Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,012
- 25,353
Earthmover ikurudie mkuu. . . . . .mie huyu kuhusu hiyo maneno wala sijiulizi mara mbili
....pamoja Kaka
Earthmover ikurudie mkuu. . . . . .mie huyu kuhusu hiyo maneno wala sijiulizi mara mbili
Umenifurahisha sana. . . . . .wanamuita tope de string. . . mukulu. . . .Binadamu. . Sou souvereir. . .Hakika Hujakosea Mkuu Ktk Live Show Congo Nzima MFALME Wao Ni Jean Bedele Tshituka Mpiana Na Kundi Lake Zima La Wenge Musica Bon Chic Bon Genre ( BCBG ) Ikimaanisha Wazuri Na Watanashati. Huyu Jamaa JB Mpiana Na Kundi Lake Zima Nalipenda Kuliko Kupita Maelezo Na Nimeweza Pia Kujifunza Muziki, Kujua Mapigo, Mipangilio Na Mafaniko Ya Mziki Kupitia Kulifuatilia Hilo Kundi au Hii Bendi Ya Wenge Musica BCBG Chini Yake Jb Mpiana a.k.a PAPA CHERIE au De La Patria.
Woote napenda nyimbo zao, kwa ujumla Congo kinshasa imebarikiwa. Nyimbo wapo soka wapo utanashati wapo utajiri wa madini noma tupu. Kanda ya nini hahaaa. Papaa mopao kila album inatisha. Naukumbuka wimbo wake wa miko noma tupu
Wakina suzuki walikimbia now hawana jipya sasa...muziki una mengi sana
Ni nyimbo au album na ya nani kati yao. . . . .??!!!
Lakini pia hupati jibu kwa album au nyimbo moja
Hebu funguka kuhusu 100kilos
Defao Matumona. . . , .wapi Salanoki. . .Na kati ya Zenith nimemkumbuk jeneral defao, alikuw na mangoma hatariiii, Compinash unalikumbuk mkuu ?
huwa sipendi kuandika maneno mengi linapofika swala la ferre v/s fally.vitendo ni zaidi ya maneno.
tazama hiyo video hapo chini,ila kama unatumia kisimu cha mchina chenye uwezo mdogo wa ku preview youtube video,huwezi nielewa.
....Mkuu umenikumbusha Bileku Mpasi
Dah naona wazee mnatiririka tu!!
Mimi mtoto wa90 nimetoka kapa!!
Pembeni ya Papy Tex. . . . . .Music clarification. . . .Looofombo!!
Asante kaka naona unafukua vitu vya zamaniDefao Matumona. . . , .wapi Salanoki. . .
.....Hatariiii denjaa !!!
Hiyo album niliipenda sana. . . . .Pigwa sana kinanda humo
Asante kaka naona unafukua vitu vya zamani
Tobanda ka bolingo lokola bana mapasa
Bolingo lokola.....
.........
.........
kuna mtu mzima mwingine Madilu naye hakuwa mchezo
......Hii Live inaitwa weka Mbali na watoto !!!
![]()
....na lile solo balaa !!!
1999 na asilimia 80 nyimbo au vibao vya ile Wenge ya zaman kusafiria nyota za wengine.
Baada ya hapo JB alikuwa anaisikia Zenith kwenye mbao za matangazo.
Wakati Werrason kapiga double zenith 2002, 2008, 2010 na isingekuwa ujinga huu wa combatants, 2014 wangepiga tena.