Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Na wewe king of the jungle yamekukuta duh pole sana ila tumia busara kusolve tatizo.
 
Aisee yaani ulikubali kwamba Coleman kakuzidi pumzi mkuu? Ebu tupe uzoefu ulikubali kirahisi au ilikuwa ngumu kumeza, na je, my wife yako alikiri au ilipata ushahidi mwingine usio na shaka kabla ya kuchukua hatua?
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la ppf tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.

aiseee.
Kosa lako ni kupekua simu isiyo yako.
Bujibuji naomba niwe wa mwisho kuamini hadi sasa ujamuuliza mkeo.
 
Last edited by a moderator:
mkuu pole sana. mwambie jamaa akuachie mzingo wako km ataendelea nitafute nikupe kazi
 
Kunaa mtuu kadaka apo juu ana hisii ni riwayaa nami sijui ni ivo au ndo ukute kakuta mengine makubwa zaid ana zugaa tu
 
Mbona hiyo sio sms ya kutisha kaka!!!!

Kaa ukijua meli haipakuliwi na mpagazi mmoko!!

Hakuna wa kukushauri wala usijipe hii "option" utajiju ulipompata huyo mke!!!!

Nalog off

mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la ppf tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
 
dhumuni langu lilikuwa ni kuondoa tu donge la hasira..
We sema lolote tu lakini dhamira yangu imetimia.
Kwenye kila safari kuna vikwazo.. Wewe sio wa kwanza

Hahaahaaaaa!!! Buji umepatikana Loh!nimecheka kama mazuri vile, Pole mwaya ndiyo ukubwa huo, ila sikiliza ya wengine ila mwenye uamuzi wa mwisho ni wewe na pia kumbuka kuhusu ndoa yako na familia yako wakati unataka kutoa hiyo hukumu, Pia jiagalie wapi umekosea mpk Colliman akaja kukusaidia.

CC :- Asprin anayejifanya mkewe hawezi kufanya kitu bila yeye kujua, chezea mwanamke wewe
 
Yataka moyo,ila kwa kuwa matatizo yaliumbwa hapa duniani kwa ajili ya binadamu,usijali sana,chunguza taratibu mjomba utabaini,kisha chukua hatua stahili.
 
Bujibuji kuna mahali umesema wakiendelea na mazoezi ..kuna sehemu ya kufanya mazoezi kwenye huo mgahawa pembeni ya ppf tower!
 
Last edited by a moderator:
Hawa wanaokushauri uende ukakae upitishe muda hawapo sahihi, unaweza kujichukulia uamuzi mgumu sana simanzi zikikuzidi. Tafuta close friends ujimix nao na kujichanganya na stori zao ndo njia muafaka ya kucalm down
 
Back
Top Bottom