Triplets
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 1,146
- 207
tena nahisi aliyachana huku analia mama wa watu!!!
ndoa hizi!!!LOL!!
tena nahisi aliyachana huku analia mama wa watu!!!
POA!
ndoa na mapenzi vinafanywa na wawili TU!akijiingiza mtu wa tatu hapo BAAASI..!UGOMVI KILA SIKU
ujiulize kwanin huyo mama hajabwaga manyanga...............ndoa hizi!!!lol!!
ndoa hizi!!!LOL!!
mpaka kifo 'kiwatenganishe'
Mhhh Ndoa ndoano
kuna kipindi mchumba wako anafanya ''utoto'' hadi unaogopa ukiwaambia tu watu watakushauri UMUACHE!...KWASISI WANAUME unaamua kulia kimoyomyoyo basi unasamehe,unasahau,unarudi kwenye mood MAISHA YANASONGA!....baadae mnaona kama munaweza kuvumiliana kwa kiasi hichi ''ni bora tuoane''Binamu unaongea point haswa,ni kweli mlikubaliana wawili na mambo yenu myamalize wawili akishaingia wa tatu hapo mambo yameharibika.
...unaupimaje ukweli wa ANACHOKIANDIKA?
AU UNAMAANISHA KEYBOARD TRUTH?😀
Fidel sio kila ndoa ni ndoano,zipo ambazo sio ndoano,ziko fresh kabisa kwa hiyo usiwe na hayo mawazo,endesha ndoa yako jinsi unavyotaka wewe na si kuangalia Geoff anaishije na wife wake.
ujiulize kwanin huyo mama hajabwaga manyanga...............
sijamjaji!hapa JF hakuna yard stick ya kupimia ukweli wa hizi threads kaka yangu, labda zile copi na pesti wanazofanyaga wengine, what IF anachosema Bujibuji is all true??
we huoni ni bora kumcomfort bujibuji, kuliko kum jaji kwamba anachosema sio kweli?
kayatoa copy na kuyarudisha alipoyakuta. sasa sijui anayafanyia nini maana yana data zote za binti. halafu bint wa mwaka 85, yani analingana na binti yao na hii couple.nahisi hayo makaratasi yatakuwa yameshachanwa by now....
ana kazi? anajitegemea? umri wake unampa security ya kupendwa na kuolewa tena? anaweza kumlea mwanawe bila kumtegemea baba nk nk mambo mengi tu Geoff mwanamke akifikiria anagangamalia ndani ya nyumba pamoja na machungu yake
mpaka kifo 'kiwatenganishe'
ACHA KUUPOTOSHA UKWELI!.........unajua mamii kifo sio kile cha kufa mwili tu, kuna maisha mengine watu wanaishi kama wamekufa vile yaani maisha machungu kama vile wamefungiwa ndani ya jeneza lilozikwa udongoni...
hili nalo nenoujiulize kwanin huyo mama hajabwaga manyanga...............
sijamjaji!
nilihitaji msimamo wako tu!
nb:WANAO WAZIMA?
ACHA KUUPOTOSHA UKWELI!.........
kuwa serious