Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

unajua mamii kifo sio kile cha kufa mwili tu, kuna maisha mengine watu wanaishi kama wamekufa vile yaani maisha machungu kama vile wamefungiwa ndani ya jeneza lilozikwa udongoni...

hata wakati nikisoma mafundisho ya katekism nakumbuka sista bibi alitufundisha hivyo!!
 
kwa maana hiyo, kama akaa Mwenge, ahamie Mbagala spiricho centre kwanza kwa muda??

NO.... fanya utaratibu fasta umkamate huyo jamaa ukiwa na wahuni wanne hivi wapeane zamu tu na picha kibao wapige wakiwa kwenye kilimo mseto. baada ya hapo we rudi home na mamsapu mpeleke dina la maana na ukatekeleze sera kama hakijatokea kitu vile.
..I like this!
 
...unapogundua 'unasaidiwa' kwenye maisha haya, ujue kosa ni lako pia. Umechangia kwa kiasi kikubwa katika mapungufu ya mapenzi yenu kiasi ya kumpelekea mwenza kudokoa nje 'kufidia pengo!'

Badilika.
 
hata wakati nikisoma mafundisho ya katekism nakumbuka sista bibi alitufundisha hivyo!!

Mkuu, huyo sista bibi namkumbuka na hata mimi alinifundisha katekism, huenda tulikua wote kwenye mafundisho,, unamkumbuka mzee Caroly? kama vp tutafutane mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: bht
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la ppf tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.

Dawa ni moja tu, mfwd hiyo msg, endelea na mapenzi kama hamna kilichotokea.
Hiyo ni adhabu kubwa, mwenyewe ataresign, kwani hatajua umepanga nini moyoni.
 
Pole sana kwa yalokupata.nashauri ufuatilie hiyo na.ya simu kwa makampuniya simu ukizingatia kuwa na.zote za simu zimesajiliwa.hii itakusaidia kumfahamu vizuri mwizi wako baada ya hapo mbane vilivyo mkeo kwa hatua zaidi
 
Sikupi pole Mzee kwasababu inawezekana hiyo msg iliingia kwa makosa haikuwa kwa ajili ya Mkeo. Binafsi nilishawahi kutumiwa msg na msichana kwenye simu yangu kwa makosa na ilikuwa ina ujumbe mzito sana kama ingetokea Mke wangu kuiona ingekuwa balaa kenye ndoa yangu mpaka ukoo mzima wangeipata. MSG ilikuwa inasema "JANA UMENIFANYA KOTE HALAFU HELA YENYEWE KUMBE HUNA, USIPONIPA HELA YANGU LEO NAKUJA DAI MBELE YA MKEO".

yuwa vere raiti yaani usiku wa leo tu namimi nimepokea simu ilikuwa saa tisa usiku kwanza sauti yenyewe ni yakimahhaba kishenzi mwanamke hawezi hata kuongea, namuuliza nani wewe anajibu kwa sauti ya kimahaba nikawa simsikii vizuri nilipoona ni usumbufu nikaamua kuzima simu, kumbuka wakati huo nimelala na mke wangu na yeye aliamka kusikiliza hiyo simu, asubuhi nilipoamka nikawasha simu msg ikaingia inasema " mpenzi tunaweza kukutana kesho? kuna siri kubwa nataka nikuambie kwasababu kuna jambo lililotokea baada ya wewe kuondoka na mapenzi na vile ulivyoniti umenichanganya kabisa" ikabidi nimwonyeshe mke wangu hiyo sms maana tulijadili hiyo simu iliyopigwa saa tisa usiku. sasa image
 
Nenda kwenye ua wa nyumba, chimba kishimo kidogo, toa hasira zako zoote kuhusiana na hilo tatizo then panda mti. Huo mti utakuja kukusaidia kumsuta mama watoto kila mara utakapokuwa unamtaja jina la Coleman. Then she is going to have something to answer...
 
Sikupi pole Mzee kwasababu inawezekana hiyo msg iliingia kwa makosa haikuwa kwa ajili ya Mkeo. Binafsi nilishawahi kutumiwa msg na msichana kwenye simu yangu kwa makosa na ilikuwa ina ujumbe mzito sana kama ingetokea Mke wangu kuiona ingekuwa balaa kenye ndoa yangu mpaka ukoo mzima wangeipata. MSG ilikuwa inasema "JANA UMENIFANYA KOTE HALAFU HELA YENYEWE KUMBE HUNA, USIPONIPA HELA YANGU LEO NAKUJA DAI MBELE YA MKEO".
yuwa vere raiti yaani usiku wa leo tu namimi nimepokea simu ilikuwa saa tisa usiku kwanza sauti yenyewe ni yakimahhaba kishenzi mwanamke hawezi hata kuongea, namuuliza nani wewe anajibu kwa sauti ya kimahaba nikawa simsikii vizuri nilipoona ni usumbufu nikaamua kuzima simu, kumbuka wakati huo nimelala na mke wangu na yeye aliamka kusikiliza hiyo simu, asubuhi nilipoamka nikawasha simu msg ikaingia inasema " mpenzi tunaweza kukutana kesho? kuna siri kubwa nataka nikuambie kwasababu kuna jambo lililotokea baada ya wewe kuondoka na mapenzi na vile ulivyoniti umenichanganya kabisa" ikabidi nimwonyeshe mke wangu hiyo sms maana tulijadili hiyo simu iliyopigwa saa tisa usiku. sasa image

...duhh 😀 hizi mobile phones hizi!
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la ppf tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
pole ndugu yangu nakushauri uwe na subira mpe muda huku ukiendelea kumchunguza mpaka umjue huyo mnaesaidiana ikiwezekana jitahidi uwafumanie ila kwa sasa mchunie
 
Usiwe na haraka hakikisha unacho kiona kina ukweli, ina wezekana mesg imekosewa au ni mtu anamtania mkeo ..pole lakini kwa kukuta hiyo msh
 
...Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman...

Usiwe na haraka hakikisha unacho kiona kina ukweli, ina wezekana mesg imekosewa au ni mtu anamtania mkeo ..pole lakini kwa kukuta hiyo msh

...Coleman yu mashakani 2010 hii labda abadilishe jina!
 
Kama hutaki msaada wa mawazo basi tayari umeshapitisha hukumu. Basi tupe hints kuhusu hiyo hukumu. Vinginevyo kutua yaliyo moyoni ni pamoja na kutafuta ushauri + sympathy.

Binafasi nimeguswa sana na pole kwa yaliyo kukuta. Ukiweza kulimaliza hili basi huenda hutakuwa na mtihani mwingine mkubwa maishani. Time and locations are key to healing. Jipe muda na ikiwezekana chukua likizo ukae mahali tofauti ili uweze kulitafakari hili jambo!
Hata Mimi nakuunga mkono bujibuji kwamba anaonekana hataki ushauri ht Mimi kwa maoni yangu sikuona sababu ya kuleta hii habari jamvini angeenda kuitoa ht magazetini kule watu waisome tu kwa manufaa ya kufahamu kuna kitu kama hk kiliwahi kutokea maana magazeti hayana mambo ya kutaka ushauri wala maoni.NUKTERI MZEE.
 
Halafu hiyo meseji inaishia "roll it baby"

Maana yake mkeo analiwa Tigo?

Au Tigo ndiyo chanzo? Lazima kuuliza, roll it baby maana yake nini? a roll nini kama si kugeuza samaki upande wa pili?
 
...aisee mbona unam provoke jamaa kiasi hiki?

Unajua kwenye maisha ya ndoa na mapenzi mtu anakuwa ka invest moyo wake wote,...akipatwa na mtihani kama huu halafu nawe unamtonesha kidonda loh!!!

au hujasikia kuna watu wameua sababu ya mapenzi?
 
Coleman naamini nimshikaji wangu nilisoma nae Minaki Boys, maana anafanya kazi mitaa ya Samora . kama ni huyo anamke mzuri sana, peleleza uthibitishe kama ni yeye, kisha nakushauri mmegee mkewe kwa kiwango kilekile ulichotendewa , kisha akikutumia msg yakukushukuru mahaba yako nawe jidai umesahau simu sebuleni ili mkeo aisome, akikomplain unamwambia huyo ni mke wa Coleman. ananishukuru kwa starehe nimpayo , tafadhali akikisha unaitunza hiyo msg vizuri ili akizidi kelele unamsomea huo ujumbe....otherwise pole, usimuache mkeo ila sera yako iwe jino kwa jino, sikio kwa sikio.

Hii kweli ni jino kwa jino, wasiwasi wangu tu sijui kama mke wa coleman atakuabali kuingila kwenye deal hilo kirahisi namna hiyo. Ushauri! sisi tunasema hiviii dawa ya moto ni moto. Wewe tafuta kimwana mrembo ambaye yupo karibu na wife wako au hata kama rafiki yake wewe beba huyo kama una courage!
 
Hii kweli ni jino kwa jino, wasiwasi wangu tu sijui kama mke wa coleman atakuabali kuingia kwenye deal hilo kirahisi namna hiyo. Ushauri! sisi tunasema hiviii dawa ya moto ni moto. Wewe tafuta kimwana mrembo ambaye yupo karibu na wife wako au hata kama rafiki yake wewe beba huyo kama una courage!
 
Hii kweli ni jino kwa jino, wasiwasi wangu tu sijui kama mke wa coleman atakuabali kuingila kwenye deal hilo kirahisi namna hiyo. Ushauri! sisi tunasema hiviii dawa ya moto ni moto. Wewe tafuta kimwana mrembo ambaye yupo karibu na wife wako au hata kama rafiki yake wewe beba huyo kama una courage!

Au mtafune rafiki yake wa karibu sana! Halafu hakikisha amejua ili naye imuume!
 
Sidhani huyu mama nimzoefu, maana kama ni kweli ni mzoefu na hakupenda kumuumiza mwenzake msg kama hizi anazizuia pale tuu wanapoanza urafiki na huyo jamaa. Inaelekea alinuia kumuumiza mzee...pengine naye alishazikuta msg kama hizo kwenye mobile ya mzee! who knowz. Kwa mwanamke mwenye heshima na mmewe hawezi kumuonyesha KAMWE ni nani anayemuvuzisha naye. Hiyo ndio siri ya wanawake...maana ni aibu aibu tupu. Hiki kitendo kinafanyika sana karne hii kwa wanawake wa sasa. Walio wakweli 100 pace ni wachache sana...uvimilivu umeshuka kwa sana jamani.
 
Usiwe na haraka hakikisha unacho kiona kina ukweli, ina wezekana mesg imekosewa au ni mtu anamtania mkeo ..pole lakini kwa kukuta hiyo msh

utani kwa mke wa mwenzio ??? how come
hilo la message kukosewa labda lakini la utani NO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom