Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

Dr.Who,
Kukuonyesha tu kwamba serikali pamoja na Rais wako mfukoni usome hii habari, it explains by itself. Moreover lazima ujue katika scandal huyu jamaa alizozifanya si chache. Zile tu ambazo tumezisoma ni kama zifuatazo:
1. Kuwanunua viongozi wa serikali, wabunge, pamoja na mawaziri, ili wachukue mikopo ya import ehancement funds. Wale viongozi walikuwa wanakatiwa kibunda kidogo na yeye anachukua zote anaweka mfukoni (Tanzania Investment Bank as reference)
2. Kuchukua hela za walala hoi USD 9million kutoka NSSF kujenga jengo na kuwauzia hao hao waliompa pesa kwa USD 47million.
3. Kuwasainisha na kuwarubuni PSSF USD 36 million ambapo hata ile hati anaishikilia mtu hewa.
3. Check huko salamander na sasa hii story ya leo
4. Kumbuka Sumaye amewahi kuwa na scandal ya kukopa NSSf
5. Huyu jamaa alifuata Yusuf Makamba kupata favour ya kiwanja cha Wa-Islam kule Temeke na Makamba aka-endorse.
Sasa ukijumlisha yote hayo je huyu jamaa ana fedha za halali kiasi gani na hizo za holela ni ngapi. Jiulize katika hizo list nani hayumo na nani yumo. Katika list hiyo nani hakuchukua pesa? Hatujui! Kanunua Serikali, Chama (CCM) hadi wabunge!
Is there any more evidence required than what have been explained by THISDAY and other people????????



-----------------------
Quality Group launches Salamander demolition PR blitz
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

BATTLING expert opinion and an increasingly spirited government opposition to the demolition of the Salamander building, businessman Yusuf Manji has now launched a broad public relations offensive to try and justify destruction of a national historical heritage.

The CEO of Quality Group Limited yesterday splashed sponsored newspaper advertisements backed with biased news reports, to try and sway government and public opinion over the matter in his favour.

And, as usual, the controversial businessman used the same newspapers gaining a reputation as his mouthpiece as a vehicle to launch the media campaign for the demolition of the protected building.

In the newspaper advertisements published with a model of a glass structure to be supposedly built on the plot where the Salamander building now sits, Manji paints himself as the aggrieved party who just wants to add a new architectural 'masterpiece' to the Dar es Salaam skyline.

Manji concluded the media statement thus: ''By this notice QGL (Quality Group Limited) would like the public to take note that it would not be liable for any injury or death that may occur to anyone visiting the Salamander property....''

The PR blitz comes as government experts maintain that the Salamander building was not condemned and on the verge of collapse as claimed by Quality Group.

Government lawyers say the previous foiled attempt by Quality Group Limited to pull down the ancient building was not only illegal, but it also ignored due process followed in the demolition of buildings.

The Municipal Engineer and legal officer must first issue a signed demolition notice and give tenants of the building 90 days to vacate the targeted building.

Such a notice must be stuck on the wall of the targeted building to ensure it is read by the tenants.

After expiry of the notice, a demolition order is then prepared by the engineer and counter-signed by the lawyer. Such an order must be endorsed by the Regional Commissioner to become enforceable.

And, before the actual demolition takes place after following the entire procedure, the police must be informed to provide security during the exercise.

In complete disregard of the due process, Quality Group Limited posted a charge sheet and ruling on Friday evening before ordering demolition squads to move in the following day, without proper notice to the tenants.

Lawyers representing the government in the fiasco have informed the High Court that there was a serious violation of procedures in the attempted demolition of the Salamander building.

State Attorney John Mapinduzi, clearly stated in his affidavit that the criminal case filed by the Ilala Municipal Council and its ruling purportedly fining Quality Group Limited for its failure to demolish the building was illegal and incorrect.

Quality Group attempted to demolish the Salamander historical building based on a questionable Charge Sheet and Judgement of Criminal Case no.587 of 2006 of the Resident Magistrate's Court of Dar es Salaam at Sokoine Drive that was stuck on the walls of the building without any court order.

The State Attorney described the ruling of the lower court as ''irregular, illegal and incorrect.''

''There is illegality in the decision in the above cited case (CC no. 587/2006) basing on the fact that the trial Magistrate relied on the repealed law to decide this matter, that's Rule 22 of the Township Building Rules, Cap.101 which was repealed by Act no. 8 of 1994, and Government Notice No 123 of 6th May, 2005,'' he stated.

The government has maintained that the building located at the junction of Samora Avenue and Mkwepu Street should not be demolished because it is protected under section 23 of the Antiquities Act no. 10 of 1964.

The Minister of Natural Resources and Tourism, Mr Anthony Diallo, has spearheaded government efforts to protect the building from demolition.

''That building is not a condemned building ... even if it were condemned, the response would be to rehabilitate and restore the structure, certainly not to demolish it,'' he told THISDAY in an earlier interview.

The Minister explained that if the building was indeed inhabitable, it should be vacated to pave way for restoration work, insisting that demolition was totally out of the question.
 
Wallahi! Wewe Mlalahoi,

Una maneno wewe! ha! ha! ha!, Anyway ninapenda kusema kuwa sielewi how hii mada ilinipita kushoto for a while, sikujua kabisa kuwa kuna wajumbe waliotulinganisha na Darhotwire, ila ninashukuru kuwa wamekuwa-taken care tayari,

Now ninaona kuwa kuna a cry kuwa kuna wajumbe wamefukuzwa kwa sababu baadhi ya wajumbe wengine walikuwa hawawataki, hilo ninasema sikweli na linanigusa kwa sababu niliomba baadhi yao waondolewe kwa kurusha matusi,

BAADA YA ONYO KUTOLEWA KUWA MATUSI, HAYATAKIWI TENA,

meaning kwamba kuna wakati ilikuwa RUKHSA, lakini toka ilipoamuriwa na mwenye Forum, maana tukumbuke kuwa hiii sio forum ya taifa au CCM, hapana ni forum ya watanzania.

Kwanza huyu mzee ni mstaarabu sana, kufikia hata kusema ni kwa nini anamfuta mjumbe humu, mimi ninaamini kuwa hahitaji kufanya hivyo, yeye ni kukata kalamu tu na kusonga mbele,

la pili ni kwamba kwa wale mliowahi kuwa BCS, mtakumbuka kuwa kule hakukuwa na rules wala ku-close mada, ilikuwa mwendo wa farasi mpaka wajumbe waishiwe nguvu, na matusi ilikuwa ni nyumbani kwao, na wengine tulikuwa pale mpaka mwisho bila ya kulia wala kukimbia, tukayahimili matusi mpaka mwisho, lakini hatukuyumba wala kuomba afukuzwe mtu, sasa iweje leo tuwakatae wengine eti kwa sababu hawakubaliani na hoja zetu?

Hiyo sio kweli, ukweli ni kwamba Admin wa JF ana haki ya kumfuta mjumbe yoyote bila ya kujibu kwa mtu yoyote, yes we can cry kwa wajumbe kusamehewa, lakini sio ku-aatach conditions kuwa mbona fulani mbona fulani, hapana, ninaamini kati ya waliofukuzwa kuna waliotukana baada ya kuambiwa Full Stop kwenye Red Light wao wakaipita, na kuna wanaotumia majina mengi kuingia humu, yes hilo tuliliomba kuwa lisiruhusiwe kwa ajili ya heshima ya mahali tunapokuja kukata issues, muhimu kwa taifa letu, kuingia na majina mengi ni kushusha hadhi ya forum, kwa hilo mimi nitabeba lawama na hata msalaba, lakini tuwe watu wazima hapa sio mchezo wa kuigiza au sinema, na labda wengine tu hatuelewi how powerful hii kitu is, lakini kuna tunaoelewa umuhimu wa info zinazotolewa hapa kwa wananchi,

Mimi sikujua mpaka pale BCS, ilipokufa nikaanza kupata E-mail angalau tano kwa siku wakiulizia vipi, tutahamia wapi kuendelea kukata issue, ukweli ni kwamba nilikuwa nimeamua kupumzika na hizi forum, lakini I was touched, halafu ninapokwenda majuu, kuzungumza na wajumbe wa hii forum kwa simu, the excitement na the hype, yaani I am always humbled, sikutegemea kuwa haya maneno madogo tu yanaweza kuwagusa wananchi kiasi hicho!

Anyway, Mzee DrWHo kwa leo ninakupa free pass kwa sababu kuna wazee tayari wakufahamisha, ila kama bado huelewi tutakusaidia, kwa wazee wengine wote tuendelee kukata issues, let the chips fall where they may, tena heshima kwa wote, hakuna kulala, na yaliyopita si ndwele tuangalie yanayokuja na yanayotukabili,

A Luta! A Luta, ndio Eeeeenh!
 
naona bado tuko kule kule kwenye Ushabiki

Gazeti la This Day lina Uhusiano wa Karibu na Mengi/IPP Media sasa sidhani kama ni credible source ya hili suala

sasa nilidhani kuwa ingekuwa ni vizuri kama ingepatikana ripoti toka ANTI CORRUPTION BUREAU ambayo ilipewa task ya kulifuatilia suala hili

Halikadhaliaka tusisahau kuwa kulikuwa na KAMATI HURU iliyoundwa na bunge toka chama tawala na upinzani ili kuangalia suala hili je majibu yao ni yepi

Mwisho hii kesi ilienda Mahakamani je mahakama iliamuaje?

au ndio ilishamuliwa na THIS DAY?
 
Dear DrWHO
Pole sana kwa kuwa gizani . Nakusaidia kwa kifupi kwamba magazeti ya Kulikoni na This day ni magazeti ya wana mtandao .Muulize RA ama JK ana SS atakueleza vyema .Kusema ni ni mengi unapotea tu anatumiwa kama cover up . Sisemi zaidi fuatilia utajua ninachokisema .
 
Magazeti ya This Day na Kulikoni ni magazeti ya wanamtandao.

Haya magazeti hayawezi kuguzwa kabisaa, hiyo sahau, infact baadhi ya wakusanya habari ni UWT. Nia ya kuanzisha haya magazeti ilikuwa ni kutmia kama cover up ya mambo ya mtandao, na ukitaka kufuatilia kwa undani utaona kuwa issue zote zonazoandikwa ni zile ambazo haziwahusishi mtandao kwa undani.

Mpaka leo hii ukijaribu kuuliza au kutaka kujua waandishi wa This Day au Kulikoni utaishia ukutania, to fauti na magazeti mengine ambayo waandishi wa habari hujulikana haya mawili ni marufuku, hata ile ya Mhariri wake kuwekwa wazi ilikuwa ni baada ya mbinde kubwa tu.

Magazeti haya hayamilikiwi na mengi wala IPPMEdia kama watu tunavyoelewa, Mengi yeye anatumiaka kama share holder na njia rahisi ya kutolea habari (umaarufu wake kwenye hii business). Ukitaka kujua hili ni kwamba magazeti yote ya Mengi (IPPMedia) huchapishwa na Guardian Limited angali ThisDay na Kulikoni huchapishwa na African Media Group ambayo IPP Holdings ni share holder.

mpaka sasa hivi nimefurahishwa na kazi yao.
 
Ndugu yangu wewe DrWHO naona ulionywa hukuelewa .Tuna habari kwamba wewe ni mmojawapo wa wana mtandao na magazeti yako hapo UK ndiyo kazi kubwa ya kuulamba miguu mtandao.Tulishuhudia magazet ya TZUK wakat EL alikuwa hapo London sasa leo hukujua haya ama ulikuwa unataka kujua kama sisi walalahoi how much do we know about sins ?Basi tunajua mengi kama ulikuwa una joke wewe na hao UWT na mtandao mzima jueni tuna kila nyeti na tunazidi kukodoa macho .
 
Mzee Kimbembe,

I dare you. Kama kweli unazo kila nyeti kuhusu mambo ya DrWHO ambayo yanatuathiri basi zibwage tuzisome; kinyume cha hivyo mimi nitaona unamtishatisha tu ili anyamaze. Mimi siafiki hayo kwani hatuko hapa kusikiliza watu wana siri zipi bila ya siri hizo kutajwa - kusikiliza hati hati wakati kashifa hazitolewi na hivyo ninaweza hata kudiriki kusema kuwa hazipo na kama zipo hakuna la kuficha, zitowe wazi uwache kufanya wasomaji wahisihisi. I repeat, I dare you. Kama kweli unavyo vyombo vya kutufanya tutafakari basi vibwage hadharani, au kama huna basi usimtishetishe huyu bwana.

Kimbembe said:
Ndugu yangu wewe DrWHO naona ulionywa hukuelewa .Tuna habari kwamba wewe ni mmojawapo wa wana mtandao na magazeti yako hapo UK ndiyo kazi kubwa ya kuulamba miguu mtandao.Tulishuhudia magazet ya TZUK wakat EL alikuwa hapo London sasa leo hukujua haya ama ulikuwa unataka kujua kama sisi walalahoi how much do we know about sins ?Basi tunajua mengi kama ulikuwa una joke wewe na hao UWT na mtandao mzima jueni tuna kila nyeti na tunazidi kukodoa macho .
 
jamani naomba niweke mambo bayana humu

1-mimi sihusiani kwa lolote na haoTZUK.NET ilakama mbongo ndani ya London tumeona promotion ya Kuitangaza na haswa alipokuja bwana mbowe wa NCCR-MAGEUZI ndipo tulipoijua hii website ambayo iko kwa ajili ya wabongo waliopo hapa UK ndio na kikubwa zaidi ninachoipendea ni kusoma habari za Bongo pamoja na KUTAZAMA ALBAMU LA MAPICHA ILIOPO MLE

2-Nadhani unassume kuwa nahusiana na TZ baada ya kuposti habari ya huyo investor amabaye ana ugomvi na hao Akina mengi na akaishia kuipakazia serikali kwenye HOUSE OF LORDS na mimi ile habari niliitoa kwenye www.tzuk.net sasa kwa kujua kuwa humu ndani watu hawazungumzi tuu bila kuwa na evidence of course ilibidi nitoe SOURCE nilikoipatia hiyo nabari ndio maana nikatoa LINK ya habari

3- Kuhusu hii TOPIKI nilianzisha kwa kusudi ili kujua kama kuna ALTERNATIVE view amabo haitakuwa na USHABIKI in other words still naamini kuwa humu ndani watu wan discuss issues kwa kina na hivyo nilitegemea kuwa kutakuwa na info nilizoziuliza kwenye post yangu kabla ya hii
 
DrWho, samahani mzee,

(1). Nina swali kwako mzee, ni ushabiki upi unaouzungumzia?

(2). Halafu mbona unlazimisha watu watoe majibu unayotaka wewe tu?

(3). Halafu hili neno la hii forum na inavyodeal na issues mbona inaonekana kuwa ni tatizo kwako ila unajaribu kuzunguka? Kama hujibiwi unavyotaka kwa nini usiende kwingine kwenye forum inayoweza kukusaidia, badala ya kukaa unawa-provoke watu humu bureee?,

vipi una hidden agenda bro nini?
 
DrWHO
Surrender na kata issue .Habari yako alisema Mzee Es ilikaa kimazabe sana .Habari ndani na kichw acha habari tofautii .Ukaanza kurusha maneno hapa sasa sikiliza bwana tulizana ama la sivyo hapa pa zito hakuna majungu .Nimekuchokoza kidogo umeeleza lakini umeacha mengi sana .Sitaendelea ila moja tu kata issue ama kama hupati majibu kwa jinsi ulivyo nayo kaa usome .Issue yako ukiona watu hawaigusi ujue si nzito kwao ila kwako .Kufungiwa misaada ni issue kubwa mzee si nyepesi na habari za Manji na Mengi wote ni wezi tu sema mmoja ana mtandao na mwingine yuko kwa serikali iliyopita ndiyo maana unaona mauzauza .
 
Wote ni mtandao, I mean Manji/Mengi, ndio maana tukaisikia hiyo kesi sisi wananchi wa kawaida,

ama sivyo tusingeisikia kama vile ya Mhindi mwenye Drive In Cinema, je ulisikia yaliyomkuta?
 
Mzee Es
Mimi sijawahi kumiskia huyo mhindi wa drive in Cinema sasa naomba nipe mchapo wake hapa hapa ili nifynguke macho na akili
 
Mzee Muggy,

Heshima yako mzee, Muhindi aliombwa na balozi wa US mzee Stith achukue Dola laki tano na awaachie US wachukue eneo hilo ili wajenge ubalozi pale ulipo sasa,

Muhindi akagoma kabisaaa, basi mzee balozi akingia Ikulu kwa Mzee BM, Mzee BM akamuita Muhindi na kumkubusha kuwa ile ni ardhi ya serikali kisheria, hivyo anapewa wiki tatu, kuiachia bila ubishi wala malipo (kesi iko mahakamani mpaka leo), na afanye haraka sana,

Muhindi aliondoka in one week na kwenda mahakamani kumshitaki rais, kuona hivyo balozi wa US, aliamua kwa utu wake kumpa Mzee Muhindi, dola laki mbili kumfuta machozi.

Yule balozi baada ya ku-retire sasa yuko Boston, ambako sasa hivi Mzee Sumaye anasoma huko, na ni wikiii hiii nzima Mzee Mkapa naye yuko huko, Je wanafanya nini huko? Je is it a coincident kwamba wote siku hizi hawaishi huko Boston kwa huyo balozi wa zamani bongo ambaye alikuwa mshikaji wao sana?
 
Mzee Es,ningeomba nikusaidie kwa machache sana,huyo muhindi kwa jina anaitwa C.C Patel,na ni marehemu sasa.Makazi yake yalikuwa ni Nairobi,yeye ndio pia likuwa na Empire Cinema(kwa wale old skul wataijua).Alikuwa ni mfanyabiashara za Insurance maarufu tu huko Kenya,ingawa yeye ni Mtanzania.Miaka kabla ya lile eneo la Drive-in kupewa ubalozi wa Marekani,yeye alikuwa ametaka kujenga shopping mall pale kama Sarit Centre ya Nairobi.Serikali ikamwambia kuwa alipewa lile eneo specifically for the use of a drive-in cinema,na kama anataka kujenga shopping mall basi aombe kiwanja kwingine,au anunue kiwanja sehemu nyingine.Akaona isiwe taabu ni bora auze,na alianza kuongea na Ubalozi wa Marekani kwa kupitia dalali mmoja maarufu wa nyumba,bei nasikia alilikomaa kwenye 3million dollars,na wamarekani walitaka kumpa 1.5m...baadae wakatonywa kuwa huyo mdosi kiwanja sio chake ni mali ya serikali,na raisi anaweza kunyang'anya kiwanja chochote kwa sababu yeye ndio custodian wa viwanja.Stith,kama tulivyoelezwa na Mzee Es ni mshkaji wa prez at the time..raisi akatumia powers zake and the rest is history
 
Written by KILASA MTAMBALIKE

A former prime minister, Mr Joseph Warioba, and three other parties have filed a suit in which they are demanding 900m/- in general damages from the Executive Chairman of IPP, Mr Reginald Mengi and four others.


The case, filed at the High Court by Adili Advocates, stems from an article published and printed in ''This Day'' and its sister paper ''Kulikoni'' which the plaintiffs deem defamatory.

Other plaintiffs are Mwananchi Gold Company Limited, Yusuph Mushi and Vulfrida Mahalu. The other four defendants are Mbaraka Islam; the Editor of ''This Day'', the Editor of ''Kulikoni'' and Media Solutions Limited, publishers of the two tabloids.

According to the documents filed at the High Court, Mr Mengi and the other defendants are accused of defamation by publishing reports which alleged that the plaintiffs and other parties are executing a scam venture to swindle taxpayers of their money.

In the suit, the plaintiffs are also refuting the allegations that a mysterious company, CCM Trust Company Ltd, was incorporated by Mr Warioba and Mr Mushi without the ruling party's authorisation.

They have further termed as false a report published by the two papers that Mwananchi Gold Company has through its officers been flouting corporations' procedural requirements to the extent of its annual returns being rejected by the Business Registration and Licensing Authority (BRELA).

The suit, filed last month, further contests as false information published by the two newspapers that Members of Parliament want Mwananchi Gold Company to be grilled for its perceived misdeeds-and that the company is characterised by acrimony and unrest in addition to being cash strapped.

The complainants are seeking damages following a story published by ''This Day'' on April 24 questioning the involvement of the Central Bank in a private gold refinery (Mwananchi Gold Company) which ''Kulikoni'' subsequently reported in Kiswahili.

According to the suit's details, both ''This Day'' and ''Kulikoni'' continued reporting about the gold refinery located at Vingunguti, further questioning the sources of its finances and its beneficiaries.
 
For the last few months tumekuwa tukiona magazeti ya bwana Mengi yakichukua a dramatic twist katika story zake:

1. Amekuwa akimuandama sana Yusuph Manji kwa kurudia stori hiyo hiyo kupitia gazeti la THIS DAY akidai ni crook business man ambae ana shaddy deals na mamlaka kadhaa.

2. Amekuwa akiiandama sana taasisi ya NSSF kwa kuwa na the same story kila siku tangu gazeti lilipoanza akizungumzia kitu kimoja tu cha ubungo plaza akidai limenunuliwa na NSSF kimakosa.

3. Ameiandama sana hii kampuni ya madini inayodaiwa kuwa na link na ccm

Sasa kumekuwepo na malalamiko mengi kuwa amekuwa akitumia vyombo vyake vya habari kujijengea himaya ya kuogofya watendaji wa serikali huku wengine wakidai ana misuse his media outlets to serve his personal benefits.

Mimi binafsi nikiangalia naona alianza vizuri na vyombo vyake ila siku za karibuni kuna changes nyingi katika operations zake manake sawa mfanyabiashara haanzishi mavyombo mengi kama yale bila kuwa na personal benefits lakini anakwenda to the extreme kwa sasa.

Hii ni kesi ya tatu kuisikia ambayo Bwana Mengi ameshitakiwa manake ya kwanza ni ile ya YUSUPH MANJI anaedai bilioni moja na pesa nyingine kadhaa, ya pili ni ile ya mhariri wa daily news mkumbwa Ally ambae nae ameshitaki kwa kudai kukashifiwa na sasa hii kwa hiyo unaona kama wote wakifanikiwa mengi kwisha!

Wakati umefika sasa vyombo vya habari indeed owners wawe restricted to some sort of commitment kucover vitu vyenye national interests zaidi kuliko kuserve personal interest za owner.
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom