Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

na Hii http://thisday.co.tz/News/698.html

Staff applaud new board changes at troubled NSSF - Now call for swift management audit

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

WORKERS at the troubled National Social Security Fund (NSSF) have welcomed new changes in the Board of Trustees of the pensions fund.

Employees of the pensions fund said they were happy with the changes and now hoped a new management team could soon be appointed.

’’We had no confidence with the outgoing Board of Trustees because it was used as a rubber stamp by management to pass questionable decisions,’’ said one NSSF employee on condition of anonymity.

She added: ’’Everybody at NSSF is happy with the news of the changes of the Board of Trustees ... we now pray that President Jakaya Kikwete will also bring in a new management team to clean up the organization.’’

The NSSF workers accuse the management of cronyism and called for a swift financial and management audit of the pensions fund.

’’Some of the people in top management positions were appointed out of favouritism, not merit ? there are positions that require the candidates to have specific qualifications such as a CPA or master’s degree, but were given to unqualified people linked to top management or Board of Directors,’’ said another employee at the NSSF headquarters in Dar es Salaam.

Other workers complained that while members of the management team were working under three-year contracts, they were given large long-term loans of up to 15 years by the pensions fund.

’’How were these long-term loans given to members of the management team working under three-year contracts?’’ Queried one junior staff.

President Jakaya Kikwete this week named the Accountant-General, Ms Blandina Nyoni, the new chairperson of the NSSF Board of Trustees with effect from September 1, this year. The expanded board, which includes more representatives of workers, will serve for the next three years.

Ms Nyoni replaces the Tabora Urban Member of Parliament, Mr Siraju Kaboyonga Juma, as chairperson of the board.

The Accountant-General is seen as a person who could instill new financial discipline at the pensions fund, which has been dogged by an array of allegations, primarily suspect investment deals involving workers’ savings.

According to a government statement, the Minister for Labour, Employment and Youth Development, Prof. Jumanne Maghembe, has named 11 members of the NSSF Board of Trustees.

The board members, most of them new, will serve under Ms Nyoni.

They include Mr Nicholaus Mbwanji from the Association of Tanzania Employers (ATE), Mr Ally Mwinyimvua from the Bank of Tanzania and Mr Nicholas Kingazi from CRDB Bank who jointly represent employers.

The Secretary-General of the Trade Union Confederation of Tanzania (TUCTA), Mr Nestory Ngula, Mr Boniface Nkakatisi from Tanzania Union of Industrial and Commercial Workers (TUICO) and Adelgunda Mgaya of the Researchers, Academicians and Allied Workers Union in Tanzania (RAAWU), were also named to the board, representing the working class.

Other members of the board are Dr Mussa Assad from the University of Dar es Salaam’s Faculty of Commerce and Management, Ekingo Ekingo from the Ministry of Natural Resources and Tourism, Member of Parliament Ezekiel Maige and the Permanent Secretary in the Ministry of Labour, Employment and Youth Development.

The NSSF management led by Director-General Dr Ramadhani Dau has been increasingly under fire over controversial deals and facing pressure to invest pensioners’ money more transparently.

There have been concerns that the management of the fund was not accountable enough to members and apparently putting workers’ savings into risky ventures.

The NSSF, the country’s single largest pensions fund, has been criticized for putting too much of the workers’ money in real estate and office accommodation ? and the current management and outgoing Board of Trustees have both been under fire for lending billions of shillings to well-connected businessmen.

The NSSF management and Board of Directors have had a running love affair with businessman Yusuf Manji, through his company, Quality Group Limited. Manji’s company was given a loan of 9bn/- by the pensions fund -- which later on went to buy overpriced godowns from the same businessman for a staggering 47.5bn/-.

The government’s anti-corruption watchdog, the Prevention of Corruption Bureau (PCB) has been investigating the suspect deal between Quality Group Limited and NSSF.
 
Wasalaaam,mimi ni mgeni,na natoa heshima zangu kwa wazee wa hili baraza la kimtandao!
Hii issue ya Quality Group ni maovu machache tu tuliyoweza kuyasoma,kuna mengine mengi tu huwa yanazimwa kabla hayajatolewa.Hii nchi imekuwa ikiendeshwa hivi kwa muda mrefu sana.Kuwa kiongozi sasa imekuwa ni mradi wa kibiashara na sio majukumu tena.Haya ya Quality Group ni makubwa kuliko yanavyoandikwa kwenye magazeti,CCM wenyewe wanajua.Chama hakina mradi wowote wa maana wa kukiingizia pesa,SUKITA ni kama tunavyojua ilishapigwa na stroke miaka mingi saaana...sasa hivi wana Kampuni inaitwa Tanzania Green Company,iko pale Raha Towers,na hata hio haina mwelekeo wowote wa maana,ina miradi miingi lakini mambo ni yaleyale.Sasa ikifika wakati wa uchaguzi ni lazima CCM wapate pesa,na hizo pesa ndio huwa zinatoka kwa watu kama Manji n.k.kwa kutumia miradi au deals. JK kama tunavyomjua sio mtu wa rushwa hata kidogo,lakini kuna mijitu mule CCM inamwangusha sana,na yeye anajua lakini it takes time to sort out the mess.Chama kilichoanzishwa as chama cha maskini sasa ni cha matajiri na waotafuta utajiri,no room for maskini! kama ilivyo mifuko ya NSSF,PPF,PSPF...wanaonufaika ni matajiri tu sasa,maskini wanaochangia hawaoni kitu. Thats where this country is headed.Era ya ukombozi imeisha,sasa ni era ya udokozi! Hii mambo watu wanasema eti hii ni nchi tulivu is just a myth! Kuna utulivu gani wakati wananchi wanaona nchi yao inavyofujwa na wao ndio wanaochangia hizo pesa?? JK, kuwa mkombozi wa wanyonge,kama wanavyokuona! Tunajua ni kazi ngumu,lakini these people need renewed hope!
 
Zanaki kwanza karibu
Halafu nakuomba useme kwa sauti kubwa kwamba unan Uhakika JK si mla rushwa ? Una uhakika huo kwamba anaangushwa na wenzake lakini yeye ni safi ? Baaada ya hapo ujiandae kujibu maswali zaidi . Hapa tunakata issue na si kampeni .Nijibu kwanza
 
sasa sijajibiwa bali nimepewa orodha ya maovu yaliyoandikwa na GAZETI hilo la this day

Ndio maana nikaomba nipewe FACTS na sio ushabiki wa magazeti ambao umejaa one side of the story


maana nimesikia wamepelekana mahakamani lakini ksiha JIIII


na hao jamaa wa kuzuia Rushwa PCB wamefikia wapi?
 
Murangira,kwanza nashukuru kwa ukaribisho wako...kwa kukujibu,ndio naweza kusema kwa sauti kubwa kuwa JK sio mla rushwa,hana tuhuma hata moja,wenye nayo au nazo waniumbue hapa.Tumesikia tuhuma nyingi za EL(kama mnavyomwita humu) 2 former prez's,ambazo kwa kweli sio siri,ila naweza kusema hili,JK ni rahisi kumuhusisha na rushwa kutokana na watu waliomzunguka,watu kama Rostam Aziz> Hio ni opinion yangu mimi binafsi
 
Zanaki
Ndugu JK ni mla rushwa sana tu ila ana njia zake anatumia na ndiyo hadi sasa hawezi kumkamata mtuhumiwa wa rushwa hata Mahalu anapeta tu. Balozi zimeoza na zilisha oza akiwa waziri kule , IPTL hana maelezo. Ununuzi wa nyumba alikataa kumbe anayo , haya ni ya kuanzia tu , sasa anasomeshewa watotot na wazungu leo hii kwa nini si kabla hajawa Rais ? Kwani kwako rushwa ni kitu gani ?
 
  • Thanks
Reactions: T11
sasa jibu la ugomvi huo ni JK ni mla rushwa au siyo?

maana nilitegemea kupata perspective lakini naona hakuna sasa tofauti ya watu wa humu ndani na darhotboard,bcs,na forum zingine za wabongo ni nini? ushabiki ?
 
Mh Zanaki,
Karibu saana na heshima yako, hapa naona umetoa tuhuma nzito saana kwa Rotsam Aziz (RA), maana hapa hatutaki majungu ya kitoto, je unaweza kushusha vithibiti vyako juu ya ula rushwa wake huyu jamaa ambaye hata mwenyekti wa chama CCM na amiri jeshi mkuu na rais wa jamhuri ya muungano amemuamini na kumpa wadhifa mkubwa kwenye chama na kuingia moja kwa moja kwenye cc. Na wakati huo huo unadai mwenyekiti si mla rushwa? au ni zile zile ngojera zako kama za TREKTA

Tunasubiri uweke uwazi bro.
 
Ndugu DrWHO naona wewe unamtafuta nyoka miguu . Nimeona majibu yako kadhaa nimegundua kwamba wewe umekuja hapa si kuunganika nasi basi kutafuta kwa nini forum hii ni mahili . Labda huwezi kupata majibu kwa kadiri unavyotaka kusikia lakini issues hapa zinakatwa . Ukitulia utaelewa lakini kwa kasi yako hii ya kuponda watu watakuponda muda si murefu hapa kuna vichwa bwana .TZUK ina ukaribu sana na wana mtandao hili tunalijua sasa ukianza watu tutaanza kukuelezea ukishindwa issue hapa rudi kwenye gazeti lako la TZUK uache kutuvuruga na kutudharau na kutulinganisha na darhotwire ??? Wacha mmchezo na sisi .
 
Mh Yombayomba,mimi sijatoa shutuma nzito zozote na kwa kweli sijui majungu ya kitoto ni yapi,na kwa kuwa hii mara yangu ya 3 kuandika humu sijui hio kauli yako ya mwisho kabisa sijui ilikuwa na maana gani...that bit aside,RA ni mtu ambaye zamani alikuwa anatumiwa na Momammed Enterprises kama connection na utawala(utawala uliopita).Baadae sijui walikorofishana na hao ME au vipi,sina uhakika sana.Huyu ndiye mmoja kati ya watu waliompa Msekwa uenyekiti wa Voda,wakitegemea na kuamini Msekwa yuko kwenye kambi yao wakati wa mchakato wa kutafuta mgombea urais wa CCM.Walivyokuja kugundua kuwa Msekwa yuko kwa Sumaye pia,adhabu yake ilikuwa ni kukosa kila kitu,Voda na uspika,hio ni kazi ya RA! Kazi ya National Identity Cards tusikia pia kapewa yeye kinyemela...sasa sijui mwenzangu unamwonaje,lakini kwangu mimi huo mstari haujanyooka!
 
Zanaki
Sasa kama hizi ndiyo tabia za RA na bado ndiye CCM mkuu kipesa , na ndiye engine ya JK kuendesha Nchi unawezaje kusema JK is not corrupt man ??
 
  • Thanks
Reactions: T11
DrWHO said:
sasa jibu la ugomvi huo ni JK ni mla rushwa au siyo?

maana nilitegemea kupata perspective lakini naona hakuna sasa tofauti ya watu wa humu ndani na darhotboard,bcs,na forum zingine za wabongo ni nini? ushabiki ?

Acha kashfa za kitoto.Kwanini utegemee perspectives kutoka kwa wengine na sio watu wategemee perspectives kutoka kwako?Acha uzembe wa kufikiri.Swali lako kuhusu ThisDay na Quality Group linathibitisha kuwa uwezo wako wa uchambuzi ni finyu na unategemea mawazo ya watu kuelewa mambo.Badala ya kutegemea majibu from forum members kwanini usijiulize mwenyewe about the so-called "ugomvi" kati ya ThisDay/Mengi na Quality Group/Manji?Na kuthibitisha kuwa akili yako haijatulia,unaanza kuleta kashfa kwamba "watu wa humu hawana tofauti na darhot...".Is it watu wa humu au wewe ndio huna tofauti na huko ulikotoka?Hapa,there's no room for shallow-minded people like you.
 
Ujumbe mzito huu kwa DrWHO . Nilijua tu kwamba atajibiwa hapa nadhani amesha elewa kwamba hapa si Darhotwire . Mlalahoi sina la kuongezea tukate issue
 
Mzee Admin,

Duh, jahazi limekwenda mrama hapa. Mada zimechangayika hata haijulikani la muhimu la kuongelea ni lipi kati ya topic ya mada na ulwaji rushwa kwa kuwahusisha watu binafsi pamoja ya kuwa ni viongozi wanaositahili kuhusishwa iwapo tu kuna ushahidi usiyoyumba.

Ombi langu kwako uwe unatusaidia kuziweka mada katika "focus" ili lijadiliwe jambo moja moja badala ya kuchanganywa mambo na kutuletea hisia za kutaka kushambulia watu fulani fulani tu.

Labda hii mada ya DrWho haikueleweka, hivyo ni vizuri knapokuwa na utata kama huu mada ikakatishwa mara moja na kufungwa. Kusema kweli hata mimi sikuielewa nia yake ilikuwa ni nini kuleta jambo ambalo liko wazi na ninahisi linashughulikiwa.

Swali jingine lililojitokeza ni uwezekano wa ulwaji rushwa katika uongozi wa juu wa sasa pamoja ya tegemeo letu kuwa rushwa imepata dawa yake na inatokomezwa. Sasa, kama tegemeo letu hili sivyo hali ilivyo ni vyema ikaanzishwa mada maalumu ya kuyajadili haya ili wazee wa kazi akina Mzee Es wamwage hizo data. Ni vyema wakajadiliwa na kuumbuliwa walaji rushwa wote wadogo na wakubwa ambao data za ulajirushwa wao zipo na hazina hati hati, na wala zisiwe hisia hisia zisizokuwa na ukweli.

Heshima zenu vigogo wa uchambuzi.
 
Ushauri wako mzuri sana.

Lakini sasa ni sisi watu wenyewe kutotoka nje ya mada. Tunandaa rules za forums. Zitakapomalizika ndipo tutaweza ku-take actions.

Asante kwa ushauri
 
Hili la kuwa na rules za forum ni SUPER, without rules in place, wanaoadabishwa na kuadhibiwa wanaweza wakadai wameonewa kwani hawajavunja sheria yoyote.
 
Mzee Admin,

Kweli asemavyo Kulikoni, hili la rules ni muhimu sana, na pia rules hizo zifafanuwe kinaga ubaga matusi ni yapi ili yaruhusiwe maneno ya kistaarabu ya kutumiwa mizizi ya fitina ikatwe. Pia rules ziwe wazi kuhusu yupi na wangapi wanakubalika kuomba member afungiwe. Mimi bado ninamlilia Busara kwani sikuona matusi aliyoambiwa kayatowa wala sikuona ushuhuda kuwa alitumia majina mabalimbali kwa uthibitisho wa IP bali tu alisimamishwa kwa ushinikizi wa member wawili ambao inaonekana hawakupenda tu awepo hapa. Mbaya zaidi sisi wengine hatupewi nafasi ya kuwatetea member kama hawa ambao tunaona kama vile wameonewa na wangeweza kuchachamua malumbano.

Sheria zilizowazi zitatusaidia kujadili mambo kwa heshima na adabu na utulivu wa hali ya juu. Kuwe pia na jinsi ya kuwashughulikia wale wenye mchezo wa kupost matusi na kuyaondowa upesi upesi hali wamekwisha tenda dhambi hiyo.

Mie nnazingojea hizo rules kwa hamu kubwa.

Ahsate sana. Kazi njema.
 
Mh Zanaki,

Nimekupata bro, usinilewe vibaya naheshimu mchango wako, lakini hapa bado nina utata je RA alikuwa nani au ni nani Vodacom? hii si tuliambiwa na ya wasauzi? au kanunua share tayari? Kuhusu Msekwa nijuavyo mimi alipoteza credability mwenyewe kwa kukubali kuwa chairman wa bodi wakati wanachi wengi na wasomo wengi walipinga, na yeye kwa kutumia udhaifu wa BWM na katiba yetu akang'ang'ania kukaa pale, kingine unakumbuka akiwa spika alishindwa kulikumbusha bunge letu tukufu lishukue hatua kali kwa kamati ya maadili baada ya wajumbe wake akina Mh Ndasa, na mwanachama mwenzenu wa zamani kule Tanzanet aliyekuwa mbunge wa kigoma mjini Mh Kaburu kufoji document ili wamuokoe kitine kwenye kashfa ya pesa za matibabu ya mkewe. Unajua kkosa kwa raia wa kawaida kufoji documment ni criminal offence, sasa kwa mbunge je? hakuna katiba inaposema wako juu ya sheria hili lilikuwa kosa na udghaifu mno ambao wabunge wengi waliaapa Msekwa harudi tena.
 
Zamani,nilikuwa nadhani ubaguzi ni kitu kibaya sana.Baadye nikaelimishwa kuwa kuna ubaguzi wenye manufaa.Na huo ndio naomba utumike hapa.Let's be realistic,forum hii ni babkubwa zaidi ya zote.Pengine haijulikani sana lakini la uhimu sio kujulikana kwa sababu,kwanza,kizuri chajiuza chenyewe,na pili,ijulikane sana ili iweje.Uzuri wa forum hii ni mkusanyiko wa vichwa vyenye kujua uchambuzi na vyenye uchungu wa dhati wa nchi yao.Kwa matinki hiyo,ni dhahiri kuwa tukiwaacha bila kuwadhibiti hao wanaotufanya tukutanike hapa (wala rushwa,matapeli,wanasiasa uchwara,majambazi,wababaishaji pamoja na wapambe wao) basi tutakuwa tunajaribu kushindana na kanuni za asili kwamba maji na mafuta kamwe hayachanganyiki.Nikishauri kuwabagua simaanishi kuwa watu wasiojulikana mttizamo wao wasiruhusiwe kuposti mada.Hapana,wanaopaswa kudhibitiwa kwa nguvu zote ni hao wanaotumwa kuharibu forum hii.Nasema wanatumwa kwa vile tunawajua wanaokula nchi yetu ni wavivu wa kutembelea sehemu kama hizi,wanaacha kazi hiyo kwa vibaraka na wapambe wao.

Kwa hiyo Bwana Administrator,mimi naomba kutoa hoja:ubaguzi wenye manufaa unahitajika kwenye forum hii,na kwa namna flani hilo limewezekana.Uhuru ni mzuri lakini uhuru bila sheria ni vurugu.Na sheria ni neno lenye tafsiri tofauti.Kwangu,sheria ni muhimu katika kudhibiti vurugu.Kwa mpambe wa mla rushwa anayetaka kuharibu forum hii,sheria zitazomdhibiti zitaonekana kwake kama unyanyasaji au uonevu.But who cares?Acha walalamike lakini waungwana tunakutana hapa kujaldili hatma ya nchi yetu.Trust me,jamboforums ni for the time being THE best among TZ forums,na naamini kuwa ina nafasi nzuri ya kupanuka hadi kwenye forms nyingine kama majarida au hata redio (sifa za forums zitazagaa,wafadhili watajitokeza,hasa wale wenye uchungu na nchi yao na wale wanaopigania haki duniani,na mwishowe tunaweza kujikuta na Jambo as a magazine au Jambo Radio...Let's keep it up!!!
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom