Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Status
Not open for further replies.
Mimi hapa hata sielewi kwa nini we are wasting JF space kumtuhumu mtu ambaye hajatajwa!... Wizara nyeti ni ipi? waziri kijana yuko mmoja kwenye serikali ya Kikwete? why tunarukia?.... Inawezekana kweli akawa Mheshimiwa Masha but hata Mheshimiwa Adam Malima ni kijana na pengine wizara yake ni nyeti pia na pia alishawahi kutibuana na Mengi huko nyuma so possibility ya kuwa yeye pia ni kubwa so kama walivyoomba wenzangu hapo juu basi ni wazi tungekuwa na uhakika wa huyo Waziri kijana anayeongoza wizara nyeti ni nani otherwise we have no right to condemn anyone isipokuwa Mengi kwa kukataa kuwa muwazi zaidi
 
Mkuu, hivi "kupendekeza" jambo lazima uwe Waziri wa Fedha? Lazima uwe unahusika na kodi? Simple logic ni kuwa Waziri wa Fedha angeagiza tu huyu bwana abambikiziwe kodi! Lakini Mengi anasema huyo Waziri "alipendekeza"! Tatizo liko wapi?

- Yaani hivi ndio serikali yetu inavyoendeshwa, waziri akiwa na beef na mtu basi anakwenda kupendekza kwenye wizara flani na waziri wa ile wizara anakubali tu na kumfanyizia yule mwananchi kama waziri wa wizara nyingine alivyoshauri?

- Tanzania hatujafikia this low ingawa ni kweli tuna matatizo mengi sana, by the way waziri alishauri wapi huko kwenye cabinet, au kwenye vikao vya unywaji au bungeni??

- Sometimes ni vyema kuongea siasa with history, ni lini waziri aliwahi kushauri kama hivi ikafanyika? kama kuna record please?
 
Mh.... Wingu zito juu ya Masha, kwanini kila mtu amnyoshee kidole? lazima kuna shida mahali katika utendaji wake kulingana na dhamana aliyo pewa. Lazima kifanyike kitu!
 
Speculation # 1

1.
TAARIFA YA BW. REGINALD A. MENGI, MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP LIMITED KWA VYOMBO VYA HABARI

Hivi karibuni waziri mmoja kijana anayeongoza wizara nyeti alipendekeza nibambikiziwe kodi bandia ya kiasi kikubwa nitakachoshindwa kulipa na hatimaye nifilisiwe kama njia pekee ya kuninyamazisha kabisa eti kama alivyofilisiwa tajiri mmoja mkubwa huko Urusi.

Speculation # 2

2.
Nadhani JK ameingia mkenge sana kumpatia Masha uwaziri kwa sababu zifuatazo:-

1. Masha ni mmojawapo wa wamiliki wa IMMMA advocates ambyo kimsingi ni ya kibiashara na kwa maana hiyo Masha ni mfanyabiashara (rejea kauli ya JK kusuhusu wanasiasa kuchagua ama kubaki na biashara zao au kuziacha ili watumikie siasa. (ingawa Masha alisema anajiuzulu ukurugenzi wa IMMA je ameuza hisa zake?)
2. Kampuni ya IMMMA ndiyo uliyosajili Mwananchi Gold na Deep Green Finance na baadaye kampuni hiyo kuwa liquidators wa Makampuni hayo ambayo kashfa yake ni zaidi ya ile ya EPA!
3. IMMMA yenyewe na Masha kwa kuhusika na hujuma ya usajili wa Mwananchi na Deep green finance, uadilifu wake (IMMMA) na wamiliki wake ni questionable na sijui kama wanalipa kodi sahihi TRA.

Nachokihisi hapa ni vita dhidi ya Wafanya bisahara wazawa kwa manufaa ya wafanyabiashara wa kiasia. Labda Mengi hawamegei donge nono kma awafanyavyo waasia.

- Labda tuendelee kusubiri ukweli utakapotoka, maana so far ni speculations tu au?
 
Mh.... Wingu zito juu ya Masha, kwanini kila mtu amnyoshee kidole? lazima kuna shida mahali katika utendaji wake kulingana na dhamana aliyo pewa. Lazima kifanyike kitu!

