Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

teh teh mkuu we kweli kiboko,yaani mamaa kakiri kweli tena kagonga mara tatu!du aisee ukamwambia mungu hapendi,yaani mbavu zinauma kwa kucheka heri yangu mimi nilighairi kuoa katikati ya safari,na sasa ndio kabsaa ntakaa hivihivi lol.

ucpooa unaolewa. ni swala la muda tu
 
pale pale ungeambiwa 'nikirudi nisikukute hm' hahaaaaaaaa au sio???

wenzenu wamasai hawana nouma. unaweza kuzaa watoto hata wawili na mkewe hawana shida. ila ucje kuwachukua. yeye anawahesabia ni wake. sasa nyie vijana hamwezi
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la ppf tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.

Hakuna kitu kama hicho hujui kutunga stroy
 
Mmh,pole aya machungu yalishanifika,hizi ndoa hizi ,kweli ni ndoano kama sio mke ni mume mwenye vituko,pole sana fuatilia ujue ukweli,pia ni muhimu kujua sababu ya yeye kuwa na kigeleni nini? Sababu unaweza kukawa nasababu nijuavyo ,mimi kama sio tabia yake ,
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la ppf tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.

pole mkuu wa na moyo mkuu.
 
usiwe na hasira mambo mengine si ajabu utani tu, waifu wangu kuna jamaa anamuita "MUME WANGU WA PEPONI" name nimeuchuna tu kwasababu najua jamaa hana sumu, saa nyingine naona wametumiana text za matusi
 
Pole sana mkuu!Jipe muda wa kufikiri nini cha kufanya kabla hujafanya maamuzi..huyo ni mke wako
Jaribu kuchunguza zaidi
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la ppf tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.

Pole mkuu usikute hata wewe mwenye Mali hupewi hivyo,,jamaa anapewa style zote tu na anabinuliwa anavyotaka.
 
Pole sana kwa yaliyo kukuta. Nimewahi kukutana na hali hiyo kwa binti ambaye nilitarajia kuoa , nilitetemeka kwa hasira, nikamuomba mungu anipe ujasiri, nilijikausha kana kwamba sijui chochote baada ya siku mbili nikitafakari cha kufanya, nilimbana mpaka akasema kila kitu. Mwisho nilipiga mzigo chini maana kuku akianza kulala nje anakuwa haramu.
 
mshukuru Mungu kwa kukupa maono hayo, usipotafuta suluhisho la kumshughulikia huyo jamaa ipo siku mkeo atakutukana na kukwambia kwani unadhani hawa watoto wako? the good thing una namba ya huyo jamaa mtafute na mwambie ukweli na mkeo ucimwambie kitu. mshukuru sana Mungu kakupa hinti hiyo. kwani tangu sasa hata kama mke wako atachelewa kwa sababu za kawaida akili yako itaenda kwa colman, bora umalizane na huyo fisi anayevizia wanyama walio kwenye mitego hataki kuwinda wake. pengine ni mjinga tu kaamua kumtania mkeo unajua shhetani akitaka kuporomosha ndoa anacreate incidents za ajabu ajabu na ambazo ni ngumu kutokuziamini na hakuna mwanya wa ku-prove vinginevyo, mwambie wife utashangaa mme-resolve very amicably.
 
tukumbuke hii thread ya 2010 so punguzeni maswali mengine yapo kama vile irelavant na muda huu wa sasa
 
Back
Top Bottom