IronBroom
JF-Expert Member
- Jun 12, 2008
- 521
- 36
Huyu masha ndio alietufungia ile site yetu pendwa.
Oh,i didnt know this.
Huyu masha ndio alietufungia ile site yetu pendwa.
- Waziri wa mambo ya ndani anaweza kuhusika na kodi? I am missing something here or what?
Hivi kweli wakuu hii thread nzima na matusi yote yaliyorushwa humu kwa waziri ambaye hakutajwa jina, ni kwa sababu tu ya haya maneno juu au kuna mengine yamefutwa?
mengi kutoa madai dhidi ya watu wenye kupingana nae aidha kibiashara au kimaslahi ndi kazi ....amezoea kutumia vyombo vyake na jukwaa la wahariri ili kuficha uchafu wake...juzi hapa tumeona wafanyakazi wake wa guardian wakiandamana kudai haki zao...wacha haya mwaka 1990 aliwasingizia wamiliki wa dtv na ctn kuwa wanataka kumua...ikagundulika ni mwongo mtumpu anapenda kujikwaza...
Pia aligombana na malima na kumwandama kutumia vyombo vyake....alichosema malima ni kweli anatumia vibaya vyombo vyake dhidi ya raia wengine...
Aligombana na manji kwa sababu ya uchoyo tu...lakini mara hii alimkuta manji sio kama wale wahindi wengine wa dtav na ctn..walikula jino kwa jino...
Mengi pia hakuishia hapo aligombana na kumshtaki sheikh basaleh...aliwahi kumtisha jenerali ulimwengu kwa sababu magazeti ya rai yalimwandika mengi ni katika wadaiwa wa iliokua benki ya nbc ltd kabla ya kubinafsishwa..na bank ya crdb..pia alikua ni mmoja kati ya walochota pesa za import support...
Makampuni yake hayalipi rent katika sehemu wanazokodi mpaka wafukuzwe ipp inadaiwa mpaka leo na ywca ..masikini hata shirika hili la dini alitaka kulitapeli...akahamishwa kwa mbinde baada ya kuambiwa atoke wanataka kufanya renovation lakini ilikua ni mbinu tu ya kistaarabu kumwambia atoke..
Sasa tuje kwenye hizi tuhuma zake mpya na waziri kijana.....hivi unaweza tu kupandishiwa taxes au kodi ambayo hustahili ?????/ sidhani...tra hawako hivo...na kuna sheria zake zake hata kama wanakudai kodi...na kuna njia na taratibu za kukata rufaa...sasa vipi atasingiziwa tu alipe kodi kubwa ili ati afilisike..????
Cha kuangalia hapa mengi jee yupo safi ???? Sio anataka symphathy anajua madhambi yake sasa atwambie basi jee analipa kodo zetu sawa sawa ama? ...kama anadaiwa kodi halipi basi asitubabaishe yeye sio immune hapa..mengi enajifanya kama wahindi kule india ambao ni untouched ..tunajua ni freemason lakini wakati ukifika hapa tanzania kama na yeye sio msafi basi atahukumiwa tu...na alifikiria kama pesambili mramba waziri tangia enzi za nyerere aliekuwa na kejeli kutwambia hata majani tule lakini mkapa anunue ndege ili wapate ulaji...naye mengi ajue kinachotakiwa ni kuwa msafi...kama analipa kodi zetu basi hana haja ya kuogopa kufilisiwa ..lakini kama halipi kodi zetu basi ajue wakati ndio huu
Najua nitatofautiaaa sana bwna sana na wengi katika hili, kuna wakati huwa namshangana mengi kwa jinsi au style yake ya KULIA LIA, sasa mtu mzima kama wewe mwenye kumiliki vyombo vingi vya habari kuliko mtu yeyeto TZ, unasimama kwenye vyombo vyako kulalama ETI WAZIRI MMOJA KIJANA, si amtaje tu na au ampeleke mahakamani? hii tabia ya umbea wa magazeti ya udakau kaiotoa wapi? hata kama ni kutafuta sympathy sio kihivyo.
Akitofautiana na mtu tu, huyooooooooo kwenye vyombo vya habari, anachoogopa nini? mtu atawezaje kukutaifisha bila ya wewe kuwa na kosa? kwanini uogope vitisho wakati wewe ni mtu safi? nakumbuka aliwahi kuwa mmoja wa wadeni wakubwa wa mabenki nchini kabla hayajabinafsishwa huyu. sijui kama alilipa au yalipotea hewani, ndiyo lazima tujiulize mabenki yalikuwa yanatengeneza faida lakini yakakosa pesa za kujiendesha kwa vile zimeshikiriwa na matajiri hawa hawa.
Mkuu, hivi "kupendekeza" jambo lazima uwe Waziri wa Fedha? Lazima uwe unahusika na kodi? Simple logic ni kuwa Waziri wa Fedha angeagiza tu huyu bwana abambikiziwe kodi! Lakini Mengi anasema huyo Waziri "alipendekeza"! Tatizo liko wapi?
Kuhusu Masha, inawezekana asiwe yeye! Lakini kajiachia mno bwana mdogo huyu. Kwenye mabaa akilewa na wapambe wenzake wa IMMA anamlalamikia mno JK kwa kumwacha Lowassa solemba! Huyu ni kuwadi nambari moja wa Lowassa, simply because mtandao ulipanga kuwa Lowassa akishindwa kuukwaa Urais, basi next in line ni Masha! Mtandao ulimwengua Nchimbi kutokana na CV yake kielimu kuwa ya kimkandamkanda. Vilevile, Masha anasumbuliwa na Deep Green scandal ambayo inaweza kumpeleka Keko kama Mramba na Yona. Ndiyo maana amekuwa daima anakwenda Segerea na Keko kusimamia ukarabati wa lupango za huko ili zamu yake ikifika ya kuingia huko asipate taabu.
Kandambili, Marcos au Pesambili?
mengi kutoa madai dhidi ya watu wenye kupingana nae aidha kibiashara au kimaslahi ndi kazi ....amezoea kutumia
Sasa tuje kwenye hizi tuhuma zake mpya na waziri kijana.....hivi unaweza tu kupandishiwa taxes au kodi ambayo hustahili ?????/ sidhani...tra hawako hivo...na kuna sheria zake zake hata kama wanakudai kodi...na kuna njia na taratibu za kukata rufaa...sasa vipi atasingiziwa tu alipe kodi kubwa ili ati afilisike..????
mengi kutoa madai dhidi ya watu wenye kupingana nae aidha kibiashara au kimaslahi ndi kazi ....amezoea kutumia vyombo vyake na jukwaa la wahariri ili kuficha uchafu wake...juzi hapa tumeona wafanyakazi wake wa guardian wakiandamana kudai haki zao...wacha haya mwaka 1990 aliwasingizia wamiliki wa dtv na ctn kuwa wanataka kumua...ikagundulika ni mwongo mtumpu anapenda kujikwaza...
Pia aligombana na malima na kumwandama kutumia vyombo vyake....alichosema malima ni kweli anatumia vibaya vyombo vyake dhidi ya raia wengine...
Aligombana na manji kwa sababu ya uchoyo tu...lakini mara hii alimkuta manji sio kama wale wahindi wengine wa dtav na ctn..walikula jino kwa jino...
Mengi pia hakuishia hapo aligombana na kumshtaki sheikh basaleh...aliwahi kumtisha jenerali ulimwengu kwa sababu magazeti ya rai yalimwandika mengi ni katika wadaiwa wa iliokua benki ya nbc ltd kabla ya kubinafsishwa..na bank ya crdb..pia alikua ni mmoja kati ya walochota pesa za import support...
Makampuni yake hayalipi rent katika sehemu wanazokodi mpaka wafukuzwe ipp inadaiwa mpaka leo na ywca ..masikini hata shirika hili la dini alitaka kulitapeli...akahamishwa kwa mbinde baada ya kuambiwa atoke wanataka kufanya renovation lakini ilikua ni mbinu tu ya kistaarabu kumwambia atoke..
Sasa tuje kwenye hizi tuhuma zake mpya na waziri kijana.....hivi unaweza tu kupandishiwa taxes au kodi ambayo hustahili ?????/ sidhani...tra hawako hivo...na kuna sheria zake zake hata kama wanakudai kodi...na kuna njia na taratibu za kukata rufaa...sasa vipi atasingiziwa tu alipe kodi kubwa ili ati afilisike..????
Cha kuangalia hapa mengi jee yupo safi ???? Sio anataka symphathy anajua madhambi yake sasa atwambie basi jee analipa kodo zetu sawa sawa ama? ...kama anadaiwa kodi halipi basi asitubabaishe yeye sio immune hapa..mengi enajifanya kama wahindi kule india ambao ni untouched ..tunajua ni freemason lakini wakati ukifika hapa tanzania kama na yeye sio msafi basi atahukumiwa tu...na alifikiria kama pesambili mramba waziri tangia enzi za nyerere aliekuwa na kejeli kutwambia hata majani tule lakini mkapa anunue ndege ili wapate ulaji...naye mengi ajue kinachotakiwa ni kuwa msafi...kama analipa kodi zetu basi hana haja ya kuogopa kufilisiwa ..lakini kama halipi kodi zetu basi ajue wakati ndio huu
Sema LAzaro
Huyu Masha naona naye ameshaanza kulewa madaraka.,...