Member wa Bolingo, unamjua huyu?

Member wa Bolingo, unamjua huyu?

Mamaa nabeela. . . . .sheri na beela. . . . .Bileku Mpasi eeeeeenh. . . . . aaaai mamaaaa. . . . . yaayaaa. . . . .Hiyo ndio atalaku akipiga Bileku

Hiyo atalaku ilibuniwa 'spontaneously' hospitalini.

Nadhani papy tex ndo aliekua mgonjwa analalamika 'mama nabela, sheri nabela...' na maneno mengine kuonesha anaumwa kichwa, tumbo, n.k.

Sina hakika sana na hiyo stori
 
.... Hii baada ya album ya Internet JB Mpiana mara nyingine tena Zenith mkuu kuwa na kumbukumbu !!!

0.jpg

Bingwa wa 'live' kwa Congo ni Werrason hakuna mwingine anaemfikia hata kwa nusu
 
Hapa naona ni kunzia Koffi (generation ya 3) kupitia Wenge Generation ya 4 hadi generation ya Tano (Ferre na Fally). Vieux Simaro Lutumba Generation ya pili (Orchestre Micra 1958, Congo Jazz (1960),TP OK Jazz (1961-1994), Bana OK (1994-to date) anatimiza umri wa miaka 77 na miaka 57 kama mwana muziki next week 19 March 2015. Mtunzi wa aina yake (Maya, Ebale ya Zaire, Mabele, etc), Rhythm Guitarist, Bandleader, si mwimbaji lakini waimbaji mahiri huona ni heshima kuimba nyimbo zake (e.g. Koffi anaimba Simaro Lutumba, Ferre Golla, Mbilia Bel, Reddy Hamis, Nyboma, Sam Mangwana ukiacha wale waimbaji babu kubwa wa OK Jazz mfano tu ni Youlou Mabiala, Josky Kiambukuta, Djo Mpoy, Madilu, Carlito Lassa, Malage de Lugedo, Vicky Lungomba (baba Awilo) etc). Kwa miaka 25 ya kifo cha Luambo Franco Simaro anaongoza Rhumba Odemba na legacy ya Luambo. Happy Birth Day Papa Lutumba-Le Poet.
 
...Moderator huu uzi inabidi ugandishwe hewani watu wamechafukwa !!!
 
Kha! Hivi waliimba hivyo au umeibia mkuu?

Mfn...
Yondo sista mwana maamaaa, ee maamaaa.....

Reality? Mbuta mutu mwana maamaaa, ee maamaaa.....

.....ha ha ha ha Mkuu JF raha sana Leo Wakongwe wa Music wamechafukwa !!!!
 
Hapa naona ni kunzia Koffi (generation ya 3) kupitia Wenge Generation ya 4 hadi generation ya Tano (Ferre na Fally). Vieux Simaro Lutumba Generation ya pili (Orchestre Micra 1958, Congo Jazz (1960),TP OK Jazz (1961-1994), Bana OK (1994-to date) anatimiza umri wa miaka 77 na miaka 57 kama mwana muziki next week 19 March 2015. Mtunzi wa aina yake (Maya, Ebale ya Zaire, Mabele, etc), Rhythm Guitarist, Bandleader, si mwimbaji lakini waimbaji mahiri huona ni heshima kuimba nyimbo zake (e.g. Koffi anaimba Simaro Lutumba, Ferre Golla, Mbilia Bel, Reddy Hamis, Nyboma, Sam Mangwana ukiacha wale waimbaji babu kubwa wa OK Jazz mfano tu ni Youlou Mabiala, Josky Kiambukuta, Djo Mpoy, Madilu, Carlito Lassa, Malage de Lugedo, Vicky Lungomba (baba Awilo) etc). Kwa miaka 25 ya kifo cha Luambo Franco Simaro anaongoza Rhumba Odemba na legacy ya Luambo. Happy Birth Day Papa Lutumba-Le Poet.

Uko deep.
Muziki wa kongo unajitosheleza kila upande. Na una historia yake vema kabisa.

Mkuu kama uko vema, itakua poa ukidodndosha vipande zaid kuhusu kizazi cha pili na kwanza. Hivi Madillu na Kabasele Yampanya Pepe kalle (RIP) wapo cha ngapi?

Pia muziki wa kongo una aina kadhaa. Mfano rhumba, soukous, etc. Kwa anaejua zaidi atufafanulie tunufaike sote.
 
Btw, Masiya ni kuwa unamuenzi Simaro kwa hilo jina?

Hiyo Mabele ni ile kama ya Pepe 'Mabele Riche'?
 
Last edited by a moderator:
....

......Mkuu vipaji vya watangazaji na waandaji wa vipindi vimepotea ....wamebaki na... yo yo yo eeehunajuwa hovyoo!!!

Nimekumbuka enzi za Afrika bambataa na kule RFA kwa Zuberi Msabaha.

Perhaps coincidentally, kutosikika kwa 'bolingo' kunaendana na kukua kwa bongo fleva
 
....Inaweza kuwa kweli ila miziki ya bongo -- Kizazi kipya lifespan yake ni ndogo sana !!!!
 
Back
Top Bottom