- With all due respect hii wizara ya ndani si ndiyo iliyokuwa ya Mrema na Mapuri?

- Eti mkuu unashangaa kwa nini vidole vyote vinmnyooshea waziri wa ndani, kwani Mwinyi alipojiuzulu uwaziri walikuwa waziri wa wizara gani?
 
- Yaani hivi ndio serikali yetu inavyoendeshwa, waziri akiwa na beef na mtu basi anakwenda kupendekza kwenye wizara flani na waziri wa ile wizara anakubali tu na kumfanyizia yule mwananchi kama waziri wa wizara nyingine alivyoshauri?

- Tanzania hatujafikia this low ingawa ni kweli tuna matatizo mengi sana, by the way waziri alishauri wapi huko kwenye cabinet, au kwenye vikao vya unywaji au bungeni??

- Sometimes ni vyema kuongea siasa with history, ni lini waziri aliwahi kushauri kama hivi ikafanyika? kama kuna record please?

Mkuu FMES
Nondo zako nyingi nazikubali. Ila ulichoandika hapo juu mmhhhh! Lugha ya wahasibu wanasema at face value au nominal value. Mengi ameibua yaliyofanyika nyuma ya pazia. Sisi wengine tunafanya speculation tu.
 
Nachokihisi hapa ni vita dhidi ya Wafanya bisahara wazawa kwa manufaa ya wafanyabiashara wa kiasia. Labda Mengi hawamegei donge nono kma awafanyavyo waasia.

Hisia zako si sahihi.wafanya biashara wenye asili ya kiasia ni wazawa nao unless una hisia za kikaburu tu.
 
Nondo zako nyingi nazikubali. Ila ulichoandika hapo juu mmhhhh! Lugha ya wahasibu wanasema at face value au nominal value. Mengi ameibua yaliyofanyika nyuma ya pazia. Sisi wengine tunafanya speculation tu.

- Let all the facts come out kwanza, kwa sababu records haziko on Mengi's side na hizi never ending woolf zake!
 
wakuu ninaomba kuungana na wachache, lawrence fortunatus masha ni waziri wetu wa mambo ya ndani, reginald mengi ni bepari mtanzania. Kama mengi yeye analipa kodi zote impasavyo press release za aina hii za nini??!! Kama anao ushahidi wa yeye kutishiwa kuuawa na mmoja wa mawaziri vijana wa jmk kwanini suala hili halipo kwa igp mwema na dci manumba na siyo ktk press realease??!! Mengi si mwandishi wa habari, mengi si politician lakini kwa nini kila kukicha anataka tumuone yeye ndiye shujaa wa habari tanzania??!! Kama kuna kutishiana maisha kwa kiwango hiki kwanini mzee mengi bado ana with hold jina la muhusika/ mgomvi wake? Nashindwa kumhusisha waziri yeyote as long yeye mzee wetu mengi ameogopa kumtaja na ni kwa mtaji huo huo ninawaomba wote tuweke msimamo kuwa ktk hili mzee ameuhadaa umma.
__________________
"TWENDE PAMOJA, INAWEZEKANA... ." – FDR.Jr"

- Hoja nzito bwana huwa hazihitaji matusi wala kejeli, huwa zinasimama zenyewe tu.
 
kwnini asiwe dr emanuel nchimbi ? mengi ameanisha kuwa ni msomi sana na yupo wizara nyeti sana
 
...mara nyingine mengi huwa anakurupuka kutaka sympath....

1.alipokgombana na karim ,mmiliki wa kwanza wa tv nchini[ctn]...alikimbilia kusema anatishiwa kuuwawa...kitendo kilichofanya naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani...[wakati huo]augustne mrema kuagiza mrema apewe ulinzi wahsusi wa polisi na TISS[VIP Protection unit]......akawa na mpambe wa kumfungulia gari na kumlinda anayelipwa na state[nadhani alikuwa mfanyabiashara wa kwanza kupewwa hadhi hiyo]..na gari la surveillance ..etc.

MATOKEO HAKUULIWA WAALA KURUSHIWA JIWE...NA BAADAYE IKAGUNDULIKA KUWA ..UGOMVI ULIKUWA WA KUSHINDANIA KUONESHA AFCON....LIVE...CTN WALIPEWA RITES NA CAF..MENGI KWA KUWAKOMOA AKAWEKA TV KUBWA MNAZI MMOJA ..WATU WAANGALIE...NA AKAONESHA LIVE BILA KIBALI....CHA CAF.

yule mmiliki wa CTN alikuwa so frustrated akauza kile kituo ...akaondoka kwenda nje kupumzika...labda alisharusi....

2.scenerio ingine ya mengi ni pale alipokuwa anashindania tenda ya kununua KILIMANJARO hotel...Akashindwa kwenye taratibu za tenda,...akaaamua kwenda hewani akidai kaonewa na akataka sympathy yetu kuwa mzawa amenyimwa tenda.....akagomnbana sana na huyu waziri wa usalama wakati huo......wilson masilingi...akamuweekea masilingi curf kwenye vyombo vya habari hadi akaporomoka kisiasa......[huyu mzee lazima mjuwe kuwa ana netwok ya ajabu na anajuwa propaganda hasa]

well KILIMANJARO HOTEL IMEJENGWA NA MUWEKEZAJI MPYA ...NA SASA NI MOJA YA HOTELI ZA FAHARI KAMA ILIVYOKUWA......sana tu tungeomba serikali iwe inalazimisha kampuni kama hizi zitenge share kwa ajili ya ushirikishwaji wa wazawa kwenye stock market.

3.ugomvi wa mengi na manji pia ni wa kibiashara ...manji alimzidi mengi kwa ujanja ..kama kawaida yake mengi akaenda public...nadhani walikuwa wanagombea haki za kuendesha mchezo wa kamari kwenye tv...remember jackpot bingo[ilimtoa sana mengi hii].....

4.ugomvi wa mengi na tido [tvt]...kuonesha live kombe la ligi uingereza..[everbody here knows how mengi behaved in seeking public support....

5.ugomvi wa mengi /..tvt/ze comedy .....its not a new story..you know....

so in conclussion ..i suggest that we must be very careful ..when tackling mengi..griviances ...,history has shown that he is very smart in rallying mass sympathy against his haters....though sometimes its true me its true that he is being a target ....the starategy that he normally uses nullfy all his rightful complain as it becomes too monotonous...wanasema aah huyu analalamikaga ...hata malalamiko ya kweli ..watasema aah ni kawaida yake!..you see.....

......nadhani mengi anatakiwa kufuata mfano wa marehemu nyaulawa ..huyu pamoja na kumiliki media ..huwa habari zake zilikuwa haziwekwi ....kwenye lead page....sidhani kama waandishi wa IPP media wana uhuru wa kutosha .....kuna kila dalili kuwa ..wanaandika kwa malengo fulani....

hii inadhibitika na ukweli kuwa kila mara mtu anayegombana na bosi wao..ndio mara zote anakuwa targeted kushambuliwa...,,,pamoja na kudhamini mchango wake ..nafikiri kwa nia njema inabidi kama nchi tuangalie idadi ya media tunazoweza kuwacha kumilikiwa na mtu mmoja...especially kama atakuwa anazitumia kwa ugomvi dhidi ya wagomvi wake.....

...pamoja na hayo naunga mkono kwa moyo moja na kuunga mkono juhudi za serikali dhidi ya ufisadi.....namuunga mkono yeyote anayeupinga....najuwa kuwa kama taifa itabidi tuwe na starting point ...katika kupigana na ufisadi...na mwanzo ndio huu........

lakini tusibadili vita ya ufisadi kuwa visasi au ugomvi binafsi...lazima tujenge vita endelevu!!!
 
...............samahani wakulu,mmeniacha mbali sana, hivi kilaza maana yake nini?
 
- Mkuu ahsante kwa post yako, Mengi ni mtumzima sana na mwenye uzoefu mkubwa sana na serikali, hakutaja jina waziri anayemtisha, sasa eti kuna anayesema kwamba waziri wa jamhuri ajiuzulu kwa sababu Mengi ametoa taarifa kwa taifa bila kutaja jina la waziri, sasa huyu waziri wa ndani ajiuzulu kwa sababu huenda Mengi anamsema yeye, is that so?

- Kweli huo utawala wa kusadikika ndio inapaswa kua muongozo wa taifa letu la kesho? Yaani mimi leo ni kukurupuka na kusema waziri flani kijana ana elimu sana ananifuata fuata, basi ahaaa huyu ni waziri fulani huyu ajiuzulu sasa huyo hafai kabisaa?

- Jamani mweee! hivi kweli Tanzania tumefikia this low?

Mkuu FMES,

Wewe na wengine hapa ni wazee wa siku nyingi kwenye vijiwe vya siasa, hutakiwi hata kusoma mara mbili comments za Mengi kabla ya kujua anayeongelewa ni Masha.

Ukisoma tamko la Mengi ni dhahiri anamuongelea Masha.

Pamoja na makosa madogo madodo, Mengi ni hero wa watanzania walio wengi. Angalia hao matajiri wa siku hizi, wanakimbilia kuchota BOT.

Ukiona Mengi mpaka ameamua kuongea hivyo, jua wamemfikisha pabaya.

Kwenye hili nitamuunga mkono Mengi kwa asilimia 100 dhidi ya viongozi uchwara, ambao pamoja na exposure kubwa bado ujinga wa kukulia kwenye CCM haujawatoka.

Kibaya mtu kama Masha ambaye babake ni mpinzani, ungetegemea angeelewa maana ya demokrasia zaidi.

Hawa watu wanataka kuendelea kutufanya Watanzania wajinga. Wenzao wanapelekwa mahakamani kwa kutumia madaraka vibaya, yeye Masha ndio kwanza anazidi kujifanya mungu mtu?
 
...mara nyingine mengi huwa anakurupuka kutaka sympath....

1.alipokgombana na karim ,mmiliki wa kwanza wa tv nchini[ctn]...alikimbilia kusema anatishiwa kuuwawa...kitendo kilichofanya naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani...[wakati huo]augustne mrema kuagiza mrema apewe ulinzi wahsusi wa polisi na TISS[VIP Protection unit]......akawa na mpambe wa kumfungulia gari na kumlinda anayelipwa na state[nadhani alikuwa mfanyabiashara wa kwanza kupewwa hadhi hiyo]..na gari la surveillance ..etc.

MATOKEO HAKUULIWA WAALA KURUSHIWA JIWE...NA BAADAYE IKAGUNDULIKA KUWA ..UGOMVI ULIKUWA WA KUSHINDANIA KUONESHA AFCON....LIVE...CTN WALIPEWA RITES NA CAF..MENGI KWA KUWAKOMOA AKAWEKA TV KUBWA MNAZI MMOJA ..WATU WAANGALIE...NA AKAONESHA LIVE BILA KIBALI....CHA CAF.

yule mmiliki wa CTN alikuwa so frustrated akauza kile kituo ...akaondoka kwenda nje kupumzika...labda alisharusi....

2.scenerio ingine ya mengi ni pale alipokuwa anashindania tenda ya kununua KILIMANJARO hotel...Akashindwa kwenye taratibu za tenda,...akaaamua kwenda hewani akidai kaonewa na akataka sympathy yetu kuwa mzawa amenyimwa tenda.....akagomnbana sana na huyu waziri wa usalama wakati huo......wilson masilingi...akamuweekea masilingi curf kwenye vyombo vya habari hadi akaporomoka kisiasa......[huyu mzee lazima mjuwe kuwa ana netwok ya ajabu na anajuwa propaganda hasa]

well KILIMANJARO HOTEL IMEJENGWA NA MUWEKEZAJI MPYA ...NA SASA NI MOJA YA HOTELI ZA FAHARI KAMA ILIVYOKUWA......sana tu tungeomba serikali iwe inalazimisha kampuni kama hizi zitenge share kwa ajili ya ushirikishwaji wa wazawa kwenye stock market.

3.ugomvi wa mengi na manji pia ni wa kibiashara ...manji alimzidi mengi kwa ujanja ..kama kawaida yake mengi akaenda public...nadhani walikuwa wanagombea haki za kuendesha mchezo wa kamari kwenye tv...remember jackpot bingo[ilimtoa sana mengi hii].....

4.ugomvi wa mengi na tido [tvt]...kuonesha live kombe la ligi uingereza..[everbody here knows how mengi behaved in seeking public support....

5.ugomvi wa mengi /..tvt/ze comedy .....its not a new story..you know....

so in conclussion ..i suggest that we must be very careful ..when tackling mengi..griviances ...,history has shown that he is very smart in rallying mass sympathy against his haters....though sometimes its true me its true that he is being a target ....the starategy that he normally uses nullfy all his rightful complain as it becomes too monotonous...wanasema aah huyu analalamikaga ...hata malalamiko ya kweli ..watasema aah ni kawaida yake!..you see.....

......nadhani mengi anatakiwa kufuata mfano wa marehemu nyaulawa ..huyu pamoja na kumiliki media ..huwa habari zake zilikuwa haziwekwi ....kwenye lead page....sidhani kama waandishi wa IPP media wana uhuru wa kutosha .....kuna kila dalili kuwa ..wanaandika kwa malengo fulani....

hii inadhibitika na ukweli kuwa kila mara mtu anayegombana na bosi wao..ndio mara zote anakuwa targeted kushambuliwa...,,,pamoja na kudhamini mchango wake ..nafikiri kwa nia njema inabidi kama nchi tuangalie idadi ya media tunazoweza kuwacha kumilikiwa na mtu mmoja...especially kama atakuwa anazitumia kwa ugomvi dhidi ya wagomvi wake.....

...pamoja na hayo naunga mkono kwa moyo moja na kuunga mkono juhudi za serikali dhidi ya ufisadi.....namuunga mkono yeyote anayeupinga....najuwa kuwa kama taifa itabidi tuwe na starting point ...katika kupigana na ufisadi...na mwanzo ndio huu........

lakini tusibadili vita ya ufisadi kuwa visasi au ugomvi binafsi...lazima tujenge vita endelevu!!!

Mkuu PM,

Unataka Mengi akae kimya hao majambazi wa pesa zetu na wapambe wao wanapotaka kummaliza?

Kuna ushindani gani wa kibiashara kati ya mtu kama Manji anayechota pesa BOT na mfanyabiashara halali kama Mengi?

Hata Kilimanjaro walitumia njia hizo hizo za akina Mramba na Yona kumzidi speed Mengi. Watanzania tuamke kutetea Wazawa wenzetu wanaponyanyaswa na hao mafia.
 
Mtanzania mimi nakubaliana na wewe ,Mengi anapigwa vita kwasababu anawaumbua hawa mafisadi, hata ile kesi aliouziwa Adam Malima na Manji amuingie Mengi ni mkondo huo huo na sasa Masha nae kaingia kwasasbabu unapozungumzia wizi wa fedha za BOT unawahusisha wakina Masha through kampuni yao ya uwakili na wakina manji na Rostam ambao ndio vinara wa ufisadi. Hata hiyo hotel ya Kilimanjaro, Mengi hakufanikiwa sio kama hakuwa na uwezo kama propaganda zao zinavyosema bali kwa sababu fisadi Meghji akiwa wizara ya Mali Asili alimtafuta mwarabu wake wakakatiana pochi akapewa hoetel contrary to procurement regulations!! Mwarabu huyo huyo fisadi Lowassa amempa ruhusa Ajenge hotel ndani ya Mbuga ya Serengeti contrary to all envirinmental impact assessment studies; now that is the Mafia for you in operation in Tanzania.
 
And people would think ALOT is very much NOT a fisadi himself, i have nothing but doubt!!!!
 
Ndugu mengi atamke huyo kijana ni nani,maana vijana ni wengi wameshika ma wizara nyeti
 
Mengi pia kakosea,Kwanini umjibu mtoto mjinga hadharani huku ukujua babake yupo?Nenda kambwambie babake.Kwani maneno alotoa hata majirani wamesikia!!!Kama ni Masha wala siyo Nchimbi basi ubitozi utamtokea kinywani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom