani ila si mashabiki wa mpira mnapenda tusifanye?
Vitu gani tukivifanya mnafurahia?
Leo...
Wana timu nzuri mno, haizungumzwi wala kufuatiliwa sana, lakini ina uwezo na uwezekano mkubwa sana wa kutwaa kombe hilo la dunia katika mpira wa miguu duniani.
Ni wazi Rais Donald J. Trump atapendelea zaidi kukabidhi kombe hilo la dunia kwa timu ya mpira wa miguu ya taifa lake na si vinginevyo...
Nadharia mpya mtandaoni inadai kuwa mshindi wa Kombe la Dunia la FIFA 2026 anaweza kutabiriwa kupitia rangi rasmi za nembo ya mashindano. Mashabiki wanaamini rangi hizo zinaweza kutoa ishara ya mapema kuhusu taifa litakalotwaa ubingwa.
Hoja hiyo inatokana na matokeo ya matoleo matatu...
Naanza kuamini, kama mechi za mpira wa miguu zingekuwa zinamalizika dakika ya 85, Afrika ingekuwa imefanikiwa sana kwenye kombe hili la Dunia, na mashabiki wetu wasingekuwa na presha ya kupanda kila kukicha. Lakini kwa bahati mbaya, FIFA wana dakika zote 90 na hicho kipindi cha lala salama ndipo...
Rekodi na hatua za kihistoria zilizowekwa baada ya hatua ya makundi ya Kombe la Dunia 2026
Kwa mujibu wa takwimu na taarifa za FIFA zilizotolewa mara baada ya kumalizika kwa hatua ya makundi, hizi ndizo rekodi na hatua muhimu za kihistoria zilizothibitishwa katika Kombe la Dunia la FIFA 2026...
Hii imeingia kwenye historia na inaonesha Yanga ina uwezo mkubwa wa ku-scout Wachezaji wenye vipaji.
Hongera Sana kwa Mayelle
Soma Pia: Messi avunja rekodi mbili za Klose Kombe la Dunia
Kombe la Dunia 2026 limeonyesha kuwa soka la Afrika limefikia hatua mpya. Mataifa mengi ya Afrika yamefanikiwa kuvuka hatua ya makundi na kuthibitisha kuwa yanaweza kushindana na vigogo wa soka duniani. Hii ni fahari kwa bara zima.
Lakini mafanikio haya yanapaswa pia kuwa somo kwa Tanzania...
Wana-jamvi, mambo si shwari hata kidogo kwenye kambi ya timu ya taifa ya Senegal ("Teranga Lions") inayoshiriki Kombe la Dunia 2026 nchini Marekani. Pamoja na sifa zote na ukweli kwamba walitwaa Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (AFCON), ripoti za ndani zinaleta taswira ya kusikitisha kuhusu uongozi...
Lionel Messi ameendelea kuandika historia mpya World Cup baada ya kuwa mchezaji aliyeshinda mechi nyingi zaidi kwenye historia ya mashindano hayo.
Baada ya ushindi wa Argentina dhidi ya Austria,La Pulga Atómica sasa:
Ana ushindi 18 wa mechi za World Cup.
Akimvuka Miroslav Klose aliyekuwa na...
Duh huu uganga ni fashion ya kizamani mno.. Zamani mno enzi Mr. Noah bado yupo ndani ya safina.
Mbappe wa kwanza kuingia uwanjani , Mbappe wa kwanza kutoka uwanjani. Uchawi kama wa Simba na Yanga.. Uchawi wa kitoto kwelikweli Ufaransa wamepigwa 😁😁.
Anyways kesho QATAR wagomee mechi, nimeona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.