Member wa Bolingo, unamjua huyu?

Member wa Bolingo, unamjua huyu?

Unapo mtaja Simaro Lutumba Masiya,una zungumzia mtu adimu sana duniani ktk utunzi na upigaji wa gitaa, pia yeye ndio alie wainua hawa watu : Carlyto Lassa ,Malage de Lugendom, Samangwana na Madilu hawa ndio pekee Simaro aliwaamini wanaweza kuimba Mashairi yake, unaweza Sikiliza vitu kama Maya aliimba Carlyto, Testamente ya Bowule aliimba Malage na Franco, Verre case kopa epasuki, Eau Benite n.k aliimba Madilu, kuna Mabele, Ebale ya Zaire, Faute ya commercant aliimba Samangwana a.k.a Le Grand Devoyega..


Kwenye list yako usimsahau Djo Mpoyi (RIP) alieimba Mbongo, Kadima, Mandola and "Franco in Memorium" zote composed by Simaro. Huyu Papa Lutumba alimkubali sana na yeye binafsi ndie alimtambulisha kwa Franco. Mtafute you tube ndio ujue pedigree ya OK Jazz kwenye uimbaji ilikuwaje.
 
Last edited by a moderator:
Ferre na Fally KIN imegawanyika ni kama msondo na sikinde kwa huko home,,,,, majibu kila mtu ana yake labda kama kuna mtu hapa mbali na mimi alie fika KIN hasa matonge na hasa Gombe pale chez ntemba club,, bisengoooooooo isilaka te
 
Wadau nimeangalia tena Live a Bandal, Live a Kinkole na Biloko. . . . .Bado naona JB yuko tight sana kwa live kadansee, . . .
#Team Werra naombeni majina ya live shows za Makanda Ngiama nizitazame
 
Ferre na Fally KIN imegawanyika ni kama msondo na sikinde kwa huko home,,,,, majibu kila mtu ana yake labda kama kuna mtu hapa mbali na mimi alie fika KIN hasa matonge na hasa Gombe pale chez ntemba club,, bisengoooooooo isilaka te

Remerciements. . . . . .
 
Ferre na Fally KIN imegawanyika ni kama msondo na sikinde kwa huko home,,,,, majibu kila mtu ana yake labda kama kuna mtu hapa mbali na mimi alie fika KIN hasa matonge na hasa Gombe pale chez ntemba club,, bisengoooooooo isilaka te

.....Nayoza huko Mkuu !!!!
 
Back
Top Bottom