Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Status
Not open for further replies.
Already Made Conclusions ni Masha!!!!!!!!!
Wabongo kwa Uchawi hatujambo!!!!!!!!!!!!!!!

ukisoma press release yake ya kingereza anasema learned minister.... upo hapo?
 
Hivi waziri masha alivyokuwa huko afrika ya kusini kwenye sherehe ya kumpongeza mtoto wake kw akuhitimu chuo kikuu kwa gharama zile kibao kwa kisingizio cha ziara za kiserekali naye hatumii vibaya madaraka yake ?
 
hapo sijata mtu ukumbuke...najaribu kutafuta clues!!!!

Najua hukutaja mtu na ndio maana hapo awali nikasema aidha hii habari imekaa kiuzushi uzushi au watu hapa wameipokea kiuzushi uzushi......

Kwani kuna waziri Tanzania ambaye hajasoma?
 
Najua hukutaja mtu na ndio maana hapo awali nikasema aidha hii habari imekaa kiuzushi uzushi au watu hapa wameipokea kiuzushi uzushi......

Kwani kuna waziri Tanzania ambaye hajasoma?

learned ni luga inayotumiwa zaidi na wanasheria kumbuka!!!
 
...mara nyingine mengi huwa anakurupuka kutaka sympath....

1.alipokgombana na karim ,mmiliki wa kwanza wa tv nchini[ctn]...alikimbilia kusema anatishiwa kuuwawa...kitendo kilichofanya naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani...[wakati huo]augustne mrema kuagiza mrema apewe ulinzi wahsusi wa polisi na TISS[VIP Protection unit]......akawa na mpambe wa kumfungulia gari na kumlinda anayelipwa na state[nadhani alikuwa mfanyabiashara wa kwanza kupewwa hadhi hiyo]..na gari la surveillance ..etc.

MATOKEO HAKUULIWA WAALA KURUSHIWA JIWE...NA BAADAYE IKAGUNDULIKA KUWA ..UGOMVI ULIKUWA WA KUSHINDANIA KUONESHA AFCON....LIVE...CTN WALIPEWA RITES NA CAF..MENGI KWA KUWAKOMOA AKAWEKA TV KUBWA MNAZI MMOJA ..WATU WAANGALIE...NA AKAONESHA LIVE BILA KIBALI....CHA CAF.

yule mmiliki wa CTN alikuwa so frustrated akauza kile kituo ...akaondoka kwenda nje kupumzika...labda alisharusi....

2.scenerio ingine ya mengi ni pale alipokuwa anashindania tenda ya kununua KILIMANJARO hotel...Akashindwa kwenye taratibu za tenda,...akaaamua kwenda hewani akidai kaonewa na akataka sympathy yetu kuwa mzawa amenyimwa tenda.....akagomnbana sana na huyu waziri wa usalama wakati huo......wilson masilingi...akamuweekea masilingi curf kwenye vyombo vya habari hadi akaporomoka kisiasa......[huyu mzee lazima mjuwe kuwa ana netwok ya ajabu na anajuwa propaganda hasa]

well KILIMANJARO HOTEL IMEJENGWA NA MUWEKEZAJI MPYA ...NA SASA NI MOJA YA HOTELI ZA FAHARI KAMA ILIVYOKUWA......sana tu tungeomba serikali iwe inalazimisha kampuni kama hizi zitenge share kwa ajili ya ushirikishwaji wa wazawa kwenye stock market.

3.ugomvi wa mengi na manji pia ni wa kibiashara ...manji alimzidi mengi kwa ujanja ..kama kawaida yake mengi akaenda public...nadhani walikuwa wanagombea haki za kuendesha mchezo wa kamari kwenye tv...remember jackpot bingo[ilimtoa sana mengi hii].....

4.ugomvi wa mengi na tido [tvt]...kuonesha live kombe la ligi uingereza..[everbody here knows how mengi behaved in seeking public support....

5.ugomvi wa mengi /..tvt/ze comedy .....its not a new story..you know....

so in conclussion ..i suggest that we must be very careful ..when tackling mengi..griviances ...,history has shown that he is very smart in rallying mass sympathy against his haters....though sometimes its true me its true that he is being a target ....the starategy that he normally uses nullfy all his rightful complain as it becomes too monotonous...wanasema aah huyu analalamikaga ...hata malalamiko ya kweli ..watasema aah ni kawaida yake!..you see.....

......nadhani mengi anatakiwa kufuata mfano wa marehemu nyaulawa ..huyu pamoja na kumiliki media ..huwa habari zake zilikuwa haziwekwi ....kwenye lead page....sidhani kama waandishi wa IPP media wana uhuru wa kutosha .....kuna kila dalili kuwa ..wanaandika kwa malengo fulani....

hii inadhibitika na ukweli kuwa kila mara mtu anayegombana na bosi wao..ndio mara zote anakuwa targeted kushambuliwa...,,,pamoja na kudhamini mchango wake ..nafikiri kwa nia njema inabidi kama nchi tuangalie idadi ya media tunazoweza kuwacha kumilikiwa na mtu mmoja...especially kama atakuwa anazitumia kwa ugomvi dhidi ya wagomvi wake.....

...pamoja na hayo naunga mkono kwa moyo moja na kuunga mkono juhudi za serikali dhidi ya ufisadi.....namuunga mkono yeyote anayeupinga....najuwa kuwa kama taifa itabidi tuwe na starting point ...katika kupigana na ufisadi...na mwanzo ndio huu........

lakini tusibadili vita ya ufisadi kuwa visasi au ugomvi binafsi...lazima tujenge vita endelevu!!!

Mengi mite have his personal agenda but u cant rule out what his media has done for tanzania..ondoa IPPMEDIA utabaki na ninii??? sasa if mengi and his media stop writting about UFISADI who will JAMIIFORUMS?? do u knw the masses that read abt ufisadi through his papers in comparison to others?? his a strong guy...no wonder we are symphathetic towards him...wahindi ni washenzi there i said it...wanasiasa wengi na wafanyabiashara wengi wanamchukia mengi coz he has balls and has no one controlling his decisions...
 
Mwanakijiji yuko wapi aje amalize huu mjadala,yeye kauanzisha na kumsema masha hapa bila ya kuwa na ushahidi
 
...mara nyingine mengi huwa anakurupuka kutaka sympath....

1.alipokgombana na karim ,mmiliki wa kwanza wa tv nchini[ctn]...alikimbilia kusema anatishiwa kuuwawa...kitendo kilichofanya naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani...[wakati huo]augustne mrema kuagiza mrema apewe ulinzi wahsusi wa polisi na TISS[VIP Protection unit]......akawa na mpambe wa kumfungulia gari na kumlinda anayelipwa na state[nadhani alikuwa mfanyabiashara wa kwanza kupewwa hadhi hiyo]..na gari la surveillance ..etc.

MATOKEO HAKUULIWA WAALA KURUSHIWA JIWE...NA BAADAYE IKAGUNDULIKA KUWA ..UGOMVI ULIKUWA WA KUSHINDANIA KUONESHA AFCON....LIVE...CTN WALIPEWA RITES NA CAF..MENGI KWA KUWAKOMOA AKAWEKA TV KUBWA MNAZI MMOJA ..WATU WAANGALIE...NA AKAONESHA LIVE BILA KIBALI....CHA CAF.

yule mmiliki wa CTN alikuwa so frustrated akauza kile kituo ...akaondoka kwenda nje kupumzika...labda alisharusi....

2.scenerio ingine ya mengi ni pale alipokuwa anashindania tenda ya kununua KILIMANJARO hotel...Akashindwa kwenye taratibu za tenda,...akaaamua kwenda hewani akidai kaonewa na akataka sympathy yetu kuwa mzawa amenyimwa tenda.....akagomnbana sana na huyu waziri wa usalama wakati huo......wilson masilingi...akamuweekea masilingi curf kwenye vyombo vya habari hadi akaporomoka kisiasa......[huyu mzee lazima mjuwe kuwa ana netwok ya ajabu na anajuwa propaganda hasa]

well KILIMANJARO HOTEL IMEJENGWA NA MUWEKEZAJI MPYA ...NA SASA NI MOJA YA HOTELI ZA FAHARI KAMA ILIVYOKUWA......sana tu tungeomba serikali iwe inalazimisha kampuni kama hizi zitenge share kwa ajili ya ushirikishwaji wa wazawa kwenye stock market.

3.ugomvi wa mengi na manji pia ni wa kibiashara ...manji alimzidi mengi kwa ujanja ..kama kawaida yake mengi akaenda public...nadhani walikuwa wanagombea haki za kuendesha mchezo wa kamari kwenye tv...remember jackpot bingo[ilimtoa sana mengi hii].....

4.ugomvi wa mengi na tido [tvt]...kuonesha live kombe la ligi uingereza..[everbody here knows how mengi behaved in seeking public support....

5.ugomvi wa mengi /..tvt/ze comedy .....its not a new story..you know....

so in conclussion ..i suggest that we must be very careful ..when tackling mengi..griviances ...,history has shown that he is very smart in rallying mass sympathy against his haters....though sometimes its true me its true that he is being a target ....the starategy that he normally uses nullfy all his rightful complain as it becomes too monotonous...wanasema aah huyu analalamikaga ...hata malalamiko ya kweli ..watasema aah ni kawaida yake!..you see...
..

......nadhani mengi anatakiwa kufuata mfano wa marehemu nyaulawa ..huyu pamoja na kumiliki media ..huwa habari zake zilikuwa haziwekwi ....kwenye lead page....sidhani kama waandishi wa IPP media wana uhuru wa kutosha .....kuna kila dalili kuwa ..wanaandika kwa malengo fulani....

hii inadhibitika na ukweli kuwa kila mara mtu anayegombana na bosi wao..ndio mara zote anakuwa targeted kushambuliwa...,,,pamoja na kudhamini mchango wake ..nafikiri kwa nia njema inabidi kama nchi tuangalie idadi ya media tunazoweza kuwacha kumilikiwa na mtu mmoja...especially kama atakuwa anazitumia kwa ugomvi dhidi ya wagomvi wake.....

...pamoja na hayo naunga mkono kwa moyo moja na kuunga mkono juhudi za serikali dhidi ya ufisadi.....namuunga mkono yeyote anayeupinga....najuwa kuwa kama taifa itabidi tuwe na starting point ...katika kupigana na ufisadi...na mwanzo ndio huu........

lakini tusibadili vita ya ufisadi kuwa visasi au ugomvi binafsi...lazima tujenge vita endelevu!!!

kha! ama kweli wewe ni mwanasiasa!

yaani ulikuwa unasubiri upate platform tuu basi uue na tayari platform ushapata na na points za kuua unazo

safi sanaaaa

Ama kweli Siasa mwana Khara...halafu jioni utampigia simu kumuunga Mkono huyo huyo Mengi!

anyway kwa hili sina la kuongeza zaidi ya kutazama wana JF walivyokosakazi kumjadili Mengi vs Masha wakati MAALBINO wa,metoa tamko hakumna mwenye muda nao

Halafu ulishasahu ugomvi wa Mengi v/s JAMBO FORUM mpaka alisababusha forum kufungwa?
 
Mimi namshangaa sana Mwanakijiji, ikiwa Mengi mwenyewe kashindwa kutaja jina iweje yeye aseme ni Masha? au anataka tuamini Mwanakijiji ndio Mengi?
 
Skandali ya Masha na kampuni lao la kifisadi la IMMA nayo itashughulikiwa lini na wizara ya mambo ya ndani? .... ohhh ... waziri wa mambo ya ndani ni Masha?
 
Majira wanaripoti hivi:

Waziri atishia kuniua-Mengi

*Adai pia anasuka njama kumfilisi
*Chanzo ni msimamo kwa mafisadi

Na Peter Masangwa

MFANYABIASHARA mashuhuri nchini ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya IPP, Bw. Reginald Mengi amedai kutishiwa kifo na mtu aliyemtaja kuwa ni Waziri kijana katika Serikali ya Rais Jakaya Kikwete akihusisha vitisho hivyo na msimamo wake thabiti dhidi ya ufisadi nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana, Bw. Mengi alisema kuwa amekuwa akituhumiwa kuwa vyombo vyake vya habari vimekuwa mstari wa mbele katika kupiga vita ufisadi, jambo ambalo kwa maoni ya Waziri huyo kijana sio zuri kwa sababu linawanyanyasa baadhi ya watu.

''Nilitegemea Waziri huyo msomi angefahamu jinsi vyombo vya habari vinavyofanya kazi, kwani anayeamua nini kiandikwe na nini kisiandikwe ni mhariri wa gazeti ambaye taaluma yake ni uandishi wa habari na siyo mmiliki wa vyombo vya habari,'' alisisitiza Bw. Mengi.

Bw. Mengi alisema amekuwa akipokea ujumbe mfupi wa maandishi kwa njia ya simu kupitia namba 0768 373967 ambao umekuwa ukimlaumu moja kwa moja kuwa anatumia vyombo vyake vibaya kwa nia pia ya kujiandalia njia ili awanie Urais siku za usoni.

Uliusoma ujumbe huo ulioandikwa: ''Ni fadhali kunyofoa roho yako ipotee kuliko kuendelea kukuachia uchafue amani na utulivu wa nchi kwa TAMAA zako za kutaka Urais, Ugomvi wako na akina Manji hauwezi kutufanya watanzaniawote tuingie katika vita vya wenyewe kwa wenyewe uliofanya yanatosha, enough is enough, kaa tayari.''

Alisema Waziri huyo amekuwa akihusika katika njama pia nzito kwa kupendekeza katika vikao vya Serikali ili yeye (Bw. Mengi) apandishiwe kodi ili ashindwe kufanyabiashara na kufilisika kama alivyofanyiwa mfanyabiashara mmoja huko nchini Urusi.

Akitoa msimamo wake kuhusu vitisho hivyo, Bw. Mengi alisema wanaomfanyia hujuma hizo watambue kwamba hata kama watafanikiwa kuvinyamazisha vyombo vya habari kwa hujuma zozote na hata kama yeye hatakuwepo duniani, moto wa kupiga vita ufisadi uliokwishawashwa katika akili za wanajamii hauwezi kuzimika kamwe.

Bw. Mengi alithibitisha kuripoti vitisho hivyo kwenye Kituo cha Polisi cha Oysterbay na tayari uchunguzi umeanza kufanyika.

Aliusifu utawala wa Rais Kikwete kwa jinsi ulivyojipanga kuondoa tatizo la ufisadi nchini na kusema ni hatua ambazo zinapaswa kuungwa mkono na Watanzania wote.

Akijibu swali kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini, Bw. Mengi alisema kuwa kuna tofauti kubwa sana ukilinganisha na utawala wa Awamu ya Tatu kwani sasa wanahabari wamekuwa huru zaidi kujadili masuala ingawa hauwezi kupatikana uhuru wa moja kwa moja.

''Nampongeza Mzee Mwinyi kwani ndiye baba wa demokrasia ya habari nchini kwa kuruhusu kila mwenye uwezo wa kumiliki chombo cha habari kwani ni haki ya kila mtu kupata na kutoa habari,'' alisema.

Majira liliwasiliana kwa njia ya simu na mpelelezi wa kesi hiyo aliyeko kituo cha polisi Oysterbay ili kuzungumzia zaidi suala hilo lakini alieleza kuwa nje ya ofisi kikazi na kuahidi kulifanyia kazi suala hilo.
 
Mwanakijiji yuko wapi aje amalize huu mjadala,yeye kauanzisha na kumsema masha hapa bila ya kuwa na ushahidi

Mwanakijiji ndiye "kasema" au habari aliyoileta ndio "imesema" (that is kama imesema hivyo na si kutafsiriwa hivyo)?
 
unaassume mambo mengi (no pun intended).

Mkuu,

wewe ndiyo huwa mtu wa kufikirika na umekuwa ukiandika mengine ya kufikirika bila ya kufikiria,rejea kpindi kile uliposema Lowassa na Ngeleja wameoa Familia moja??

Rejea ya leo hili kwamba Ni Masha?au uliambiwa na Mengi>??Mwanakijiji on serious issue lets not put speculation mbele kwa jambo ambalo hata data huna
 
Skandali ya Masha na kampuni lao la kifisadi la IMMA nayo itashughulikiwa lini na wizara ya mambo ya ndani? .... ohhh ... waziri wa mambo ya ndani ni Masha?

Scandal Ipi?

Je wizara ya mambo ya ndani huwa inashughulikia scandal?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom