Member wa Bolingo, unamjua huyu?

Member wa Bolingo, unamjua huyu?

.....ha ha ha ha Mkuu JF raha sana Leo Wakongwe wa Music wamechafukwa !!!!

Muziki wa Kikongo una uraibu mkubwa sana.

Ngoja waje wakuu Kituko, MPUNGA, OLESAIDIMU, merengo90, akida japanees, GENTAMYCINE na wengineo watuelezee hayo majina wanaitana mfn. Papaa Fololo, PDG (PeDeGhee), Mopao, Mokonzi n.k. Naambiwa si kila mwanamuziki anaweza kupewa u-Mokonzi. Kwa sasa ni Koffi tu.

Wengi wamebaki kwenye u-fololo. Km sikosei ni stage ya kwanza kwenye hivyo 'vyeo'.

Kuperform zenith ikatapika unapanda cheo ile mbaya. Kwanza kupiga zenith tu ni ishu!

Hivi hapajawahi kujadiliwa muziki wa kongo humu? Hebu mtu atupie link. Tyta huwa ana rekodi nzuri sana. Msaada kwenye hili twafaadhal.....
 
Last edited by a moderator:
....Inaweza kuwa kweli ila miziki ya bongo -- Kizazi kipya lifespan yake ni ndogo sana !!!!

Ni kawaida kwakua kuna ushindani sana miaka hii. Ila miziki mizuri bado inaskilizwa ijapo haipigwi redioni kwa 7bu haivumi tena
 
Muziki wa Kikongo una uraibu mkubwa sana.

Ngoja waje wakuu Kituko, MPUNGA, OLESAIDIMU, merengo90, akida japanees, GENTAMYCINE na wengineo watuelezee hayo majina wanaitana mfn. Papaa Fololo, PDG (PeDeGhee), Mopao, Mokonzi n.k. Naambiwa si kila mwanamuziki anaweza kupewa u-Mokonzi. Kwa sasa ni Koffi tu.

Wengi wamebaki kwenye u-fololo. Km sikosei ni stage ya kwanza kwenye hivyo 'vyeo'.

Kuperform zenith ikatapika unapanda cheo ile mbaya. Kwanza kupiga zenith tu ni ishu!

Hivi hapajawahi kujadiliwa muziki wa kongo humu? Hebu mtu atupie link. Tyta huwa ana rekodi nzuri sana. Msaada kwenye hili twafaadhal.....

.....Heshima kwako Mkuu hapo kwenye red !!!!
 
......Hii Live inaitwa weka Mbali na watoto !!!

JB%20Mpiana%20Zenith%201999.JPG

UWIIIIIIIIIIIII!!!!!!!!! Le champiooo musica.acha mkuu hiyo ninomaa.huo ndo musica wa kweli!!!.
 
Btw, Masiya ni kuwa unamuenzi Simaro kwa hilo jina?

Hiyo Mabele ni ile kama ya Pepe 'Mabele Riche'?

Ni kweli Masiya inalink na Papa Lutumba na Mabele hii ni ya 1973 au 1974 inajulikana pia kwa jina la Ntotu na aliimba Sam Mangwana. Alipotunga hii ndiyo akapachikwa jina la Poet. Uimbaji wake ni style ya Lolaka ambayo toka mwanzo hadi mwisho anaimba mtu mmoja tu. Hivyo kwa muibaji inakuwa challenge kubwa. Mabele ya hapo juu ni ya Empire Bakuba. BTW Pepe Kalle ameimba Maya, Verbale Diarrhea (Tuba Tuba), na Trahison akiwa mwimbajj mualikwa katika collabo na Lutumba.
 
Hao wanamuziki wananikumbusha miaka ya nyuma sana. Nyimbo zao hazichuji kwa wapenzi wa bolingo.
 
Umenifurahisha sana. . . . . .wanamuita tope de string. . . mukulu. . . .Binadamu. . Sou souvereir. . .

Mkuu umeiona live show "primus ngwasuma"??!!

Hakuna Live Yoyote Ya Jb Mpiana Ambayo Sina Mkuu. Jb Mpiana Ni Mungu Wangu Wa Tatu Baada Ya Mwenyezi Mungu Mwenyewe Na Wazazi Wangu. Huyo Jamaa Na Hiyo Bendi Nawapenda Mpaka Hata Naweza Nikakufuru Mkuu.
 
Nako banga bilu tee! Nakobanga nzambe na ngai aleluyah........
Tala mingeli mingeee eeiiieee Tala mingel, mingeli, ya luleyo.lokutaa sasa na sonse
Aaaaaaah.tule monde yabisoo....!!!!!!!

Ah nimekumbuka mbaaali wakuu.
 
Grace a 'tout' Germaine... JB Mpiana, TH

My favourite nkiwa njiani. Ikfatwa na Feux de l'amour.
 
Huyo Ni Cindy Mke Wa Sasa Wa Mwanamuziki Maarufu Nchini DRC Kinshasa Charles Antoine Koffi Olomide a.k.a MOPAO MOKONZI, a.k.a Le Maximone, a.k.a Papa Rocky a.k.a Large Degaire. Koffi Olomide Ni Bingwa Wa Kuchepuka ( Kubandua Hovyo Hovyo ) Ila Tokea Amuoe Huyu Mdada Nidhamu Ya Ndoa Na Utulivu Imerudi Kwa 100%. Na Ili Kudhihirisha Kuwa Koffi Olomide Amekolea Kwa Cindy Wakati Tu Anamchumbia Alimzawadia Gari Mpya, Ya Kisasa Na Ya Kifahari Aina Ya Vogu. Na Sasa Huyu Cindy Ndiyo Kiongozi Wa Wanamuziki ( Chaunters Bendi Hiyo Ya Mumewe Ya Quarter Latin Akisaidiwa Na Muimbaji Mkongwe Wa Sauti Kali Ya Kwanza Ajulikanae Kwa Jina La Jipson Butukondole a.k.a Cardinale. Ila Cindy Ana Sauti Nzuri Na Tamu Sana Bila Kusahau Kuwa Ana Kipaji Cha Pekee Ktk Kuimba Na Cha Kustaajabisha Anaweza Hata Kughani ( Kurapu ) Kikongo Wanaita Atalaku au Animateur Kwa Kifaransa.

Njoo vile...nipo hapa naringita mayi...ni kweli kabisa.
Umetisha bana Congo...!
 
Muziki wa Kikongo una uraibu mkubwa sana.

Ngoja waje wakuu Kituko, MPUNGA, OLESAIDIMU, merengo90, akida japanees, GENTAMYCINE na wengineo watuelezee hayo majina wanaitana mfn. Papaa Fololo, PDG (PeDeGhee), Mopao, Mokonzi n.k. Naambiwa si kila mwanamuziki anaweza kupewa u-Mokonzi. Kwa sasa ni Koffi tu.

Wengi wamebaki kwenye u-fololo. Km sikosei ni stage ya kwanza kwenye hivyo 'vyeo'.

Kuperform zenith ikatapika unapanda cheo ile mbaya. Kwanza kupiga zenith tu ni ishu!

Hivi hapajawahi kujadiliwa muziki wa kongo humu? Hebu mtu atupie link. Tyta huwa ana rekodi nzuri sana. Msaada kwenye hili twafaadhal.....

Na Mpaka Leo Hii Hakuna Aliyemzidi JB Mpina Na Kundi Lake Kuvunja Rekodi Ya Hapo Ukumbini Zenith Kwani Siku Aliyopiga Show Hapo Kipindi Kile Wenge BCBG Ina Maafundi Watupu Kuanzia Alain Mpela Afande, Aimelia Byakodile Na Repa Machachari Tutu Caludji Jina Lake Halisi Ni Yombo Lumbu ( Mwanzilishi Wa Ukoo Wa Marepa Nchini Congo Ujulikanao Kama Makalunjiste ) Hapajawahi Kuvunjwa Rekodi Yoyote Ile Kwani Wenge Musica BCBG Siku Hiyo Ilishonesha NYOMI La Uhakika Ndani Na Nje Ya Huo Ukumbi Kiasi Hadi Kupelekea Vifo Vya Watu 9 Iliyotokana Na Stampede Ya Pale. Na Kwa Faida Yako / Yenu Ni Kwanini JB Mpiana Anatisha Ni Kwamba Kwanza Ili Usifike Na Ukubalike Congo Ni Lazime Upige Ktk Kumbi Hizi Kubwa Tatu Duniani :

1. Zenith
2. Bercy
3. Olympia

Na Kitu Kingine Kinachoshangaza Na Kumweka Juu JB Mpiana Na Kundi Lake Ni Kwamba Show Zote Za Akina Koffi Na Werason Huwa Ni Dola 75 Mpaka Dola 80 Na Hujaza Watu Wa Wastani Lakini Show Zote Za Wenge BCBG Ya JB Mpiana Ni Dola 120 Na Watu Wanafurika. Siwezi Kuwazungumzia Hawa Vijana Chipukizi Fally Ipupa ( Dicaprio ) Na Ferre Gora ( Fetie ) Kwakuwa Bado Hawajui Mziki Na Najua Mtashtuka Baada Ya Mimi Kusema Hivi Ila Bado Sana Na Wote Hao Wanasafiria Nyota Za Kaka Zao JB Mpiana, Koffi Olomide Na Ngiama Makanda Werasson.
 
Pamoja sana. Mkuu kama ni hivyo, mbona JB bado hajawa Papaa Mopao/Mokonzi km Koffi?
 
Grace a 'tout' Germaine... JB Mpiana, TH

My favourite nkiwa njiani. Ikfatwa na Feux de l'amour.

JB Mpiana ni hatari!
Wimbo: 48 Heures Gecoco!

Miliki na biberon, azalaka na besoin ya mapa te- Milk in a baby's milk bottle doesnt need bread for the baby to drink it

Mais mokolo batiaka ye na kopo essenga ki mapa eya-but the days when the baby will start drinking from a cup that it drink tea/ coffee deservrs bread are coming along the way

Elingi koloba bana bakoli-which likely shows that the kids have grown

Papa lutumba sosola yango- father Lutumba think about that

Souverain L'unite de mesure- Souverain(baby) has grown some heights
Absence jamais nga na sign contrat-I never signed a contract

Avec toi to na mabeto ya lopitalo- to be in the hospital because of you
Voeux ya mariage- in the marriage vows

Na salaji po na Gerad Gecoco Mulumba-I did it because of you Gecoco Mulumba

L'homme que Dieu a faconne a mon gout se ye Amema bolingo na Canada eeehh- The man that God created for my taste carried love all the way to Canada

Dimanche to eyenga na nga La couleur qui passe-my sundays to mondays are not the same coz you re away

REFRAIN

Gerard natikali- Gerad am only remained with
Na mikolo se mibale ya vie
48 heures liwa epesi nga ultimatum ya suka- only two days to live, death has given me an ultimatum of 48 hours

Absence nayo ekotisi nga boloko na salle d'urgence
Na koma locataire na clinique Ngaliema-Your absence has kept me waiting in a prison like emergency room, I have become a tenant at Ngaliema Dispensary( Clinic)
REFRAIN REPEAT ABOVE

VERSE 1

Pluriel na bolingo ebanda pe esuka na deux Gecoco et moi,ca fait moto moko, algebra ya l'amour-it takes two to love and also it takes two to end love, Gecoco and I we are one, thats the algebra of our love

Absence ya moto olinga ka koma ya love- the absence of some one you love ends love

Pourquoi kotika ka nga toute seole trop longtemps Au profit de tes affaires, je reconnais oh- why did you leave me alone for that long, I recognise the benefits of your business ooooh

Gerard oza malili nga na zali neige blanche- Gerard you re wind/ cold while am a white snow

Presence na yo etiyaka nga en se'curite' mon amour- Your presence gives me safety of your love

Dans 48 heures d'apres me'te'o moyi ekongala tres fort , Raviens Gerard Mulumba noki te na ko limwa- within 48hrs after weather during the day will burst loudly

Beaute' na yo sanza mizonto de mon coeur- Your beauty has stayed for months in my heart

Depuis yo ekenda Gerard nse molili-from when you left me in darkness

Na motema na nga le ciel est sans etoiles Nzambe conduit mes pas-The sky have become starless in my heart, hopelesstill its God who guided my steps

Monganga apesi permission ba tia phone- the doctor gave the permission so they can make a telephone call to call you

Na salle d' urgence pona cas na nga
Mongongo na Yo, ebakisela nga ata deux jours de plus-Because of my condition in the emergency room, I begged your voice give me two more days

REFRAIN REPEATS AS ABOVE
 
Pamoja sana. Mkuu kama ni hivyo, mbona JB bado hajawa Papaa Mopao/Mokonzi km Koffi?

JB Hajawa Papaa Mopao Wala Mokonzi Lakini Na Wewe Jiulize Ni Kwanini Koffi Olomide Na Werrason Hadi Leo Hawajawa Mukulu Ya Bamukulu Na Souverain? Kwa Taarifa Yako Tu DRC Kinshansa Nikimaanisha Nchi Nzima Ya Congo Ya Kabila JB Mpiana Kapachikwa Cheo Kisicho Rasmi Cha Makamu Wa Rais Na Hili Tu Kukudhihirishia Hili Msafara Na Makongamano Ya Rais Joseph Kabila Kabange Huwa Hayavutii Watu Kama Ya JB Mpiana Na Ndiyo Maana Ilibidi Itumike Mbinu Ya Kumdhoofisha JB Mpiana Ambapo Ilibidi Rais Joseph Kabila Atumie Mbinu Ya Ziada Na Mabavu Kuweza KUMUIBIA Jb Mpiana Mkewe Amida Chatou Ambaye Utamuona Sana Ktk Ile Nyimbo Ya OMBA. Na Sasa Hivi Tena Huyo Demu Amida Ameshachukuliwa Na Tajiri Mkubwa Na Hatari Nchini Congo Ambaye Anaaminika Kuwa Na Hela Kushinda Hata Za Rais Joseph Kabila Japo Ni Rais Na Anaitwa Didier Kinuani ( Papa Briane ) Kitu Ambacho Kimepelekea Kuwa Na Uadui Mkubwa Mno Na JB Mpiana Kiasi Kwamba Siku Hizi Jb Mpiana Huwa Hamuimbi Tena Wala Kumfagilia Ktk Nyimbo Zake ( Kikongo Wanaita Kufanya " MAKANGA " ). Je Una Jingine Mkuu? Gusa Kote ILA Kwa Miziki Ya DRC Kinshasa Na DRC Brazaville Kwangu Mimi Ni Sawa Na Kumtoa Nyoka Sakafuni Na Kumpeleka Ktk Nyasi Je Unategemea Nini Hapo?
 
Back
Top Bottom