Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

aliye muoa nyamayao si atakaye nioa mimi, wala bujibuji hata kuwa sawa na atakaye nioa mimi. my point is yapo ntakayoyavumilia kwenye ndoa na mengine NOPE. am not going to get married to an angel because am not an angel either so.......!!!!!
ANGALIZO:na yeye kuna vitu atakavyo vivumilia kwako,na vingine vitamshinda!

CONCLUSION:unapaswa kuvumilia mpaka mwisho,MPAKA MWISHO,MPAKA MWISHO.....!

huwezi kutoka.hiyo ndiyo ndoa ninayoijua mimi.
 
ANGALIZO:na yeye kuna vitu atakavyo vivumilia kwako,na vingine vitamshinda!

CONCLUSION:unapaswa kuvumilia mpaka mwisho,MPAKA MWISHO,MPAKA MWISHO.....!

huwezi kutoka.hiyo ndiyo ndoa ninayoijua mimi.
asante
 
good day!
choose the lesser evil!:
-IN(once you're in YOU ARE IN)
-OUT

NB:waambie dada zako carmel,nyamayao wakupe darasa

ndo hili naendelea kulipata hapa
 
haki gani hapo?...kwa hiyo unam support jamaa sio?

huyu fidel jamani.....its more than kupewa chakula cha usiku na hela ya mtumizi!!! kwani hayo yanatosha kuleta amani ndani ya maisha ya ndoa jamani???
 
ndio mambo yenyewe hayo kwenye hizi ndoa zetu. Nyamayao unakumbuka yule mama wa ofcin kwangu niliewapa story yake kwamba jamaa yake halali home kabisa, jana kaja na makaratasi kayakuta ndani kwake ambayo mumewe anamtafutia small house passport waende naye china. yani mama wa watu anazidi kuchizika. du mi staki jamani.

nahisi hayo makaratasi yatakuwa yameshachanwa by now....
 
haki gani hapo?...kwa hiyo unam support jamaa sio?

Sio namsuppoort unajua sometimes utakuta mama analalamikaaaaaaa weweeeeeee ukiuliza je vp jamaa hakutimiziiii anasema aaah ananifikisha kunako kodi ya meza je anaacha kama kawaida halali home analala sasa nini unalalamika ooh ana mke mwingine sawa ana mke mwingine wewe kwani nn kimepungua baada ya kuongeza huyo mwingine anasema hakuna sasa nini ooh sitaki awe na mke mwingine....hutaki kwa nn hana sababu mwache bana naona jamaa ameona wewe mhumtoshi ndo maana kaongeza kigoli kingine.
 
Kwa namna unavyoitafsiri ndoa,naona wewe itakushinda!...kwasababu you are filled in with negative perceptions of it...(THE BLIND SIDE OF MARRIAGE)

kuna kitu kidogo tu umekisahau,kwamba ndoa haina formula,IT IS HOW YOU GUYS MAKE IT!mwanamke mwenzio akipigwa na mumewe isikufanye usiolewe,kupigwa sio MANDATORY kwenye ndoa...!i mean ndoa ni namna mnavyoifanya ninyi.mnaweza kuifanya CHUNGU au vinginevyo....

Geoff nimeipenda sana hiyo niliyo-highlight na red color.
 
Pole sana jama. Najua kama ni wewe ndio umekutwa na hili, basi ujue uko kwenye mtihani mzito sana. Lakini, tulia, usifanye lolote hadi umemfahamu kwanza huyu Coleman, fuatilia babadiliko ya tabia ya huyo mkeo na majibishano kati yake na Coleman; je umepata kuona sms aliyoituma yeye kuijibu hiyo? Usichoke wala usiwe na haraka sana, hata ikikuchukua miaka mitatu, mitano nk. Jiweke tayari kwa maamuzi yeyote yanayowezekana kutokea. Hakikisha utakapoamua kumbana, hatoki isipokuwa kwa huruma na msamaha wako tu! Kusanya data za kutosha, huenda umepata kupiga chabo unywele tu, wa vituko vyake. Usizame kwenye mapenzi sana, maana ni kama dini, mwisho huipati bali utabaki kuchanganyikiwa tu. Maamuzi yatatokea na utayaridhia tu.

_______________________________________________________________
Ogopa kupenda bila kupendwa, ni kama ukoma!
 
sio dawa maana kule alipoyachukua mwanzo bado yapo mengine mamii.....

kweli bht...ila linaweza tu kuja wazo la kuyatekeza yaani kihasira hasira tuu...yaani hata kufikiri kunakuwa hamna
 
kweli bht...ila linaweza tu kuja wazo la kuyatekeza yaani kihasira hasira tuu...yaani hata kufikiri kunakuwa hamna


tena nahisi aliyachana huku analia mama wa watu!!!
 
Bujibuji pole sana, yaani sijui hata nikwambie nini zaidi
hali uliyonayo ni ngumu sana nahisi, hata kama hujafanya uchunguzi wowote wa kujua ukweli
 
sijaelewa umelileta hapa suala lako ili iwaje?
hata ivo ubarikiwe kwa kuwa na uvumilivu wa kiume....ple sana
 
Bujibuji pole sana, yaani sijui hata nikwambie nini zaidi
hali uliyonayo ni ngumu sana nahisi, hata kama hujafanya uchunguzi wowote wa kujua ukweli
...unaupimaje ukweli wa ANACHOKIANDIKA?
AU UNAMAANISHA KEYBOARD TRUTH?😀
 
naingia mbona weee hujaacha. ikinishinda natoka Goeff

Bht ingia tu kwenye ndoa tena kwa ushindi ukiamini kuwa hutatoka,though we know kwamba kuna ups and downs na mambo mengi lakini hayo yasikukatishe tamaa,ingia tu mpendwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom