Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Wakuu,
Kamna imethbitika ni Masha,basi Tanzania kazi tunayo.So fgar tunapiga ramli tu.
Pia kuna mtu anadai kwa nini isiwe nchimbi.Mimi nasema si nchimbi kwani huyo jamaa si Msomi maanke Mengi kasema waziri mmoja msomi,Nchimbi ni mhunzi tu wa vyeti.
Pia kama kweli waziri katumia mamlaka yake vibaya kupendekeza huo utumbo,ikija kuthibitika inabidi hatua kali zichukuliwe.Hatutaki kulea taifa la aina hii wakuu.
Pia hivi Mengi akifilisiwa wale watoto maskini anaowasaidia,watasaidiwa na nani? Si afadhali Mengi na udhaifu wake mara mia kuliko mafisadi kama akina Mramba,Rostam na Manji ambao ni wezi wa raslimali zetu huku msaada wao mkubwa ukiwa ni kuwamwagia pesa walinzi wao wakuu CCM?