Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.

Mbona sikuelewi ndugu.
Maranyingi watu wanakujga hapa JF KUTAKA USHAURI, SASA WEWE UMETUA MZIGO NA HUTAKI CHOCHOTE CHA KUAMBIWA. jE UMEILETA HII MADA HILI IWEJE?

Wahenga walisema, Ukimchunguza sana kuku............ Utakufa na pressure bure. Hiyo msg alikuandikia, ila kabla hajakutumia ukajichukulia maamuzi yakujitumia mwenyewe.
 
Bro. kwani bado unakula papuchi yake? Mi siwezi kula papuchi ya aina hiyo...
 
hakika hii ishu imenitokea mimi binafsi na si mtu mwingine mchana huu wa leo
Usihangaike na wajinga kujaribu kujustfy ksma ni ww ama la. Ongea na koyo wako ingekuwa mm kingenuka na kila jambo lingeharibikia hapo, after one week ningemletea mwenzake
 
USIJIUE

MTIHANI HUU

MAMBO KAMA HAYA NDIO YANAFANYA KUSIWE NA NGUVU ZA KIUME NDANI YA NYUMBA ILA NJE ZINAKUWEPO
 
Usipende kukugua simu ya mkeo utakuja kufa bure...

Mshikaji wangu asubuhi na mapema anapiga simu kwangu,jambo ambalo hua sio kawaida,nilipopokea simu yake swali la kwanza kaka vipi salama huko?? Akasema salama lakini uko nyumbani kwako? Nikajibu nipo,mshikaji wangu poa kaka nakuja,unishauri jambo flani hivi....

Basi jamaa yangu kaja kwangu,nilipomwona tu nikajua kuna kitu,maana alikua hana furaha kabisa mtu mwenye mawazo mengi kiasi cha kwamba anaweza kufa kwa shinikizo la damu au moyo kufeli kusukuma damu,anapumua kwa shida kama mtu ambaye kakabwa na ubwabwa wakati wa kula....

Mambo yalikua hivi... Mke wa jamaa alika na simu mbili,moja simu janja na nyingine simu ya kawaida, basi wife wa jamaa kaisahau simu ndogo nyumbani,jamaa kaanza upekuzi wake kwenye simu ya mke wake.. Alikutana na sms tatu moja toka kwa jamaa na mbili za mke wake kwenda kwa jamaa...

Sms ya jamaa.. Hivi siku jamaa akijua huyo sio mtoto wake itakuaje?? Maana naona aibu sana mwanaume mwenzangu kulea damu ambayo sio yake..
Mke wa jamaa.. Usiwaze sana mpenzi wangu,kwani jamaa hawezi jua kitu,nishamweka kwenye kiganja changu,naweza fanya chochote na asijue kitu...
Mke wa jamaa.. Mpenzi wangu,napenda kusema kwamba huyu mwanaume natamani hata afe ili tuweze haralisha penzi letu,maana silipendi hili janaume naliona kama likiboko tu hapa kitandani,silipendi kama nini,kwanza nataka niliambie naenda zangu moro kwenye harusi,ili tukutane sehemu yetu anapataja ni hotelm moja ipo mwenge inaitwa J....R...E....X

Basi jamaa aliomba ushauri kwangu... Afanyeje?? Maana ni kweli jamaa anasema ana mwaka sasa mke wake hajawahi mwita hata honey,hubby,ila anaitwa jamaa huko..... Pia mgegedo hua anapewa kwa kondomu napo mara moja kwa mwezi,akiuliza jibu nimechoka au huu ni mwili wangu nina maamuzi yake

Jamaa nashukuru sana ushauri wangu aliupokea kwa kiwango cha juu sana,maana nilimwambia ita wazazi wenu au walezi wenu wa pande zote mbili,mtoe huu mzozo,la sivyo unaweza kuuwa au wewe kuuwawa... Basi jamaa alifanya hivyo na hadi sasa hii tunavyoongea,ndoa ilishavunjika na jamaa ana mke mwingine ingawa ni sogeza tukae

Mke wa jamaa wa zamani,alipigwa chini na jamaa yake, jamaa akaoa mke mwingine kabisa,sasa hivi anapuyanga tu mjini,kuna siku nilikutana nae akasema eti,usichana ndiyo ulikua unamzingua, na kazini alifukuzwa sababu ya forgery... Funzo kwa wanawake,ukiwa na mme wako,jamaa anayekukula siku ukiachika na yeye anakuacha....

Wanaume wenzangu,kuweni na moyo acheni kukagua simu za wake zenu,kuna madudu humo,unaweza choma nyumba kibiriti...
 
Yaani jamaa kakuta simu nyingine unataka kutuaminisha angeiacha tu bila kujua kilicho ndani yake?
The truth has set him free
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom